Kosa la mwaka 1960-1975 linajirudia mwaka 2015

Kosa la mwaka 1960-1975 linajirudia mwaka 2015

^^
Lakini kama Tanganyika ya wakati huo haikuwa na wasomi kiwango cha kuiongoza nchi wana tofauti gani na hawa wa sasa ambao wana elimu nzuri na bado utaifa unakondeana ?
Nakubali kuwa katiba inahitaji muda maana inapelekwa kisiasa sana
^^
 
Mara nyingi huwa sikioni cha maana kutoka kwa Yn......lakini kwa hii uliloandika kwenye paragraphs za mwisho nasema sasa una Uzalendo.........Nimependa sana kwa maono ya kizalendo
 
Mkuu nakushukuru sana kwa maoni yako,

Mtazamo wangu juu ya siasa za uhuru na leo nilimulika kwa bara zima la Afrika, lakini nikaweka mizani ya ujio wa Katiba ya nchi yetu mpya,
 
Mara nyingi huwa sikioni cha maana kutoka kwa Yn......lakini kwa hii uliloandika kwenye paragraphs za mwisho nasema sasa una Uzalendo.........Nimependa sana kwa maono ya kizalendo

Nisamehe sana mkuu kama ulikuwa hujakiona ninachoandika,

Ninashukuru kuona umeona na tupo pamoja kuhimiza maridhiano ya upatikanaji wa Katiba ya Kitafa
 
Mnamo tarehe 9 Desemba 1961, Tanganyika ilipata Uhuru chini ya Waingereza waliokuwa waangalizi wetu tu,

Ni nyakati hizo ambapo mataifa ya Afrika yalikuwa kwenye vuguvugu la kupata uhuru wao kamili yakiongozwa na Nchi ya Gold Coast iliyojinyakulia uhuru kutoka kwa Uingereza mnamo tarehe 6 Machi 1957, na ikawa taifa la kwanza la Afrika Kusini mwa Sahara (Sub-Saharan Africa) kufanya hivyo japokuwa Gold Coast/Ghana haikuweza kutangaza uhuru wake kamili kutoka kwa Uingereza hadi tarehe 1 Julai 1960 ambapo pia nchi ilianza kujulikana kama Jamhuri ya Ghana.

Nchi ya Gold Coast ilianzishwa na Waigereza, "Gold Coast" ni nchi ya Ghana ya leo, Neno Ghana lina maana ya Shujaa Mfalme na lilikuwa ni jina la heshima walilopewa wafalme wa Himaya ya Ghana nyakati za kale za Afrika Magharibi.

Tangu Tanganyika ipate uhuru 09/12/1961 hadi kifo chake chenye utata 1964, ilitumia KATIBA ya chama cha Ukombozi cha TANU iliyoandikwa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, pamoja na mahuisho mengi yaliyopita kama yale ya 1962, 1965, 1977, 1992 bado asili ya katiba hii tuliyonayo leo ni ya MKONO wa Julius Nyerere,

Marekebisho makubwa ya Katiba yalikuwa ni mwaka 1977, lakini asili ya KATIBA ile ya Mkono wa Nyerere imeendelea kuishi na kulitendea haki Taifa na wajihi wake!

Nchi ya Gold Coast ilipopata uhuru chini ya Kwame Nkrumah licha ya kubadili jina la nchi na kuitwa Ghana, bado iliendelea kutumia asili ya katiba ya Chama cha The Convention People's Party (CPP)

Labda kwa wale wasiojua niwafahamishe kuwa Katiba ya Tanganyika African National Union (TANU) ilinakiliwa kutoka chama rafiki cha The Convention People's Party (CPP)

Ni mashirikiano mema katika makutano ya fikra za kisiasa kati ya vijana wawili wasomi na imara ambao bara la Afrika halijapata kuwa nao kwa karne hivi sasa, si wengine ni Julius Nyerere na Kwame Nkrumah walipobadilishara fikra na kuzaa matunda ya Afrika na dunia tuyatafunayo sasa,

Nimekuwa na mtazamo hasi kabisa juu ya uhuru wa Afrika kwa mda mrefu sana hasa kwa matukio niyaonayo na niyasikiao toka Afrika,

Miaka ya 1955-1975 ni kipindi ambacho Afrika ilijitoa toka mikononi mwa mkoloni, mimi huwa naamini ni kipindi ambacho Afrika haikuwa na sifa za kuwa tayari kujitawala kwa maana ya kujipatia/kupewa UHURU,

