Unataka kusema lyrics za mwanajua, shahidi, kanisa, money, confession of a mad man, mad son, mad teacher na mad philosopher ni sawa na lyrics kama za ngoma ya lisa [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Oya mkurugenzi kuna ushabiki then kuna ushabiki maandazi ndo unaoufanya huu
Nipe ngoma hata 1 ya hao modern rapers wenu ,, inayofanana ufikirishi kama kanisa,, nipe hata 1,, kama ni flows a lot of mcees wanazo, kunata na beat kila mtu anafanya,, but linapokuja swala la content that's where you draw ythe line