Kosa la mwaka 1960-1975 linajirudia mwaka 2015

Mkuu Ritz, naona unaendelea kumpa darsa la ukweli huyo ndugu tehe tehe tehe tehe!

Tuko pamoja mkuu, mimi naendelea kukusoma hapa!

Umesoma na kuelewa alichokileta Ritz?

Muulize kwanini kapotea?
 
Last edited by a moderator:
Jee, unawajua hao waasisi na ilikuwa wapi?

Mkuu kumbe unatofauti ndogo sana na Ritz kiuelewa,

Unauliza ninawajua wakati nimekupa orodha yao kabisa?

Kwamsaada zaidi wakuwajua hao na ilikuwa wapi, hebu pitia hotuba ya Hayati Mwalimu Nyerere ya kuaga taifa aliyoitoa mbele ya Wazee wa Dar mwaka 1985:

 

Naona ufahamu wako una matatizo, tunaongelea kuasisiwa jina la TANU rudia posts huko juu. Sikutaka hizo porojo zote.

Nataka kujuwa kama ulivyokiri kuwa jina la TANU lilibuniwa na "waasisi" wakiongozwa na Abdul Sykes (hapa nnadhani unaamanisha (Abdul Wahid Sykes). Nnachotaka kujuwa hao waasisi wahili jina ni kina nani na waliasisi wapi?

Ikiwa huyo uliyemuita "Abdul Sykes" ulimaanisha Abdul Wahid Sykes, ni uhakika kuwa darsa lile lilikuingia.
 

Soma kwautulivu hiyo hotuba inajibu la swali lako la msingi,

Mengine unayoleta ni porojo tu,
 
du!!!! hebu jipongeze na huu mpini kiduchu kisha tuendelee na mjadala.

Nimetulia tuli nakula zangu Faluda, teh teh teh...

Cc: kahtaan, THE BIG SHOW, Tayeb, gombesugu,



Shariff Ritz,

Tatizo la huyo jamaa yako Yericko...yeye hana utaalamu,elimu wala ujuzi wa aina yoyote ili ku- qualify sisi tumsikilize na kujadiliana nae kwa utuvu kwenye haya makhanatha yake!

Ni mtu duni sana kwenye masuala haya ya minyambulisho ya kitaaluma...lakini kwakuwa hapa Jf ni free for all,ndo hupata muda wa kuleta mabandiko ya kuiba toka kwa Scholars,Historians,Authors au Wanataaluma wengine na kupachika hoja zake za chuki za kidini kwa siri...huku akijaribu ati kutaka kupindisha ukweli wa kitaaluma na Historia ilo wazi. Bila shaka ana kazi kubwa mno! Kwi! Kwi! Kwi!

Ndo maana yeye/Yericko si wepesi hata kujibu hoja pale "anapobanwa"/"kuulizwa kitaaluma" au kuulizwa kuhusu source ya information/statistics zake!

Nastaajabu na yule mnafiki mwingine Mag3, yuwapi leo!? Mbona hatokei hapa kuja kuwaomba Mods/Wanajamvi na kulazimisha mnakasha huu nao pia ufungwe!?

Yawezekana labda huyo Mag3 ame-specialise tu kuhakikisha Threads za Mohammed Said ndo zinafungwa!?... Au Mag3 na wengineo huo "Udini" wanauona upande mmoja tu!?

Maana haionekani tafauti yeyote kwenye threads kadhaa za huyu Yericko; kila aaandikacho ni kama vile kujaribu kuvurunda ukweli wa Historia na kitaaluma,tena kwa kutumia ghila/ghilba za kuchanganya, kuyageuza/kuyabadili,kuyapembua na kuyakhanith maandiko ya Wanazuoni/Wanataaluma kutoka kwenye vyanzo kadhaa!

Kwa kifupi huu nao pia ni uharo na utumbo mtupu mwingine toka kwa huyo jamaa ajiitae "Yericko Nyerere"!! Haikhalis hata punje,ati watu wenye maarifa na taaluma zao kushindana nae huyu "mlaanifu wa kitaaluma"!