1. Afrika haikuwa na Wasomi wakuongoza nchi

2. Waafrika walikuwa kwenye lindi la kutopea kwenye ujinga, hawakuwa tayari kwa kuupokea uhuru huo,

Mfano Tanganyika ilipata Uhuru ikiwa na wasomi wachache wenye ngazi ya shahada ya Uzamili (Masters) ambae ni Julius Nyerere, na Shahada ya Uzamivu (PHd) ni mmoja tu ambaye ni Dr Vedasto Kyaruzi,

Na hata wale waasisi waliokuwemo kwenye harakati za kupigania Uhuru ndani ya TANU hawakuwa wasomi wa ngazi za juu zaidi ya Julius Nyerere,

Wazee hawa ni Julius Kambarage Nyerere, Ali Sykes, Lameck Makaranga, Gosbert Milinga, Gelmandus Pacha, Joseph Kimalando, Japhet Kirilo, Abubakar Ilanga, Saadan Kandoro, Suleiman Kitwara, Kisunguta Kabara, Tewa Said Tewa, Dosa Aziz, Patrick Kunambi, Joseph Kasela-Bantu, John Rupia, Abdul Wahid Sykes.

Nchi ya Gold Coast/Ghana ilipopata uhuru haikuwa na wasomi wengi wa Shahada, Stashada na Shahada ya Uzamivu na uzamili,

Msomi wa ngazi ya juu alikuwa mmoja tu mwenye shahada ya Uzamili (Master of Science) ndugu Kwame Nkrumah

Japokuwa usomi wa ngazi ya juu kwa watawala sio tiketi ya uwezo wa kutawala katika nchi, Hili huwa naamini ni kosa la Afrika la 1960-1975 kudai Uhuru na kupewa MAPEMA huku Waafrika hawakuwa tayari kujitawala wenyewe,

Hatua hii hunifanya niamini kuwa Afrika haikuwa imepevuka kujitawala kwa ngazi ya karne ile ya 20, huwa naamini kuwa miaka 1975-1985 ndicho kipindi ambacho Afrika ingekuwa kwenye mapito sahihi ya kujitawala, nikipindi ambacho binadamu wa Afrika angekuwa amepevuka,

Sasa ni karne ya 21, kosa lile la Karne ya 20 linajirudia katika muundo uleule kasoro nadharia tu, nalo ni upatikanaji wa Katiba mpya ya Tanzania,

Hali hii ya uhitaji wa katiba mpya kwa Watanzani ni jambo la kupongezwa na kujivunia kwa kila mtanzania, kwakuwa imedhihirika kuwa sasa Taifa limekuwa kifikra, na zaidi idadi ya wasomi katika nchi imeongezeka maradufu,

Lakini jambo la hatari na lisilokubalika nikuwa Taifa limeaminishwa kuwa Katiba Mpya itapatikana kabla ya 2015, huu ni ulaghai na wendawazimu wa wazi kabisa,

Katiba ya Watanzania haiwezi kupatikana kwa miaka mitano ama mmoja huu uliosalia, Katiba inayohitaji maridhiano, katiba inayopita kwenye misigano ya kitaifa, katiba inayohitaji elimu kwa Watanzania kwanza kamwe haiwezi kupatikana kabla ya 2015, kitakachopatikana kabla ya 2015 kitaitwa katiba ya kisiasa sio katiba ya Watanzania,

Ninachokiamini nikuwa Watanzania tujipe muda, turuhusu fikra na mijadala huru iendelee juu ya upatikanaji wa Katiba mpya, turuhusu majibizano ya hoja ya endelee, tuyturuhusu Watanzania wote wake kwa waume, Wazee kwa vijana wote watoe ya moyoni bila kuogopa mawazo yao,

Katiba bora ya kiraia yenye matakwa halisi ya Wananchi inaweza kuchukua hata miaka 10 mchakato wake mpaka kuipata, hivyo katiba hii ambayo mchakato wake unaendelea SIO lazima isimamie Uchaguzi wa 2015 kama wanasiasa wanavyotusukuma tuamini hivyo,

Nionavyo muhimu katika kipindi hiki nikuwa, Watanzania, wanaharakati na Wanasiasa waendele kusimamia mchakato uendelee lakini upande wa pili wageuzi fikra zao, uanzishwe mchakato wa marekebisho ya Katiba hii iliyopo ili tuingie nayo kwenye uchaguzi 2015.Kinyume na hapo ni kuwalaghai Watanzania kuwa katika itapatika kabla 2015,

