Kosa la Rapcha kwenye his latest song ilikuwa ni kumtaja Dizasta Vina aka The Black Maradona

Mkuu punguza povu sina tatizo na dizasta ila napingana na wanaomuita ni msanii wa rap kwa kuwa anafanya sanaa tofauti na rapa Yule ni muimba ngonjera.
 
Hapa umemaliza kujenga hoja mzee wa kimasikhara?
Ulitaka niseme vinaa mzeee maana hata punch vers hana mzee baba[emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani ni kama ile ninakujaa ninatisha ..nawashikaa yeah hamuwezi kunitishaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa huu sio ujingaa mzeee hamna punch hapo ilaa kuna Punch zinapigwaa na raptchaa mpaka unasema hizi verse huyu mbwa aliwaza nini anyway master ni FID Q hawa mayoung acha wapambane tu.
 
Mkifikia muda wa kujadili album ya huyu kijana, mtanishtua. Disasta ni mkali wa content, ila ukiongelea lyrics magician, basi unamuongelea UNO!View attachment 2478545
Uyu anavyo vyote acha kumlinganisha na vitu vya kipumbavu asee hawa wako madaraja mawili tofauti kabisa muulize uyo vina nani kamuinsipire jibu utakalo pata rudi apa tujadili mzee
 
Zinaitwa punchlines mkuu, sio "punch verse".

Mpaka kufikia hapo naona hii sio sekta yako kabisa.

Vipi lile li mshangazi, mmerudia show?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…