Kosa la Rapcha kwenye his latest song ilikuwa ni kumtaja Dizasta Vina aka The Black Maradona

Kosa la Rapcha kwenye his latest song ilikuwa ni kumtaja Dizasta Vina aka The Black Maradona

wat naona mmekomaa rapcha sijui dizaster ndio wasanii gan hao wanao julikana manzese na sinza tu

mnalumbana kwa vitu vya kijin..gaaana kito..ito hao wasanii hata ukienda morogoro tu apo hawajulikan daa
 
wat naona mmekomaa rapcha sijui dizaster ndio wasanii gan hao wanao julikana manzese na sinza tu

mnalumbana kwa vitu vya kijin..gaaana kito..ito hao wasanii hata ukienda morogoro tu apo hawajulikan daa
Sawa mzee nenda kaimbe chitaki
 
Rapcha akiamua kumjibu kwa verse moja jamaa itambidi ahangaike amtungie album yenye nyimbo mia, yaani mstari mmoja kahangaika kuujibu kwa eight minutes plus diss-track.
Enyi kizazi cha nyoka🤔🤔🤔
 
Rapcha kaandika mstari mmoja kajibiwa nyimbo nzima tena ya dakika 10 [emoji23][emoji23][emoji23]

Beef nyingi sana za hip hop hata mbele huanza kwa namna hii

Huanza nanuchokozi wa hata neno moja au matari tu

Hebu fuatilia mabifu makubwa utabaini
 
Wanaimba wengi sana mimi namsikia Young Lunya tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hao wengine wanaimba nini
 
Unataka kusema lyrics za mwanajua, shahidi, kanisa, money, confession of a mad man, mad son, mad teacher na mad philosopher ni sawa na lyrics kama za ngoma ya lisa [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]

Oya mkurugenzi kuna ushabiki then kuna ushabiki maandazi ndo unaoufanya huu

Nipe ngoma hata 1 ya hao modern rapers wenu ,, inayofanana ufikirishi kama kanisa,, nipe hata 1,, kama ni flows a lot of mcees wanazo, kunata na beat kila mtu anafanya,, but linapokuja swala la content that's where you draw ythe line
Hawez kukuelewa huyo mkuu[emoji16]
 
Nimekulia family ya hip-hop. Baba yangu alikuwa shabiki wa lost boys naught by nature na Craig Mack sijui utanieleza nini kuhusu hip-hop kipya.
Kwahiyo leo hii kama mie ni shabiki wa Hip-hop na Mtoto wangu atakuwa kakulia katika familia ya hip hop au sio?

Ya Baba yako mwachie Baba yako, ndomana hamjafanana yeye kuwa shabiki wa hip hop hakukufanyi naww uijue hip hop, kwenye kusifia WCB huko ndio unafit vizuri mkuu

Save your Energy brother, wengi tushajua kuwa humkubali Dizasta vina na hatujui alikufanyaga nini ila kama inawezekana kuyamaliza fanyeni yaishe tu maana mbana pua kama wewe alafu unamchukia MC's lazima kuna tatizo mahala

We bifu zako always waga umezielekeza kwa wabana pua wenzio ambao wana shida na boss wako Diamond, sasa hii ya kumchukia msanii wa rap kiasi hiki inashtua kidogo na kwa tunavojua michezo yenu watoto wa sinza ilivo sijui tu Dizasta aligusa wapi

kila Uzi ambao unamuongelea Dizasta lazima utie kambi kudiss haijarishi mada inaongelea nini, Kwa upande wako ata kama angejibu Diss kwa dakika 1 bado ungekuja tena kudiss kuwa waga anasifiwa anajua kuandika iweje aandike diss ya dakika 1
 
Back
Top Bottom