Mwache ende kule kwenye zile khabari zao zisokwisha za Chadema...masuala mengine si kima/kiwango chake.

Sisi tunajua madhumuni na malengo yake yoote kwa kusaidiwa na Wana- Chadema wenzie wenye chuki za kidini na wasolitakia mema Taifa hili...huu mnakasha/thread itaishia tu kwenye kashfa dhidi ya Uislam/Waislam...

Yericko na ukoo wake woote, embu ajiulize hiyo 1960 - 1975 anayotaka/anayojaribu kuizungumzia walikua wapi!?...si bado walikua kwao Makambako wanalima tumbaku. Sasa atajuaje mambo ya nchi hii au ya kidunia!? Tena kwa Ilm gani alokua nayo yeye!?

Huyu ajiitae "Yericko Nyerere"; ni mnafiki,selfish,mzandiki,mdini wa kupindukia,"Wakuja" na pia hasemi kweli hata kiduchu...fuatilia tu threads zake utagundua mangi mno. Na pia kichwani mwake ndo koroma tupu.

Nastaajabu wapuuzi wenzie kama Nyakageni a.k.a "Mkanyageni",Nicholas na wengineo, ati wanamuona wa maana kwa kutumia huo mgongo wa hiyo Chadema yao!?...kila jambo lina mwishowe!

Kwa taarifa yake/yao; sisi safari hii tutayari na tutamalizana nae tu...jino kwa jino mpaka acheue!

Kwa kifupi Al Akhiy; wala sipate dhiki ya kutumia sana nguvu ya kitaaluma kujibizana na huyu Yericko au kundi/kikosi chake. Panapostahili wewe wape majibu ya kikhanatha tu! Kwi! Kwi Kwi!

...Agenda,propagandas na chuki zao sasa hivi zimo "dhahir shair" humu mitandaoni na kwingineko,nasi tumacho tunawafuatilia kwa makini mno kuliko vile wafikiriavyo!

Ahsanta.

Cc;Boko Haram,The Big Show,Dr. Kahtaan,Al Tayeb
 

Maalim GombeSugu,

Nikukaribishe na kukutaka hali ndugu yangu japo umeingia kwa mipasho isiyo na kichwa wala miguu,

Unajadili mleta mada badala ya mada? Huo ndio usomi unaojitunuku kweli mkuu?

Naomba nikuulize,

Umesome mada na umeielewa?

Unamaoni gani?

Unaswali gani?

Wapi hujaelewa unahitaji ufafanuzi?

Karibu sana maalim GombeSugu


Dhihaka ni msingi wa kufeli hoja,
 


Yericko,

I've been through most of your posts/threads,I know you now...so plse STOP patronizing me! Ok!?

I know what kind of thoughts you hold...you are pretty much disconnected from the reality.

Under this intellectual imprisonment you have no reasonable option but to suffer silently.

Good Luck!

Ahsanta sana.
 

Usiweke utando kichwani mwako kwakuamini kila mzungu ni padre,

Nimesema wazi kuwa uwezo wako wakuchanganua mambo ni mdogo na umejawa na husda ya kutisha,

Taifa haliwezi kwenda mbele kama aina ya watu kama wewe wataurithi ufalme wa nchi hii,

Nachelea kusema umeisusa nchi yako kwa roho ya kimasikini iliyokutawala mkuu,

Ninaamini pia kuwa kamwe hutabadilika kwa umri uliofikia sasa, subiri kufia ukimbizini tu mkuu,

Nilitambua tu kuwa mijadala concrete kama hii kwako ni mbingu na ardhi,

Wewe saizi yako ni mijadala ya kidini tu,

Mpe hai bibi yangu!
 
Taifa haliwezi kwenda mbele kama aina ya watu kama wewe wataurithi ufalme wa nchi hii

Mpe hai bibi yangu!




Bibi yako umemwacha kwenu Makambako/Mgololo...huku nitamuonea wapi ndugu yangu!?

Kila uniitapo Mzee nafurahi mno...maana najua ni compliment!

