Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 13,075
- 11,682
Sio tatizo. Binadamu wengi tunastuka tunapoguswa na jambo. Huyu mwalimu amestuka pale dada yake alipopoteza maisha sio uchaguzi. Asingepoteza maisha angeendelea kuamini katika itikadi za chama chake na umuhimu wa chama hicho kuendelea kutawala. Yuko kama watanzania na binadamu wengi.sasa kama yeye muda wote aliokulia ccm kaona turning point ni okt 29, hili nalo si tatizo wakuu?
ukisema sio tatizo unatengeneza tatizo lingine kubwa zaidi,Sio tatizo. Binadamu wengi tunastuka tunapoguswa na jambo. Huyu mwalimu amestuka pale dada yake alipopoteza maisha sio uchaguzi. Asingepoteza maisha angeendelea kuamini katika itikadi za chama chake na umuhimu wa chama hicho kuendelea kutawala. Yuko kama watanzania na binadamu wengi.
Amandla...
Sawa.mzee wa jambo TVWaalimu ambao ni wana CCM, wana haki kukutana!
Pole sana!, ila waliofanya mauaji hayo sio CCM!.
Tumia lugha ya heshima, sio kuiba, ni kuchukua na kuweka!, huwezi kuiba kitu chako mwenyewe ni unachukua tuu!.
Duh...!.
P
MamaeeeeHUU SIO MKUTANO/KIKAK CHA CCM
Hawa ni waalimu wa Shule za Msingi na Sekondari kutoka Mikoa mbalimbali ya Tanzania.
Ni wale waalimu wafia Chama( CCM DAMU), wengi wao walisimamia uchafuzi wa October 29.
Jtatu na Jnne ya week hii waliitwa Dodoma kwenye Mafunzo.
Soma kisa chote hapa chini.👇
"*Habari kiongozi.
Mimi ni Mwalimu,
Nimekuwa Mwanaccm tangu utoto wangu, wazazi wangu wamenilea vizuri katika maadili ya Chama changu, japo waligeuka baada ya mauaji ya tarehe 29 maana dada yetu wa kwanza aliuwawa kwa Risasi akiwa ametoka kupiga kura.
Hawa ni walimu wa sekondari na msingi nchi nzima nikiwepo mimi mwenyewe, nafundisha shule ya msingi sitataja jina wasije kuninasa.
Majuzi tarehe 30 na 31, mwisho wa mwezi wa tatu tuliitwa Dodoma kwa ajili ya Mafunzo.
Mafunzo yalifanyika ofisi za CCM makao makuu Dodoma.
Wakufunzi 5 walialikwa kutoa hayo mafunzo kwa hao walimu mmoja wao akiwa ni Katibu Mwenezi Mkoa wa Songwe Mwalimu Yusufu Ally Rajab.
1.Mafunzo yalipoanza siku ya kwanza tulipongezwa kwa kazi kubwa tuliyoifanya tarehe 29.10.2025, tumeambiwa tulifanya kazi nzuri sana,nikakumbuka kifo cha dadaangu, machozi yakaanza kunitoka, nikainama chini ili wasije kunishtukia.
2. Tumepewa elimu ya Itikadi ya CCM, tumeelekezwa kukilinda Chama kwa gharama yoyote ile.
3. Tumeelekezwa tuwapo Mashuleni tuwafundishe wanafunzi falsafa na Itikadi ya CCM, kwamba bila CCM nchi itaingia kwenye machafuko Makubwa.
4. Tumeambiwa tuwe watulivyo, vyeo vipo vingi, tutapewa ukuu wa shule, uafisa Elimu, uratibu na fursa zingine zikija watatukumbuka.
Nakuomba sana usije kutaja jina langu, moyo wangu hautaki tena kuendelea kushiriki hii dhambi, dada yangu aliuwawa mimi nikiwa busy kuiba kura ili CCM ishinde.
