ila waliofanya mauaji hayo sio CCM!.🥺🥺🥺😭Waalimu ambao ni wana CCM, wana haki kukutana!
Pole sana!, ila waliofanya mauaji hayo sio CCM!.
Tumia lugha ya heshima, sio kuiba, ni kuchukua na kuweka!, huwezi kuiba kitu chako mwenyewe ni unachukua tuu!.
Duh...!.
P
Yes waliofanya mauaji sio CCM, ni vyombo vya dola,ila waliofanya mauaji hayo sio CCM!.🥺🥺🥺😭
Mpatie tu maana nyie mnaiami ICC kuliko vyombo vyetuZa jana hizo
Wanao haribu nchi ni vyombo vya ulinzi na usalama hao wengine mnawaonea hawana cha kufanya wala kubadili chochote, uchaguzi mwaka ulisimamiwa pia wa watu wasio kuwa watumishi kabisa na wanajua walicho fanyaHao mbwa ndo wanaua nchi kwa ujira wa buku 7 na huwaambii kitu kuhusu CCM. Hiyo taaluma imekua kama laana nchini, Wanatumika kuhalalisha mambo ya hovyo sana. Ina maana dada yake asingeuliwa na Samia bado asingeliona tatizo. huyo hajaamka bado
Mkuu mshana , nchi yetu bado mifumo utumishi wa umma ipo chini ya ccm, tusiwalaumu walimu, vp kuhusu maprofesa, wanszuon, madr, tissccm, wafanyabiashara, wakubwa,wapo ccm, shida yetu Tanzania ni kukosa elimu ya kujitambua. Ila ukombozi unakaribiaWaalimu ambao ni wana CCM, wana haki kukutana!
Pole sana!, ila waliofanya mauaji hayo sio CCM!.
Tumia lugha ya heshima, sio kuiba, ni kuchukua na kuweka!, huwezi kuiba kitu chako mwenyewe ni unachukua tuu!.
Duh...!.
P
Ni tatizo kubwa mno. Tena kaona hivyo baada ya ndugu yake kuuawa. Watu wa aina hii ni wabinafsi sana na wana akili za panya. Mpaka ''limpate'' ndiyo anaona ni tatizo. Hawa ndiyo wanahama vyama kwa sababu wamekosa vyeo na wanatetea unyama kwa sababu wamepewa fedha. Ni bora ingekuwa huyu mpuuzi ndiye kauawa na siyo huyo dada yake.sasa kama yeye muda wote aliokulia ccm kaona turning point ni okt 29, hili nalo si tatizo wakuu?
naunga mkono mkuu, hawa jamaa hapa wakizubaa tunaweza pigwa igizo la kujigawa wakatoa team wazalendo ikaaminika alafu baadae wakaendelea na mambo yao kama kawaidaNi tatizo kubwa mno. Tena kaona hivyo baada ya ndugu yake kuuawa. Watu wa aina hii ni wabinafsi sana na wana akili za panya. Mpaka ''limpate'' ndiyo anaona ni tatizo. Hawa ndiyo wanahama vyama kwa sababu wamekosa vyeo na wanatetea unyama kwa sababu wamepewa fedha. Ni bora ingekuwa huyu mpuuzi ndiye kauawa na siyo huyo dada yake.
Hata najua basi ni mfumo tu ndo jinsi ulivyoWalimu wamekuwa wahanga wa kutukanwa na kunangwabna watanzania hasa pale mambo yanapokwenda vibaya, kada zingine hazisemwi sana mfano polisi, madaktari, mainjinia, Afisa kilimo n.k
Katika tasinia ya ualimu nadhani wingi wao unawahukumu sana, na pia hawana taasisi imara ya kuwasemea na kukataa mambo ambayo hayana afya kwao
Walimu ni idara pekee ambayo haina wizara kamali mara wapo wizara ya elimu, mara Tamisemi, mara utumishi nk tofauti na idara nyingine kama jeshi, afya nk
Walimu ni cheap labour (siyo kauli nzuri) kwani wanalipwa maslahi kidogo na kazi nyingi kwa wakati mmoja.
Walimu ni forced labour (siyo kauli nzuli) kwani hulazimishwa kufanya kazi hata kama ni hatari kwa kutishiwa ajira zao na wao ikizingatiwa wanatoka tabaka la wakulima na wafanyakazi hawana jeuli ya kufanya zaidi ya kutii kila kitu
Kuna haja kama taifa kuangalia namna ya kusaidia tasinia hiii ya walimu na kutowapa lawama ambazo hakika haziwastahili
Aisee walimu nahisi ndio kada ina dharauliwa kuliko zoteHata najua basi ni mfumo tu ndo jinsi ulivyo
naam, yani hata wakisema sasa walimu imetosha atatafutwa mwingine wa kuweka katika mazingira mabovu, walimu na wao wamestuka siku hizi anayetaka mwanawe asome ampeleke private wao wanatafuta fursa kujikomboa kiuchumi kama watu wengine tuAisee walimu nahisi ndio kada ina dharauliwa kuliko zote
Asante kwa Tag nimeelewa mkuu🤝
Ila we Jamaa 😂naam, yani hata wakisema sasa walimu imetosha atatafutwa mwingine wa kuweka katika mazingira mabovu, walimu na wao wamestuka siku hizi anayetaka mwanawe asome ampeleke private wao wanatafuta fursa kujikomboa kiuchumi kama watu wengine tu
"hata mufeli darasa zima" 🤣Ila we Jamaa 😂
Et wanawaambia watoto et we soma usisome mi mshahara unaingia🙌
1. Je waalimu ambao ni wana CHADEMA nao wana haki hiyo ya kukutana??Waalimu ambao ni wana CCM, wana haki kukutana!
Pole sana!, ila waliofanya mauaji hayo sio CCM!.
P