Kosa la mwaka 1960-1975 linajirudia mwaka 2015

Kosa la mwaka 1960-1975 linajirudia mwaka 2015

Mkuu Ritz, naona unaendelea kumpa darsa la ukweli huyo ndugu tehe tehe tehe tehe!

Tuko pamoja mkuu, mimi naendelea kukusoma hapa!

Umesoma na kuelewa alichokileta Ritz?

Muulize kwanini kapotea?
 
Last edited by a moderator:
Jee, unawajua hao waasisi na ilikuwa wapi?

Mkuu kumbe unatofauti ndogo sana na Ritz kiuelewa,

Unauliza ninawajua wakati nimekupa orodha yao kabisa?

Kwamsaada zaidi wakuwajua hao na ilikuwa wapi, hebu pitia hotuba ya Hayati Mwalimu Nyerere ya kuaga taifa aliyoitoa mbele ya Wazee wa Dar mwaka 1985:

‘"Mimi nimeanza siasa na wazee wa Dar es Salaam; na wazee wa Tanzania. Nimeanza nao mapema sana; mapema kweli. Nilirudi kutoka masomoni, Uingereza Oktoba 1952 – miaka 33 nyuma. Wakati huo nikiwa kijana mdogo wa miaka thelathini na kidogo hivi.

Niliporudi nikakubaliana na wamisionari hapo Pugu (sekondari), nifundishe shuleni kwao. Lakini nikiwa shuleni – Chuo Kikuu – nilijua. Niliishaamua kwamba maisha yangu yatakuwa ya siasa. Niliamua hivyo: Nitafundisha kwa muda wa miaka mitatu, nione hali inavyokwenda na kuzoeana na wenzangu kabla ya kuanza maisha ya siasa.

Niliporejea nchini hapo Oktoba, nikaenda Butiama. Januari nikarudi Dar es Salaam. Nikaanza kazi. Nikataka kujua habari za African Association. Mzee Mwangosi anakumbuka. Yeye ndiye aliniambia habari za African Association. Aliisha niambia habari hizo tangu nikiwa Makerere – Chuo Kikuu – nikiwa mwanafunzi.

Pale, mimi na wanafunzi wenzangu tulikuwa tumeanzisha chama kinachoitwa Tanganyika African Welfare Association (TAWA) cha wanafunzi wa Tanganyika; mimi nikiwa katibu wao. Hapa tukaona mambo yanakwenda vizuri kidogo.

Tukaona kwanini TAWA iwe ya wanafunzi peke yao na siyo Tanganyika nzima. Kwa hiyo nikawaandikia baadhi ya watu Tanganyika. Nikasema, jamani ee, tumeanzisha chama, kwanini msianzishe huko matawi ya chama hicho?

Ndugu Mwangosi akapata barua hiyo. Alikuwa miongoni mwa waliopata barua hiyo. Akaniandikia – nikiwa Makerere – akasema: wewe kwanini unataka kuanzisha chama kipya? Kipo chama. Kipo chama cha TAA (Tanganyika African Association).

Kwa hiyo la maana siyo kuanzisha matawi, maana chama kipo na matawi yameenea; la maana ni kwamba hicho chama chenu mfute, na muanzishe tawi la Tanganyika African Association.

KUVUNJWA KWA TAWA

Hivyo ndivyo tulivyofanya. Kwa hiyo mimi nikawa katibu wa katawi ka TAA hapo Makerere. Niliporudi Tabora na kuanza kufundisha pale St. Marys (sasa inaitwa Sekondari ya Milambo), nikachaguliwa katibu wa TAA wa jimbo ambalo makao yake makuu yalikuwa Tabora. Ulipofanyika mkutano wa TAA mjini Dar es Salaam, nilihudhuria nikiwa mjumbe kutoka Tabora.

Kwa hiyo nilikuwa naijua Tanganyika African Association. Nilipokuwa ninaondoka kwenda Ulaya kusoma, nilikuwa nimeishaonja shughuli za TAA. Sasa niliporudi, baada ya kukaa Pugu siku chache, nikaja mjini Dar es Salaam. Nikauliza nani wanaongoza TAA? Nikaambiwa kuna jamaa mmoja anaitwa Abdul Sykes. Sasa ni marehemu. Abdul ndiye alikuwa katibu wakati huo.