Ikumbukwe kuwa Jakaya Kikwete ambae sasa ndiye rais wa Tanzania, katika historia ya siasa zake DUNIANI, hajawahi kuhitaji katiba mpya ya Tanzania wala kuizungumzia tu, hata serikali ya Chama chama Mapinduzi ambacho yeye ndiye Mwenyekiti hakijawahi kuhitaji Katiba Mpya ya Tanzania, na zaidi serikali ya Chama cha Mapinduzi iliyodumu kwa miaka 50 sasa haijawahi kuhitaji katiba Mpya ya Tanzania,

Vyama vya upinzani na Wanaharakati wa Tanzania ndio walioasisi mapambano ya kudai Katiba mpya, tena vikipita katika mapito magumu sana yenye kuhatarisha uhai wao,

Ni baada ya uchaguzi mkuu 2010 ndipo mbinyo wakudai katiba mpya ukiongozwa na chama kikuu cha upinzani nchini huku ccm na wahafidhina wake wakipinga katukatu kuwa Taifa halihitaji Katiba mpya,

Lakini KUFUMBA na KUFUMBUA Jakaya Kikwete alilitangazia Taifa kuwa linaanza mchakato wa Katiba, akitumia neno KUHUISHA katiba.

Tafakari Chukua Hatua, Busara ni mwanzo wa kukaribisha Hekima yenye nguvu za maliza tofauti katika nchi na kupata katiba ya kiraia yenye mkono wa Mtanzania,

Nimependa ulivyopangilia mawazo yako japo ninaweza kuwa sikubaliani 100% na wewe. Ila nataka kuweka vizuri kuhusu Ghana.
Ghana walikuwa na wasomi zaidi ya Nkuruma kama ulivyo andika, je umepata kusikia historia za Dr Aggerey Kwegyir wa Achimota??.
Alijenga chuo Achimota miaka mingi sana kabla ya Uhuru wa Ghana (Gold Coast).

Pia kwa historia niliyosoama ya Dr Kyaruzi ni kuwa alikuwa Daktari wa Binadamu aliyepata shahada yake Makerere University, by then Mkarere University haikuwa na uwezo wa kumtunukia mtu shahada ya uzamivu PhD.

Lakini pamoja na hayo marekebishao bado nashukuru kwa mchango wako.

Pamoja sana
 
Mkuu karibu sana,

Daktari
James Emman Kwegyir Aggrey ni sehemu ya wasomi wa mwanzo kabisa barani Afrika,

Tanganyika haitamsahau mtu huyu Daktari
James Emman Kwegyir Aggrey katika harakati za Ukombozi,

Mwaka 1925 miaka miwili kabla ya kifo chake akiwa Gavana wa jimbo la Crown katika serikali ya kikoloni, alifika Tanganyika katika ziara ya kiserikali, ambapo alitumia fursa hiyo kukutana na msomi mwenzie Mwalimu Cesil Matola, Ally Ramadhan, na mhamiaji kutoka Afrika ya Kusini ndugu Kleist Sykes na kuwashawishi waunde chama cha kushughulikia matatizo ya Watanganyika/Wafrika, ambapo 1927 Gavana wa Tanganyika Sir Edward Cameron alikubali kuwaanzishishia chama kiitwacho African Association (AA) ambapo vikao vya mwanzo kabisa vilifanyika nyumbani kwa Mwalimu Cesil Matola mtaa wa Lumumba na swahili ya leo jirani na Bin Slum Tairi,

Licha ya Sir Cameron kuwaanzishia chama hicho pia akawapa nyumba mtaa wa Lumumba ya leo pale makao makuu ya ccm ambayo baadae Klest Sykes alikuja kuwatapeli wenzake na kusema ilikuwa ya kwake,

Dr Kwengyir Agrey ndie aliyetoa msukumo wa mwamko, kwakuwa ndie aliyekuja kuwastua Watanganyika

Dr Vedasto Kyaruzi licha ya kumaliza digrii ya kwanza ya udaktari pale Makerere pia alikwenda nchini Uskochi kuchukua shahada ya uzamivu ya udaktari wa binadamu,

Hebu tumsome hapa kwa kirefu Daktari Aggrey ambae leo Kariakoo anaenziwa kwa kupewa jina la Mtaa ambao zamani uliitwa Stanley lakini sasa unaitwa Aggrey

James Emman Kwegyir Aggrey (October 18, 1875 – July 30, 1927) was an intellectual, missionary, and teacher. He was a native of the Gold Coast (modern Ghana) who later emigrated to the United States, but returned to Africa for several years.

