Kosa la Rapcha kwenye his latest song ilikuwa ni kumtaja Dizasta Vina aka The Black Maradona

Kosa la Rapcha kwenye his latest song ilikuwa ni kumtaja Dizasta Vina aka The Black Maradona

Kwahiyo leo hii kama mie ni shabiki wa Hip-hop na Mtoto wangu atakuwa kakulia katika familia ya hip hop au sio?

Ya Baba yako mwachie Baba yako, ndomana hamjafanana yeye kuwa shabiki wa hip hop hakukufanyi naww uijue hip hop, kwenye kusifia WCB huko ndio unafit vizuri mkuu

Save your Energy brother, wengi tushajua kuwa humkubali Dizasta vina na hatujui alikufanyaga nini ila kama inawezekana kuyamaliza fanyeni yaishe tu maana mbana pua kama wewe alafu unamchukia MC's lazima kuna tatizo mahala

We bifu zako always waga umezielekeza kwa wabana pua wenzio ambao wana shida na boss wako Diamond, sasa hii ya kumchukia msanii wa rap kiasi hiki inashtua kidogo na kwa tunavojua michezo yenu watoto wa sinza ilivo sijui tu Dizasta aligusa wapi

kila Uzi ambao unamuongelea Dizasta lazima utie kambi kudiss haijarishi mada inaongelea nini, Kwa upande wako ata kama angejibu Diss kwa dakika 1 bado ungekuja tena kudiss kuwa waga anasifiwa anajua kuandika iweje aandike diss ya dakika 1
Mkuu punguza povu sina tatizo na dizasta ila napingana na wanaomuita ni msanii wa rap kwa kuwa anafanya sanaa tofauti na rapa Yule ni muimba ngonjera.
 
Hapa umemaliza kujenga hoja mzee wa kimasikhara?
Ulitaka niseme vinaa mzeee maana hata punch vers hana mzee baba[emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani ni kama ile ninakujaa ninatisha ..nawashikaa yeah hamuwezi kunitishaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa huu sio ujingaa mzeee hamna punch hapo ilaa kuna Punch zinapigwaa na raptchaa mpaka unasema hizi verse huyu mbwa aliwaza nini anyway master ni FID Q hawa mayoung acha wapambane tu.
 
Mkifikia muda wa kujadili album ya huyu kijana, mtanishtua. Disasta ni mkali wa content, ila ukiongelea lyrics magician, basi unamuongelea UNO!View attachment 2478545
Uyu anavyo vyote acha kumlinganisha na vitu vya kipumbavu asee hawa wako madaraja mawili tofauti kabisa muulize uyo vina nani kamuinsipire jibu utakalo pata rudi apa tujadili mzee
 
Ulitaka niseme vinaa mzeee maana hata punch vers hana mzee baba[emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani ni kama ile ninakujaa ninatisha ..nawashikaa yeah hamuwezi kunitishaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa huu sio ujingaa mzeee hamna punch hapo ilaa kuna Punch zinapigwaa na raptchaa mpaka unasema hizi verse huyu mbwa aliwaza nini anyway master ni FID Q hawa mayoung acha wapambane tu.
Zinaitwa punchlines mkuu, sio "punch verse".

Mpaka kufikia hapo naona hii sio sekta yako kabisa.

Vipi lile li mshangazi, mmerudia show?
 
Back
Top Bottom