Nilipelekwa na Kasela Bantu - ambaye naye aliteleza-teleza na hatunaye hapa (kwenye mkutano). Kasela Bantu alikuwa mwalimu mwenzangu. Tulifundisha pamoja Milambo. Nilipokuja Dar es Salaam, nikakuta anafanya kazi Redio (Tanganyika Broadcasting Corporation). Ni Kasela Bantu aliyenipeleka kwa Sykes.

Wakati huo mambo yalikuwa yanasinzia kidogo. Kwa muda mfupi mwaka ule, tukafufua-fufua, hasa kutoka Januari. Kufika Aprili, TAA ikafufuka. Tukafanya mkutano hapo Anautouglou. Kwenye mkutano huu wakanichagua kuwa Rais wao – wa TAA.

Ninasema yote haya kwa shukrani kwa wazee. Jamaa hawa walikuwa watu wazima wa Dar es Salaam, na mimi kijana mdogo Mzanaki, na Kiswahili changu si kizuri sana – cha matatizo.

Nimekuja, natoka Ulaya, tena masomoni. Muda mfupi tu jamaa hawa wakaniamini haraka sana – katika muda wa miezi mitatu. Wakanichagua Rais wa TAA. Hapo ndipo nilianza shughuli mpya ya kuandika katiba ya TAA na kuipa madhumuni hasa ya shabaha ya kuleta uhuru.

Baada ya miezi 13, hapo 1954, tukaanzisha TANU. Jina hili lilipendekezwa na akina Abdul Sykes. Walikuwa wamelifikiria tangu zamani, walipokuwa askari vitani huko Burma (Vita vya Pili).

WAZEE NA MSIMAMO

Miezi minne baada ya kuanza kazi Pugu nikawa ninakuja Dar es Salaam, kwa mguu; kila Jumamosi. Baadaye wazee wakanipa baiskeli nikawa ninakuja mjini kukutana na wenzangu; kufanya mikutano.

Hivyo ndivyo tulivyofanya. Wazee wakaniamini upesi sana. Tukawa na uhusiano mkubwa sana. Wadogo wenzangu wengine walikuwa Abdul Sykes, Abass Sykes (mdogo wake), Dosa Aziz – waliokuwa wengi ni wazee.

Katika kuhutubia mikutano yangu, nilikuwa nikisema: Wazee na Ndugu zangu! Wazee hasa ndio walikuwa na mikutano ya awali ya TAA na TANU. Walikuwa na msimamo wa hali ya juu kabisa! Hawakuyumba hata kidogo! Vijana walikuwa na mashaka. Wengine walikuwa na vikazi vyao, waliogopa kuvipoteza.

Nalo jambo lenyewe ni la hatari – la kuzungumzia uhuru! Unaweza ukakosa kazi; na wapo waliopoteza kazi; wengine wakaacha kazi. Akina Rashid (Kawawa) waliona watoke kwenye shughuli hizo tuje tuungane katika chama.

Wazee wa Dar es Salaam, na baadaye wa nchi nzima, wakatuunga mkono, na kila nilipokwenda, watu wa kwanza walionielewa, walikuwa wazee.

Nilikwenda Songea mwaka 1955 mara baada ya kujiuzulu. Huko wazee walinipokea na kunielewa. Nilianza safari za kuitembelea Tanganyika nzima. Nilikwenda Mbeya. Mkutano wangu niliufanya na wazee; kikundi kidogo cha wazee, ndani ya nyumba ya mtu.

Kwa mkutano huu wa Mbeya, wazee wakauliza: Unatafuta nini? Nikawaambia natafuta uhuru. Wale wazee, kwa sababu ya vita vya Maji Maji, na wanakumbuka, kabisa, wakaona mimi ninatafuta jambo la hatari. Tulifanya mkutano wa makini kweli. Wakauliza: Wewe unawezaje kuleta uhuru? Wewe una njia gani kudai uhuru na usitiwe kitanzi na Waingereza?

WAINGEREZA WAONGO

Tulielezana. Nikawaambia ninyi wazee, Waingereza wanawadanganya, Waingereza wametumwa na ule Umoja wa Mataifa uliokufa (League of Nations), waje kuishika Tanganyika kwa muda tu; watusaidie, na wakati tutakapokuwa tayari, watuachie tukajitawale.