Sisi kwenye family na tamaduni zetu tunastahi mno Wazee wetu...sijui nyinyi!?

Hunijui tu...lakini nilishawahi kukufahamisha mimi ni kijana mno. Nakhis, tafsir yako ya miaka/Uzee inakuchengua kiduchu!? Kwi! Kwi! Kwi!

Vipi Mbutu huko kwenye lile banda lako unaloita nyumba hawajambo!?...mtu na akili zake ataishi Mbutu kweli!? Kwi! Kwi! Kwi! Zungumza na watu tukukaribishe mjini hapa... Ebo!

Katafute wenzako wenye chuki za kidini kama wewe ndo uzungumze nao...wewe kashfa,chuki na matusi yako yanachosha. Kwanini usitoe album mpya ndugu yangu!? Kwi! Kwi! Kwi!

Ahsanta sana.

Mzee GombeSugu!
 
Wewe ni mzee utake usitaka, ulishuhudia mapinduzi ya Zanzibar yaliyoongozwa na Field Marshal John Okello,

Umeshuhudia Muungano wa Tanganyika na Zanzibar,

Leo unataka ujana?

Kigamboni Mbutu ndiko ninakoishi tena naishi kwaamani kuliko unavyoishi wewe mkimbizi hapo Magogu,

Narudia tena,

Makala hiyo umeielewa?

 


You really do write the biggest pile of random shit on here!

People like you can never trully make any compelling argument....

Ahsanta.
 
You really do write the biggest pile of random shit on here!

People like you can never trully make any compelling argument....

Ahsanta.
Kweli mkuu umekuwa mkimbizi na mtumwa wa kweli,

Yani mpaka lugha yako ya taifa umeisahau?

Zile ekari mia tano alizokuwa kajimilikisha baba yako na kisha serikali imara na ya kizalendo ikataifisha, vipi unampango wakuja kudai?
 
Al Akhy Gombesugu huyu bwana mdogo hana jipya anatafuta umaarufu tu hapa jamvini
si unakumbuka tulivyo mgaragaza kwenye ule mnakasha wa mzee MS mpaka akaomba
mnakasha ufungwe, histora yenyewe haijui mabumashi tu.
 
Kweli mkuu umekuwa mkimbizi na mtumwa wa kweli,

Yani mpaka lugha yako ya taifa umeisahau?

Zile ekari mia tano alizokuwa kajimilikisha baba yako na kisha serikali imara na ya kizalendo ikataifisha, vipi unampango wakuja kudai?
Vipi ulisha malizana na mzee Butiku?
 
Al Akhy Gombesugu huyu bwana mdogo hana jipya anatafuta umaarufu tu hapa jamvini
si unakumbuka tulivyo mgaragaza kwenye ule mnakasha wa mzee MS mpaka akaomba
mnakasha ufungwe, histora yenyewe haijui mabumashi tu.

Ndugu yangu,

Mimi wakutafuta umaarufu leo hapa jf?

Mimi nimaarufu tangu siku nyingi hapa jf na wewe na wenzio ndio mashabiki wangu!

Hilo unalitambua ila huamini
 
Al Akhy Gombesugu huyu bwana mdogo hana jipya anatafuta umaarufu tu hapa jamvini
si unakumbuka tulivyo mgaragaza kwenye ule mnakasha wa mzee MS mpaka akaomba
mnakasha ufungwe, histora yenyewe haijui mabumashi tu.


Boko Haram,

Salaam,Al Akhiy.

Shukran,nimekusoma kwa utuvu. Mimi huyo Yericko siku hizi namjua uzuri wala hanipi taabu asilan.

Leo nina muda wa kuchezea kiduchu ndo maana nimeamua kuja hapa jamvini na kumtia vijiti!...yaani nina maana kumtia vijiti vya machoni! Kwi! Kwi! Kwi!

Ahsanta.
 
Kwi kwi kwi mkuu muereze aerewe yeye anafikiri sisi kuna la maana tumeliona hapa
zaidi ya huu utumbo mimi napoteza muda tu hapa nasubiri nikaswali swala ya Isha.
ahsanta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…