PostGE2025 Kosa la Oktoba 29, 2025 tutalijutia sana

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
sasa kama yeye muda wote aliokulia ccm kaona turning point ni okt 29, hili nalo si tatizo wakuu?
Sio tatizo. Binadamu wengi tunastuka tunapoguswa na jambo. Huyu mwalimu amestuka pale dada yake alipopoteza maisha sio uchaguzi. Asingepoteza maisha angeendelea kuamini katika itikadi za chama chake na umuhimu wa chama hicho kuendelea kutawala. Yuko kama watanzania na binadamu wengi.

Amandla...
 
  • Thanks
Reactions: Lax

ukisema sio tatizo unatengeneza tatizo lingine kubwa zaidi,
maana hilo la binadamu wengi tupo hivyo ni kweli ila ndo tatizo lenyewe la kuambiana na kurekebisha,
na kama yeye kasikitika tu ndugu yake kufa na sio uchaguzi maana yake rais na uchaguzi wameshida vizuri tu, licha ya kukuza namba za kura ila kimsingi wameshida kwa kura chache
 
HUU SIO MKUTANO/KIKAK CHA CCM

Hawa ni waalimu wa Shule za Msingi na Sekondari kutoka Mikoa mbalimbali ya Tanzania.

Ni wale waalimu wafia Chama( CCM DAMU), wengi wao walisimamia uchafuzi wa October 29.

Jtatu na Jnne ya week hii waliitwa Dodoma kwenye Mafunzo.

Soma kisa chote hapa chini.👇

"*Habari kiongozi.

Mimi ni Mwalimu,

Nimekuwa Mwanaccm tangu utoto wangu, wazazi wangu wamenilea vizuri katika maadili ya Chama changu, japo waligeuka baada ya mauaji ya tarehe 29 maana dada yetu wa kwanza aliuwawa kwa Risasi akiwa ametoka kupiga kura.

Hawa ni walimu wa sekondari na msingi nchi nzima nikiwepo mimi mwenyewe, nafundisha shule ya msingi sitataja jina wasije kuninasa.

Majuzi tarehe 30 na 31, mwisho wa mwezi wa tatu tuliitwa Dodoma kwa ajili ya Mafunzo.

Mafunzo yalifanyika ofisi za CCM makao makuu Dodoma.

Wakufunzi 5 walialikwa kutoa hayo mafunzo kwa hao walimu mmoja wao akiwa ni Katibu Mwenezi Mkoa wa Songwe Mwalimu Yusufu Ally Rajab.

1.Mafunzo yalipoanza siku ya kwanza tulipongezwa kwa kazi kubwa tuliyoifanya tarehe 29.10.2025, tumeambiwa tulifanya kazi nzuri sana,nikakumbuka kifo cha dadaangu, machozi yakaanza kunitoka, nikainama chini ili wasije kunishtukia.

2. Tumepewa elimu ya Itikadi ya CCM, tumeelekezwa kukilinda Chama kwa gharama yoyote ile.

3. Tumeelekezwa tuwapo Mashuleni tuwafundishe wanafunzi falsafa na Itikadi ya CCM, kwamba bila CCM nchi itaingia kwenye machafuko Makubwa.

4. Tumeambiwa tuwe watulivyo, vyeo vipo vingi, tutapewa ukuu wa shule, uafisa Elimu, uratibu na fursa zingine zikija watatukumbuka.

Nakuomba sana usije kutaja jina langu, moyo wangu hautaki tena kuendelea kushiriki hii dhambi, dada yangu aliuwawa mimi nikiwa busy kuiba kura ili CCM ishinde.

Na pia naona kabisa mimi ni sehemu ya chanzo cha Elimu nchini kuharibika maana naona hata wenzangu, tuna kiburi, walimu wengi sisi tumekuwa mstari wa mbele kuanzisha migogoro mashuleni na tumekuwa na utendaji mbovu kutokana na majivuno kuwa chama kinatulinda, na imefika hatua wenzetu wanatugopa na sisi tunaona ni sifa..."...View attachment 3566914View attachment 3566915View attachment 3566916
Mamaeeee
 
Rndeleeni kuibomoa nchi yetu kwa kudandanywa na hao shetani!
 
Walimu wamekuwa wahanga wa kutukanwa na kunangwabna watanzania hasa pale mambo yanapokwenda vibaya, kada zingine hazisemwi sana mfano polisi, madaktari, mainjinia, Afisa kilimo n.k
Katika tasinia ya ualimu nadhani wingi wao unawahukumu sana, na pia hawana taasisi imara ya kuwasemea na kukataa mambo ambayo hayana afya kwao
Walimu ni idara pekee ambayo haina wizara kamali mara wapo wizara ya elimu, mara Tamisemi, mara utumishi nk tofauti na idara nyingine kama jeshi, afya nk
Walimu ni cheap labour (siyo kauli nzuri) kwani wanalipwa maslahi kidogo na kazi nyingi kwa wakati mmoja.
Walimu ni forced labour (siyo kauli nzuli) kwani hulazimishwa kufanya kazi hata kama ni hatari kwa kutishiwa ajira zao na wao ikizingatiwa wanatoka tabaka la wakulima na wafanyakazi hawana jeuli ya kufanya zaidi ya kutii kila kitu
Kuna haja kama taifa kuangalia namna ya kusaidia tasinia hiii ya walimu na kutowapa lawama ambazo hakika haziwastahili
Walimu ni forced labour (siyo kauli nzuli) kwani hulazimishwa kufanya kazi hata kama ni hatari kwa kutishiwa ajira zao na wao ikizingatiwa wanatoka tabaka la wakulima na wafanyakazi hawana jeuli ya kufanya zaidi ya kutii kila kitu🙇🏿‍♂
 
Aisee walimu nahisi ndio kada ina dharauliwa kuliko zote
Asante kwa Tag nimeelewa mkuu🤝
Walimu ni forced labour (siyo kauli nzuli) kwani hulazimishwa kufanya kazi hata kama ni hatari kwa kutishiwa ajira zao na wao ikizingatiwa wanatoka tabaka la wakulima na wafanyakazi hawana jeuli ya kufanya zaidi ya kutii kila kitu
 
Tumebakiza siku chache Mhe. Tundu Lissu atimize mwaka mmoja tangu akamatwe Aprili 9, 2025.

Kwa sasa tuweke picha hii kwenye profile ya group.

Kwa baadae tutaeleza kinachofuata.

Loading......
1775321097281.jpg
 
Hao mbwa ndo wanaua nchi kwa ujira wa buku 7 na huwaambii kitu kuhusu CCM. Hiyo taaluma imekua kama laana nchini, Wanatumika kuhalalisha mambo ya hovyo sana. Ina maana dada yake asingeuliwa na Samia bado asingeliona tatizo. huyo hajaamka bado
wakina lucas mwashambwa,tlah,choice
 
I thought you are smart upstairs!
I’m verifiably brilliant upstairs, don’t you dare underestimate my intelligence just because your tiny mind can’t handle a different viewpoint from mine
 
Back
Top Bottom