Waingereza wanafanya ujanja; hawasemi. Vita vimekwisha (vya Pili) na Umoja wa Mataifa mwingine – mpya (United Nations Organisation – UNO) umewakabidhi Tanganyika kwa shabaha ileile. Sisi siyo koloni lao. Wamepewa dhamana tu.

Kwa hiyo nikawaambia wazee, hakuna haja ya kumwaga damu. Tuwaseme tu! Tuwashitaki kwa waliowaleta hapa kwamba hawafanyi kazi yao; wamesahau kabisa!

Wazee wakauliza: Eh, inawezekana? Nikasema inawezekana. Kazi yetu ya kwanza ilikuwa kuwaambia watu kwamba uwezekano wa kujitawala upo. Hilo lilikuwa la kwanza. Wazee walijua maana ya kujitawala. Walitamani kujitawala, lakini hawakujua waanzie wapi.

Vijana hawakuwa na habari kwamba kujitawala kunawezekana. Kwa hiyo kwa wazee sikuwa na matatizo. Wao hawakuwa na kazi; hawakumwogopa Mwingereza. Hawakuogopa kufukuzwa kazi. Baadhi walikuwa wafanyabiashara.

Mzee John Rupia (marehemu) alikwua mfanyabiashara na kaidi kidogo. Aliwahi kutishwa na kunyang’anywa leseni yake ya biashara. Akaambiwa akiendelea kushirikiana na kijana mwenda wazimu (Julius Nyerere), atanyang’anywa leseni moja kwa moja. Rupia aliwajibu: Potelea mbali!

Nasema yote haya ikiwa njia ya kutoa shukrani kwa wazee na imani yao kwa vijana wakati huo.

Imani hujenga imani. Na mambo haya makubwa ya nchi, kama hayana baraka za wazee hayaendi. Magumu sana. Wanasema ngoma ya watoto haikeshi! Mimi nilipata baraka za wazee tangu zamani. Tangu awali kabisa.

TWAININGI AMEKWISHA

Siku moja, Dosa akanifuata Magomeni (Dar es Salaam). Akasema: Leo wazee wanakutaka. Wapi? Kwa Mzee Jumbe Tambaza. Wanakutaka usiku. Nikasema haya, nitakuja. Nikaenda. Nikakuta wazee wameshakaa; wameniita kijana wao kuniombea dua. Mimi Mkristo, wao Waislamu watupu. Wakaniombea dua za ubani. Tukamaliza.

Tulipomaliza wakasema kuna dua pia za wazee wao. Basi wakanitoa nje. Tukatoka. Zilipomalizika zilikuwa za Korani; sasa zikaja dua za wazee – za jadi.

Walikuwa na beberu la mbuzi. Wamechimba shimo. Wakaniambia simama. Nikasimama. Beberu akachinjwa, huku anaambiwa, “Twining (Twainingi) umekwisha!” (Edward Twining alikuwa Gavana wakati huo). Ndipo nikaambiwa: Tambuka! Nikavuka lile shimo. Hapo nikaambiwa na wazee: Basi nenda zako; tangu leo Twainingi amekwisha!

Sasa mimi Mkristo; hao Waislamu. Na mimi mkorofi-korofi katika mambo haya (ya kutambika). Lakini tulikuwa tunaelewana na wazee wangu hao. Kwa hiyo nilitambuka pale na kuambiwa: Nenda nyumbani salama. Twaining hawezi tena!

Wazee wangu wengine wanakumbuka tulikuwa tunakwenda Bagamoyo. Kwenye makaburi kule! Tunapiga dua huko kwenye makaburi na wazee wangu.

Baadhi yetu mtakumbuka safari moja jamaa wa Kenya, hawa akina Tom Mboya (marehemu) walishitakiwa. Tukasema tuwasaidie. Tuwasaidie vipi? Tukasema tufunge. Tukaomba nchi nzima kufunga siku hiyo. Tufunge! Tukafunga. Hakuna kula. Na siku ya kufunga tulikuwa na mkutano Bagamoyo. Tukaenda huko. Tukafanya mkutano hadi saa 12 jioni.

Baada ya mkutano tukaenda nyumbani kwa Mzee Mohamed Ramia (marehemu). Hapa ndipo tulikuwa tumefikia. Mimi nikamuuliza mzee: Sheikh, una Aspro? Akajibu: Kwa nini unataka Aspro? Nikajibu kuwa kichwa kinaniuma kwelikweli. Akasema subiri.