Na pia naona kabisa mimi ni sehemu ya chanzo cha Elimu nchini kuharibika maana naona hata wenzangu, tuna kiburi, walimu wengi sisi tumekuwa mstari wa mbele kuanzisha migogoro mashuleni na tumekuwa na utendaji mbovu kutokana na majivuno kuwa chama kinatulinda, na imefika hatua wenzetu wanatugopa na sisi tunaona ni sifa..."...View attachment 3566914View attachment 3566915View attachment 3566916
Rndeleeni kuibomoa nchi yetu kwa kudandanywa na hao shetani!HUU SIO MKUTANO/KIKAK CHA CCM

Walimu ni forced labour (siyo kauli nzuli) kwani hulazimishwa kufanya kazi hata kama ni hatari kwa kutishiwa ajira zao na wao ikizingatiwa wanatoka tabaka la wakulima na wafanyakazi hawana jeuli ya kufanya zaidi ya kutii kila kitu🙇🏿♂Walimu wamekuwa wahanga wa kutukanwa na kunangwabna watanzania hasa pale mambo yanapokwenda vibaya, kada zingine hazisemwi sana mfano polisi, madaktari, mainjinia, Afisa kilimo n.k
Katika tasinia ya ualimu nadhani wingi wao unawahukumu sana, na pia hawana taasisi imara ya kuwasemea na kukataa mambo ambayo hayana afya kwao
Walimu ni idara pekee ambayo haina wizara kamali mara wapo wizara ya elimu, mara Tamisemi, mara utumishi nk tofauti na idara nyingine kama jeshi, afya nk
Walimu ni cheap labour (siyo kauli nzuri) kwani wanalipwa maslahi kidogo na kazi nyingi kwa wakati mmoja.
Walimu ni forced labour (siyo kauli nzuli) kwani hulazimishwa kufanya kazi hata kama ni hatari kwa kutishiwa ajira zao na wao ikizingatiwa wanatoka tabaka la wakulima na wafanyakazi hawana jeuli ya kufanya zaidi ya kutii kila kitu
Kuna haja kama taifa kuangalia namna ya kusaidia tasinia hiii ya walimu na kutowapa lawama ambazo hakika haziwastahili
Walimu ni forced labour (siyo kauli nzuli) kwani hulazimishwa kufanya kazi hata kama ni hatari kwa kutishiwa ajira zao na wao ikizingatiwa wanatoka tabaka la wakulima na wafanyakazi hawana jeuli ya kufanya zaidi ya kutii kila kituAisee walimu nahisi ndio kada ina dharauliwa kuliko zote
Asante kwa Tag nimeelewa mkuu🤝
wakina lucas mwashambwa,tlah,choiceHao mbwa ndo wanaua nchi kwa ujira wa buku 7 na huwaambii kitu kuhusu CCM. Hiyo taaluma imekua kama laana nchini, Wanatumika kuhalalisha mambo ya hovyo sana. Ina maana dada yake asingeuliwa na Samia bado asingeliona tatizo. huyo hajaamka bado
I’m verifiably brilliant upstairs, don’t you dare underestimate my intelligence just because your tiny mind can’t handle a different viewpoint from mineI thought you are smart upstairs!
Labda walipanga wapokea mgao wawe .... Wanoa Visu.
Hata kama wapo na hata wawe na upeo mkubwa kiasi gani,ukweli ni kwamba NYAKATI ZIMEWAKATAAWapanga mikakati wa ccm walishakufa. Waliobaki wapumbavu tu
Plus wapo wengi zaidi. Pia tunaogopa wasije wakawasanua watoto huko mashuleni kwa kuwapa ELIMU ya kujitambuaHivi kwanini waalimu
Hakuna kada nyingine
Au ndio tuseme waalimu ni wepesi sana 😅
Una hoja 🙌Plus wapo wengi zaidi. Pia tunaogopa wasije wakawasanua watoto huko mashuleni kwa kuwapa ELIMU ya kujitambua