Biography

He was born in Anomabo, the son of the Kodwo Kwegyir, a friend of the then master chieftain Amonu IV. In the June 1883, he was baptized in a municipality in the Gold Coast and accepted his Christian first name James. He attended a Methodist school in Cape Coast, where the teachers noted that he was precocious, already studying Greek and Latin, and he subsequently rose to become the school's headmaster.

Dr. James Emman Kwegyir Aggrey

In 1898, at the age of 23, he was selected due to his education to be trained in the United States as a missionary. On July 10, 1898, Aggrey agreed and left the Gold Coast for the United States, where he settled in Salisbury, North Carolina, and attended the Livingstone College. He studied a variety of subjects at the university, including chemistry, physics, logic, economics and politics. In May 1902 he graduated from the university with three academic degrees. Aggrey was very talented in language and was said to have spoken (beside English) French, German, Ancient and Modern Greek, and Latin.

In November 1903 he was appointed the minister of the African Methodists Zion church in Salisbury. In 1905 he married Rose Douglas, a native of Virginia, with whom he had four children. In the same year he began to teach at Livingstone College. In 1912 he earned his doctorate in theology, and in 1914 followed a doctorate in osteopathy. In the same year he transferred employment to a small municipality to North Carolina. Between 1915 and 1917 Aggrey took up further studies at what is now known as Columbia University, where he studied sociology, psychology and the Japanese language.

In 1920 Paul Monroe, a member of the Phelps Stokes Fund offered Aggrey the opportunity to attend a research expedition to Africa to determine which measures were necessary for the improvement of education in Africa. Aggrey accepted and visited what are now ten different countries in Africa, where he collected and analyzed education data. In 1920 he visited Sierra Leone, Liberia, the Gold Coast, Cameroon and Nigeria. In 1921 he visited the Belgian Congo, Angola and South Africa.

During this journey Aggrey made a significant impression and underscored the importance of education among some people who would become important figures in Africa, including Hastings Kamuzu Banda, later president of Malawi, Nnamdi Azikiwe, the first president of Nigeria, and Kwame Nkrumah, the first president of Ghana.

In Ghana he delivered a lecture that persuaded Governor Guggisberg that Achimota College should be co-educational:He was the first vice Principal of Achimota College.

“The surest way to keep people down is to educate the men and neglect the women. If you educate a man you simply educate an individual, but if you educate a woman, you educate a family.”

In South Africa he delivered a lecture which used the keys of the piano as an image of racial harmony:

I don’t care what you know; show me what you can do. Many of my people who get educated don’t work, but take to drink. They see white people drink, so they think they must drink too. They imitate the weakness of the white people, but not their greatness. They won’t imitate a white man working hard. If you play only the white notes on a piano you get only sharps; if only the black keys you get flats; but if you play the two together you get harmony and beautiful music.

In 1924 Aggrey was appointed by the governor of the Crown Colony Gold Coast Sir Frederick Gordon Guggisberg as the First Vice Principal of Achimota College in Accra.He designed the emblem of Achimota College. He resettled with his wife and children at the college, north of Accra.

In May 1927 he returned to the United States, and in July admitted to a hospital in Harlem, New York, where he died later that month
 