Tulisubiri hadi saa ya kufuturu. Tukafuturu vizuri. Mzee Ramia akaniuliza: bado unataka Aspro? Nikajibu kichwa sasa hakiumi. Kumbe ilikuwa njaa.

Nawaelezeni haya kwa sababu huko tulikotoka, tulishikamana sana. Tulishirikiana sana na wazee."’
 
Mkuu kumbe unatofauti ndogo sana na Ritz kiuelewa,

Unauliza ninawajua wakati nimekupa orodha yao kabisa?

Kwamsaada zaidi wakuwajua hao na ilikuwa wapi, hebu pitia hotuba ya Hayati Mwalimu Nyerere ya kuaga taifa aliyoitoa mbele ya Wazee wa Dar mwaka 1985:

Naona ufahamu wako una matatizo, tunaongelea kuasisiwa jina la TANU rudia posts huko juu. Sikutaka hizo porojo zote.

Nataka kujuwa kama ulivyokiri kuwa jina la TANU lilibuniwa na "waasisi" wakiongozwa na Abdul Sykes (hapa nnadhani unaamanisha (Abdul Wahid Sykes). Nnachotaka kujuwa hao waasisi wahili jina ni kina nani na waliasisi wapi?

Ikiwa huyo uliyemuita "Abdul Sykes" ulimaanisha Abdul Wahid Sykes, ni uhakika kuwa darsa lile lilikuingia.
 
Soma kwautulivu hiyo hotuba inajibu la swali lako la msingi,

Mengine unayoleta ni porojo tu,
 
du!!!! hebu jipongeze na huu mpini kiduchu kisha tuendelee na mjadala.

Nimetulia tuli nakula zangu Faluda, teh teh teh...

Cc: kahtaan, THE BIG SHOW, Tayeb, gombesugu,

Shariff Ritz,

Tatizo la huyo jamaa yako Yericko...yeye hana utaalamu,elimu wala ujuzi wa aina yoyote ili ku- qualify sisi tumsikilize na kujadiliana nae kwa utuvu kwenye haya makhanatha yake!

Ni mtu duni sana kwenye masuala haya ya minyambulisho ya kitaaluma...lakini kwakuwa hapa Jf ni free for all,ndo hupata muda wa kuleta mabandiko ya kuiba toka kwa Scholars,Historians,Authors au Wanataaluma wengine na kupachika hoja zake za chuki za kidini kwa siri...huku akijaribu ati kutaka kupindisha ukweli wa kitaaluma na Historia ilo wazi. Bila shaka ana kazi kubwa mno! Kwi! Kwi! Kwi!

Ndo maana yeye/Yericko si wepesi hata kujibu hoja pale "anapobanwa"/"kuulizwa kitaaluma" au kuulizwa kuhusu source ya information/statistics zake!

Nastaajabu na yule mnafiki mwingine Mag3, yuwapi leo!? Mbona hatokei hapa kuja kuwaomba Mods/Wanajamvi na kulazimisha mnakasha huu nao pia ufungwe!?

Yawezekana labda huyo Mag3 ame-specialise tu kuhakikisha Threads za Mohammed Said ndo zinafungwa!?... Au Mag3 na wengineo huo "Udini" wanauona upande mmoja tu!?

Maana haionekani tafauti yeyote kwenye threads kadhaa za huyu Yericko; kila aaandikacho ni kama vile kujaribu kuvurunda ukweli wa Historia na kitaaluma,tena kwa kutumia ghila/ghilba za kuchanganya, kuyageuza/kuyabadili,kuyapembua na kuyakhanith maandiko ya Wanazuoni/Wanataaluma kutoka kwenye vyanzo kadhaa!

Kwa kifupi huu nao pia ni uharo na utumbo mtupu mwingine toka kwa huyo jamaa ajiitae "Yericko Nyerere"!! Haikhalis hata punje,ati watu wenye maarifa na taaluma zao kushindana nae huyu "mlaanifu wa kitaaluma"!

Mwache ende kule kwenye zile khabari zao zisokwisha za Chadema...masuala mengine si kima/kiwango chake.

Sisi tunajua madhumuni na malengo yake yoote kwa kusaidiwa na Wana- Chadema wenzie wenye chuki za kidini na wasolitakia mema Taifa hili...huu mnakasha/thread itaishia tu kwenye kashfa dhidi ya Uislam/Waislam...

