CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 3,048
- 7,608
- Thread starter
-
- #101
Hebu tupe yako yenye maajabu [emoji706]Weak flow, basic rhymes, mi sijaona maajabu ya huo wimbo wa Disasta. Sanasana nimejua watanzania bado hawajui maana ya MC mkali.
Sawa mzee nenda kaimbe chitakiwat naona mmekomaa rapcha sijui dizaster ndio wasanii gan hao wanao julikana manzese na sinza tu
mnalumbana kwa vitu vya kijin..gaaana kito..ito hao wasanii hata ukienda morogoro tu apo hawajulikan daa
Nenda Kwa Mzee wako mwambie we mshenzi, then utajua maana ya alichokifanya dizasta.🚶🚶Rapcha kaandika mstari mmoja kajibiwa nyimbo nzima tena ya dakika 10 😂😂😂
Kajibu Kwa mihemko au kamuonya...?Buubaa moja tu yaani just a very simple and straight sentence kaijibu kwa mihemko na mtiririko wa ngonjera.
Enyi kizazi cha nyoka🤔🤔🤔Rapcha akiamua kumjibu kwa verse moja jamaa itambidi ahangaike amtungie album yenye nyimbo mia, yaani mstari mmoja kahangaika kuujibu kwa eight minutes plus diss-track.
Anatokea Sinza mkuu🤣Unakumbuka diss ya eminem kwa machine gun kelly,,?
Je futi sita ya mawenge kwa nikki mbishi?
Je diss ya kikozi kazi kwa weusi?
Kama unajua hip hop au culture vizuri futa ulicho andika
Hatia IV ilitakiwa kuwa riwaya lakini badala yake akaamua kuibadili iwe ngomakitabu alichoandika Dizasta kinaitwaje mkuu
Rapcha kaandika mstari mmoja kajibiwa nyimbo nzima tena ya dakika 10 [emoji23][emoji23][emoji23]
Hawez kukuelewa huyo mkuu[emoji16]Unataka kusema lyrics za mwanajua, shahidi, kanisa, money, confession of a mad man, mad son, mad teacher na mad philosopher ni sawa na lyrics kama za ngoma ya lisa [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Oya mkurugenzi kuna ushabiki then kuna ushabiki maandazi ndo unaoufanya huu
Nipe ngoma hata 1 ya hao modern rapers wenu ,, inayofanana ufikirishi kama kanisa,, nipe hata 1,, kama ni flows a lot of mcees wanazo, kunata na beat kila mtu anafanya,, but linapokuja swala la content that's where you draw ythe line
Wa jamaa na WCB yako uku unaielewa kitu kweli[emoji23]Wamekosa ubunifu... Watengeneze hitsongs hizo makiki haziwafikishi popote.
Nimekulia family ya hip-hop. Baba yangu alikuwa shabiki wa lost boys naught by nature na Craig Mack sijui utanieleza nini kuhusu hip-hop kipya.Wa jamaa na WCB yako uku unaielewa kitu kweli[emoji23]
Ndo wale wa oo my[emoji1787]Anatokea Sinza mkuu[emoji1787]
Huyo ni mzee wako sio wewe,,Nimekulia family ya hip-hop. Baba yangu alikuwa shabiki wa lost boys naught by nature na Craig Mack sijui utanieleza nini kuhusu hip-hop kipya.
Huyo ndo muimbaji mzuri sasa rap mipashoWanaimba wengi sana mimi namsikia Young Lunya tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hao wengine wanaimba nini
Ok mkuu tuendeleee kuenjoy gud music [emoji1666]Nimekulia family ya hip-hop. Baba yangu alikuwa shabiki wa lost boys naught by nature na Craig Mack sijui utanieleza nini kuhusu hip-hop kipya.
Kwahiyo leo hii kama mie ni shabiki wa Hip-hop na Mtoto wangu atakuwa kakulia katika familia ya hip hop au sio?Nimekulia family ya hip-hop. Baba yangu alikuwa shabiki wa lost boys naught by nature na Craig Mack sijui utanieleza nini kuhusu hip-hop kipya.
Kajibu kwa panic ndiyo maana 10yrs kwenye game hata YouTube subscribers ana 30,000 wakati Rapcha the genius story teller anao 160,000 na ni dogo wa juzi tu kwenye game.Kajibu Kwa mihemko au kamuonya...?