ingawa hitimisho lako zuri lakini sikubaliani na mwanzo uliposema kuwa tuliharakisha kupata uhuru kwa Tanganyika Uingereza alikuwa amekabidhiwa nchi yetu na umoja wa mataifa mpaka pale tutakapokuwa tayari lakini uingereza haikufanya chochote kuhakikisha tunajiandaa kuwa huru na hata hao wasomi wachache tuliopata ulitokana na mfumo wa uingereza kuwapa elimu upendeleo watoto na machifu na watemi elimu waliyopewa watanganyika kwa kiasi kikubwa ilikuwa kwa ajili ya kuwatumikia wakoloni wala sio wataalamu kwa ajili ya kuja kuendesha nchi baadae na vitu vingi kama vya maendeleo vilifanywa na mjerumani kama reli bandari kuvitaja kwa uchache ukifatilia hotuba ya Nyerer ya miaka baada ya uhuru ambayo alithubutu kuwaalika wakoloni na kuwaonyesha nini wamefanya ambacho wameshindwa kufanya utajua kwanini tulistahili kupata uhuru muda huo lakini nakubaliana na wewe kuwa katiba haiitaji kuharakishwa bali wananchi walitakiwa waelimishwe kwanza na kwa mtindo huu uliotumika tusitegemee kupata katiba bora kwanza wanasiasa wameuteka huu mjadala na hili kosa limefanywa na vyama vyote chama tawala na vyama pinzani ukisikiliza kikubwa kinachotawala kwenye malumbano ni muundo wa serikali za muungano wakati kuna mambo ya msinhi kama ardhi yameachwa pia hata bunge la katiba wanasiasa wamechukua nafasi kubwa kuhusu wasomi tujiulize tunapomuongelea msomi tunamuongelea mtu wa namna gani kitu ambacho wengi hawataki kukubali tuna wasomi wengi wa makaratasi wenye vyeti vikubwa lakina havina matunda kwa jamii lakini pia tuangalie mfumo unaotumika kuwapata hao wasomi wakati wananchi wengi wanakosa haki yao ya msingi ya kupata elimu bora kuna kundi la wachache limeendelea kuhodhi haki hiyo kwa makusudi ili mradi wao na vizazi vyao waendelee kutawala lakini hao wasomi tunaowasifia ndio hao walioiingiza nchi kwenye mikataba mibovu ya rasilimali za nchi ndio hao wanaoshindwa kutoa maamuzi ya kesi zinazohusu maslahi ya taifa uadilifu ni bora mara milioni kuliko kuwa na msomi asiye mwadililifu upande wa Ghana kwa kipindi kifupi alichichokaa Kwame aliweza kujenga bwawa la kuzalisha umeme na kama asingepinduliwa Ghana wangekuwa mbali sana
 
Mkuu nashukuru sana kwa mchango wako,

Mtazamo wangu juu ya Uhuru unaitazama Afrika kwa ujumla,
 
Mleta mada kwangu yuko sahihi tena sio kwa kuwa ni zao la mulugu. Kitu ambacho watanzania wengi hakielewi ni kwamba mpaka sasa mchakato huu umekwenda kombo kwani umetoa nafisi kubwa kwa wanasiasa kujadili jambo ambalo linawahusu wa watanzania wote(watanzania tuko million 44 na zaidi lakin vyama vya siasa vyote vina wanachama wasiopungua million 10 ndio waliohozi mchakato huu je vp kuhusu hawa ambao hawana vyama ambao hakubaliani na itikadi za ccm .chadema cuf nccr wala vyama vingine vya siasa je haki ya wengi wasio na itikadi za kisiasa wana haki gan katika projet hii kama sio ubabaishaji kwa hiyo mtaoa mada yuko sahih hapa tutapata katiba ya kisiasa na sio katiba ya kiraia na jambo jingine ni kwamba katiba ni suala la kisheria na siyo suala la kisiasa hivyo watanzania tunapaswa kuwa makini hawa wanasiasa wanaotetea masilahi yao binafsi kwan huwezi kupigania madiliko katika vipengele vya uchaguzi kwan wao wanataka kupata nafasi ya kuongoza kupitia vipengele hivi
 
mkuu nakushukuru sana kwakutambua mchango wangu, katika hili tunahitaji nguvu ya pamoja

Nimepitia hii thread ingawaje si kwa kila contributer. I am proud of you, I do not how old are you please keep it up with this spirit your contribution is great. I am a mathematician but I have understood the content though it is not numbers.

Thank you very much I salute you
 
Mkuu asante sana, karibu sana mkuu
 
^^
Lakini kama Tanganyika ya wakati huo haikuwa na wasomi kiwango cha kuiongoza nchi wana tofauti gani na hawa wa sasa ambao wana elimu nzuri na bado utaifa unakondeana ?
Nakubali kuwa katiba inahitaji muda maana inapelekwa kisiasa sana
^^
Uzalendo hauhitaji uwe msomi hata kidogo,
 
Tangu Tanganyika ipate uhuru 09/12/1961 hadi kifo chake chenye utata 1964, ilitumia KATIBA ya chama cha Ukombozi cha TANU iliyoandikwa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, pamoja na mahuisho mengi yaliyopita kama yale ya 1962, 1965, 1977, 1992 bado asili ya katiba hii tuliyonayo leo ni ya MKONO wa Julius Nyerere,

Marekebisho makubwa ya Katiba yalikuwa ni mwaka 1977, lakini asili ya KATIBA ile ya Mkono wa Nyerere imeendelea kuishi na kulitendea haki Taifa na wajihi wake!

Yericho,

Nilipo RED.

nafikiri hii ni kumpa swifa ambayo Nyerere hakuwa nayo. Je Nyerere digrii ya Sharia aliipata wapi? na kuweza kuandika Katika ambayo ndio sharia mama ya Nchi?