Yericko na ukoo wake woote, embu ajiulize hiyo 1960 - 1975 anayotaka/anayojaribu kuizungumzia walikua wapi!?...si bado walikua kwao Makambako wanalima tumbaku. Sasa atajuaje mambo ya nchi hii au ya kidunia!? Tena kwa Ilm gani alokua nayo yeye!?

Huyu ajiitae "Yericko Nyerere"; ni mnafiki,selfish,mzandiki,mdini wa kupindukia,"Wakuja" na pia hasemi kweli hata kiduchu...fuatilia tu threads zake utagundua mangi mno. Na pia kichwani mwake ndo koroma tupu.

Nastaajabu wapuuzi wenzie kama Nyakageni a.k.a "Mkanyageni",Nicholas na wengineo, ati wanamuona wa maana kwa kutumia huo mgongo wa hiyo Chadema yao!?...kila jambo lina mwishowe!

Kwa taarifa yake/yao; sisi safari hii tutayari na tutamalizana nae tu...jino kwa jino mpaka acheue!

Kwa kifupi Al Akhiy; wala sipate dhiki ya kutumia sana nguvu ya kitaaluma kujibizana na huyu Yericko au kundi/kikosi chake. Panapostahili wewe wape majibu ya kikhanatha tu! Kwi! Kwi Kwi!

...Agenda,propagandas na chuki zao sasa hivi zimo "dhahir shair" humu mitandaoni na kwingineko,nasi tumacho tunawafuatilia kwa makini mno kuliko vile wafikiriavyo!

Ahsanta.

Cc;Boko Haram,The Big Show,Dr. Kahtaan,Al Tayeb
 
Shariff Ritz,

Tatizo la huyo jamaa yako Yericko...yeye hana utaalamu,elimu wala ujuzi wa aina yoyote ili ku- qualify sisi tumsikilize na kujadiliana kwa utuvu kwenye haya makhanatha yake!

Ni mtu duni sana kwenye masuala haya ya minyambulisho ya kiitaaluma...lakini kwakuwa hapa Jf ni free for all,ndo hupata muda wa kuleta mabandiko ya kuiba toka kwa Scholars,Historians,Authors au Wanataaluma wengine na kupachika hoja zake za chuki za kidini kwa siri...huku akijaribu ati kutaka kupindisha ukweli wa kitaaluma na Historia ilo wazi. Bila shaka ana kazi kubwa mno! Kwi! Kwi! Kwi!

Ndo maana yeye/Yericko si wepesi hata kujibu hoja pale "anapobanwa"/"kuulizwa kitaaluma" aukuulizwa kuhusu source ya information/statistics zake!

Nastaajabu na yule mnafiki mwingine Mag3,mbona hatokei hapa kuja kuwaomba Mods na Wanajamvi na kulazimisha mnakasha huu pia ufungwe!? Au yeye ame-specialise tu kuhakikisha Threads za Mohammed Said ndo zinafungwa!?... Au huyo Mag3 na wengineo huo Udini wanauona upande mmoja tu!? Maana sioni tafauti yeyote kwenye threads kadhaa za huyu Yericko;kila aaandikacho ni kama vile kujaribu kuvurunda ukweli wa Historia na kitaaluma,tena kwa kutumia ghila/ghilba za kuchanganya, kuyageuza na kuyachanganya na kuyakhanith maandiko ya Wanazuoni/Wanataaluma na kutoka kwenye kadhaa!

Kwa kifupi huu nao pia ni uharo na utumbo mtupu mwingine toka kwa huyo jamaa ajiitae Yericko Nyerere!! Haikhalis hata punje,ati watu wenye maarifa na taaluma zao kushindana nae huyu "mlaanifu wa kitaaluma"!

Mwache ende kule kwenye zile khabari zao zisokwisha za Chadema...masuala mengine si kima/kiwango chake.

Sisi tunajua madhumuni na malengo yake yoote kwa kusaidiwa na Wana Chadema wenzie wenye chuki za kidini...huu mnakasha/thread itaishia tu kwenye kashfa dhidi ya Uislam/Waislam.

Yericko na ukoo wake woote, embu ajiulize hiyo 1960 - 1975 anayotaka kuizungumzia walikua wapi!?...si bado walikua kwao Makambako wanalima tumbaku. Sasa atajuaje mambo ya nchi hii au ya kidunia!? Tena kwa Ilm gani alokua nayo yeye!?

Huyu anyejiita "Yericko Nyerere"; ni mnafiki,selfish,mzandiki,mdini wa kupindukia,"Wakuja" na pia hasemi kweli hata kiduchu...fuatilia tu threads zake utagundua mangi mno. Na pia kichwani mwake ndo koroma tupu. Nastaajabu wapuuzi wenzie kama Nyakageni a.k.a "Mkanyageni",Nicholas na wengineo, ati wanamuona wa maana kwa kutumia huo mgongo wa hiyo Chadema yao!?...kila jambo lina mwishowe.

Kwa taarifa yake/yao; sisi safari hii tutayari na tutamalizana nae tu...jino kwa jino mpaka acheue!

Kwa kifupi Al Akhiy; wala sipate dhiki ya kutumia sana kinguvu ya kitaaluma kujibizana na huyu Yericko au kundi/kikosi chake. Panapostahili wewe wape majibu ya kikhanatha tu! Kwi! Kwi Kwi!...Agenda,propagandas na chuki zao sasa hivi zimo "dhahir shair" mno humu mitandaoni na kwingineko,nasi tumacho tunawafuatilia kwa makini mno kuliko vile wafikiriavyo!

Ahsanta.

Cc;Boko Haram,The Big Show,Dr. Kahtaan,Al Tayeb

Maalim GombeSugu,

Nikukaribishe na kukutaka hali ndugu yangu japo umeingia kwa mipasho isiyo na kichwa wala miguu,

Unajadili mleta mada badala ya mada? Huo ndio usomi unaojitunuku kweli mkuu?

Naomba nikuulize,

Umesome mada na umeielewa?

Unamaoni gani?

Unaswali gani?

Wapi hujaelewa unahitaji ufafanuzi?

Karibu sana maalim GombeSugu

Dhihaka ni msingi wa kufeli hoja,
 
Yericko,

I've been through most of your posts/threads,I know you now...so plse STOP patronizing me! Ok!?

I know what kind of thoughts you hold...you are pretty much disconnected from the reality.

Under this intellectual imprisonment you have no reasonable option but to suffer silently.

Good Luck!

Ahsanta sana.
 
Usiweke utando kichwani mwako kwakuamini kila mzungu ni padre,

Nimesema wazi kuwa uwezo wako wakuchanganua mambo ni mdogo na umejawa na husda ya kutisha,

Taifa haliwezi kwenda mbele kama aina ya watu kama wewe wataurithi ufalme wa nchi hii,

Nachelea kusema umeisusa nchi yako kwa roho ya kimasikini iliyokutawala mkuu,

Ninaamini pia kuwa kamwe hutabadilika kwa umri uliofikia sasa, subiri kufia ukimbizini tu mkuu,

Nilitambua tu kuwa mijadala concrete kama hii kwako ni mbingu na ardhi,

Wewe saizi yako ni mijadala ya kidini tu,

Mpe hai bibi yangu!
 
Taifa haliwezi kwenda mbele kama aina ya watu kama wewe wataurithi ufalme wa nchi hii

Mpe hai bibi yangu!

Bibi yako umemwacha kwenu Makambako/Mgololo...huku nitamuonea wapi ndugu yangu!?

Kila uniitapo Mzee nafurahi mno...maana najua ni compliment!

Sisi kwenye family na tamaduni zetu tunastahi mno Wazee wetu...sijui nyinyi!?

Hunijui tu...lakini nilishawahi kukufahamisha mimi ni kijana mno. Nakhis, tafsir yako ya miaka/Uzee inakuchengua kiduchu!? Kwi! Kwi! Kwi!

Vipi Mbutu huko kwenye lile banda lako unaloita nyumba hawajambo!?...mtu na akili zake ataishi Mbutu kweli!? Kwi! Kwi! Kwi! Zungumza na watu tukukaribishe mjini hapa... Ebo!

Katafute wenzako wenye chuki za kidini kama wewe ndo uzungumze nao...wewe kashfa,chuki na matusi yako yanachosha. Kwanini usitoe album mpya ndugu yangu!? Kwi! Kwi! Kwi!

Ahsanta sana.

Mzee GombeSugu!
 
Wewe ni mzee utake usitaka, ulishuhudia mapinduzi ya Zanzibar yaliyoongozwa na Field Marshal John Okello,

Umeshuhudia Muungano wa Tanganyika na Zanzibar,

Leo unataka ujana?

Kigamboni Mbutu ndiko ninakoishi tena naishi kwaamani kuliko unavyoishi wewe mkimbizi hapo Magogu,

Narudia tena,

Makala hiyo umeielewa?

You really do write the biggest pile of random shit on here!

People like you can never trully make any compelling argument....

Ahsanta.
 
You really do write the biggest pile of random shit on here!

People like you can never trully make any compelling argument....

Ahsanta.
Kweli mkuu umekuwa mkimbizi na mtumwa wa kweli,

Yani mpaka lugha yako ya taifa umeisahau?

Zile ekari mia tano alizokuwa kajimilikisha baba yako na kisha serikali imara na ya kizalendo ikataifisha, vipi unampango wakuja kudai?
 
Bibi yako umemwacha kwenu Makambako/Mgololo...huku nitamuonea wapi ndugu yangu!?

Kila uniitapo Mzee nafurahi mno...maana najua ni compliment!

Sisi kwenye family na tamaduni zetu tunastahi mno Wazee wetu...sijui nyinyi!?

Hunijui tu...lakini nilishawahi kukufahamisha mimi ni kijana mno. Nakhis, tafsir yako ya miaka/Uzee inakuchengua kiduchu!? Kwi! Kwi! Kwi!

Vipi Mbutu huko kwenye lile banda lako unaloita nyumba hawajambo!?...mtu na akili zake ataishi Mbutu kweli!? Kwi! Kwi! Kwi! Zungumza na watu tukukaribishe mjini hapa... Ebo!

Katafute wenzako wenye chuki za kidini kama wewe ndo uzungumze nao...wewe kashfa,chuki na matusi yako yanachosha. Kwanini usitoe album mpya ndugu yangu!? Kwi! Kwi! Kwi!

Ahsanta sana.

Mzee GombeSugu!
Al Akhy Gombesugu huyu bwana mdogo hana jipya anatafuta umaarufu tu hapa jamvini
si unakumbuka tulivyo mgaragaza kwenye ule mnakasha wa mzee MS mpaka akaomba
mnakasha ufungwe, histora yenyewe haijui mabumashi tu.
 
Kweli mkuu umekuwa mkimbizi na mtumwa wa kweli,

Yani mpaka lugha yako ya taifa umeisahau?

Zile ekari mia tano alizokuwa kajimilikisha baba yako na kisha serikali imara na ya kizalendo ikataifisha, vipi unampango wakuja kudai?
Vipi ulisha malizana na mzee Butiku?
 
Al Akhy Gombesugu huyu bwana mdogo hana jipya anatafuta umaarufu tu hapa jamvini
si unakumbuka tulivyo mgaragaza kwenye ule mnakasha wa mzee MS mpaka akaomba
mnakasha ufungwe, histora yenyewe haijui mabumashi tu.

Ndugu yangu,

Mimi wakutafuta umaarufu leo hapa jf?

Mimi nimaarufu tangu siku nyingi hapa jf na wewe na wenzio ndio mashabiki wangu!

Hilo unalitambua ila huamini
 
Al Akhy Gombesugu huyu bwana mdogo hana jipya anatafuta umaarufu tu hapa jamvini
si unakumbuka tulivyo mgaragaza kwenye ule mnakasha wa mzee MS mpaka akaomba
mnakasha ufungwe, histora yenyewe haijui mabumashi tu.

Boko Haram,

Salaam,Al Akhiy.

Shukran,nimekusoma kwa utuvu. Mimi huyo Yericko siku hizi namjua uzuri wala hanipi taabu asilan.

Leo nina muda wa kuchezea kiduchu ndo maana nimeamua kuja hapa jamvini na kumtia vijiti!...yaani nina maana kumtia vijiti vya machoni! Kwi! Kwi! Kwi!

Kwi kwi kwi mkuu muereze aerewe yeye anafikiri sisi kuna la maana tumeliona hapa
zaidi ya huu utumbo mimi napoteza muda tu hapa nasubiri nikaswali swala ya Isha.
ahsanta.
 
Back
Top Bottom