Je inawezekana KATIBA ya nchi ikaandikwa na mtu mmoja tena mtu huyo awe ni kiongozi mkuu wa nchi hiyo? Je atatumia sharia gani kuihalalisha na kutumika katika nchi hiyo?

Au kama iliandikwa wakti akiwa madarakani , Je ni sahihi kusema katiba hiyo kandika yeye? kama ilivyo sasa mkipata katiba mpya mseme Kikwete kaandika katiba?

Nafikiri ni wakti muafaka kusimama katika ukweli na sio kuzulia maiti mambo.
 
Ninaposema "Nyerere" alisndika katiba ninamaana pana zaidi mkuu,

Siangalii kwa upeo wa karibu hivyo ndugu yangu,

Leo katiba mpya inaandika na Jakaya, hilo halihitaji elimu ya uganga wa jadi kulisema na kulielewa,

Kiongozi ndie husifiwa na kuwa utambulisho watukio
 
Yericko.

Kama hayo unayonena ni sawa.

Inakupasa ujue kuwa wakati wa mkoloni Tanganyika hakukuwepo na ulanguzi wala Rushwa. Ulanguzi na mambo ya rushwa yameanza wakti wa utawala wa Nyerere. Je itahitaji skuli hapo nikisema kuwa Nyerere ndio muasisi wa Rushwa na Ulanguzi ambao leo hii mnaita Ufisadi huko Tanzania?

Sio kweli, kama ni rushwa ilikuwepo hata kabla ya adamu na hawa,
 
Yericko.

Kama hayo unayonena ni sawa.

Inakupasa ujue kuwa wakati wa mkoloni Tanganyika hakukuwepo na ulanguzi wala Rushwa. Ulanguzi na mambo ya rushwa yameanza wakti wa utawala wa Nyerere. Je itahitaji skuli hapo nikisema kuwa Nyerere ndio muasisi wa Rushwa na Ulanguzi ambao leo hii mnaita Ufisadi huko Tanzania?

Sio kweli, kama ni rushwa ilikuwepo hata kabla ya adamu na hawa,
 
Mkuu karibu sana,

Daktari
James Emman Kwegyir Aggrey ni sehemu ya wasomi wa mwanzo kabisa barani Afrika,

Tanganyika haitamsahau mtu huyu Daktari
James Emman Kwegyir Aggrey katika harakati za Ukombozi,

Mwaka 1925 miaka miwili kabla ya kifo chake akiwa Gavana wa jimbo la Crown katika serikali ya kikoloni, alifika Tanganyika katika ziara ya kiserikali, ambapo alitumia fursa hiyo kukutana na msomi mwenzie Daktari Vedasto Kyaruz aliyehitimu masomo yake ya Udaktani nchini Wales, na Mwalimu Cesil Matola, Ally Ramadhan, na mhamiaji kutoka Afrika ya Kusini ndugu Kleist Sykes na kuwashawishi waunde chama cha kushughulikia matatizo ya Watanganyika/Wafrika, ambapo 1927 Gavana wa Tanganyika Sir Edward Cameron alikubali kuwaanzishishia chama kiitwacho African Association (AA) ambapo vikao vya mwanzo kabisa vilifanyika nyumbani kwa Mwalimu Cesil Matola mtaa wa Lumumba na swahili ya leo jirani ni Bin Slum Tairi,

Licha ya Sir Cameron kuwaanzishia chama hicho pia akawapa nyumba mtaa wa Lumumba ya leo pale makao makuu ya ccm, kwakuwa ndie aliyekuja kuwastua Watanganyika

Hebu tumsome hapa kwa kirefu Daktari Aggrey ambae leo Kariakoo anaenziwa kwa kupewa jina la Mtaa ambao zamani uliitwa Stanley lakini sasa unaitwa Aggrey
Moderator, hivi huwa mnatumia vigezo gani uzi kuwa Sticky.

Yericko Nyerere,

Mbona unapenda kuandika uongo sana humu jamvini kwa kweli unawahadaa wengi sana.

Dr. James Kwegyir Aggrey amekuja Tanganyika mwaka 1924 wakati Dr. Vedasto Kyaruzi ana umri wa miaka 3, Dr. Vedasto Kyruzi amezaliwa mwaka 1921. Sasa hawa wamekutana wapi kama siyo uongo.

Halafu Dr. Vedasto Kyaruzi hajawai kusoma Wales amesoma Uganda na Scotland.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom