Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yani flow za kijinga sanaa hamna kituudizasta na mrisho mpoto wanafanya sanaa moja
Ngonjera.dizasta na mrisho mpoto wanafanya sanaa moja
Mkuu punguza povu sina tatizo na dizasta ila napingana na wanaomuita ni msanii wa rap kwa kuwa anafanya sanaa tofauti na rapa Yule ni muimba ngonjera.Kwahiyo leo hii kama mie ni shabiki wa Hip-hop na Mtoto wangu atakuwa kakulia katika familia ya hip hop au sio?
Ya Baba yako mwachie Baba yako, ndomana hamjafanana yeye kuwa shabiki wa hip hop hakukufanyi naww uijue hip hop, kwenye kusifia WCB huko ndio unafit vizuri mkuu
Save your Energy brother, wengi tushajua kuwa humkubali Dizasta vina na hatujui alikufanyaga nini ila kama inawezekana kuyamaliza fanyeni yaishe tu maana mbana pua kama wewe alafu unamchukia MC's lazima kuna tatizo mahala
We bifu zako always waga umezielekeza kwa wabana pua wenzio ambao wana shida na boss wako Diamond, sasa hii ya kumchukia msanii wa rap kiasi hiki inashtua kidogo na kwa tunavojua michezo yenu watoto wa sinza ilivo sijui tu Dizasta aligusa wapi
kila Uzi ambao unamuongelea Dizasta lazima utie kambi kudiss haijarishi mada inaongelea nini, Kwa upande wako ata kama angejibu Diss kwa dakika 1 bado ungekuja tena kudiss kuwa waga anasifiwa anajua kuandika iweje aandike diss ya dakika 1
Rap inakuaje?Mkuu punguza povu sina tatizo na dizasta ila napingana na wanaomuita ni msanii wa rap kwa kuwa anafanya sanaa tofauti na rapa Yule ni muimba ngonjera.
Rapcha 's cult follower[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yani flow za kijinga sanaa hamna kituu
Rap ni one - two.Rap inakuaje?
na wewe ni cult follower wa RapchaRap ni one - two.
Kwanza unaijua one-two one-two au ndio wale mmevamia muziki wa rap alafu mkejigeuza wajuzi?na wewe ni cult follower wa Rapcha
Sinza pazuri! hata circuit ina loose connectionKwanza unaijua one-two one-two au ndio wale mmevamia muziki wa rap alafu mkejigeuza wajuzi?
Hapa umemaliza kujenga hoja mzee wa kimasikhara?Dizasta anaimbaa local sanaa yani kama Underground anaeimbaa kwa kusoma mistarii.. Rapcha mwamba sanaa
Ulitaka niseme vinaa mzeee maana hata punch vers hana mzee baba[emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani ni kama ile ninakujaa ninatisha ..nawashikaa yeah hamuwezi kunitishaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa huu sio ujingaa mzeee hamna punch hapo ilaa kuna Punch zinapigwaa na raptchaa mpaka unasema hizi verse huyu mbwa aliwaza nini anyway master ni FID Q hawa mayoung acha wapambane tu.Hapa umemaliza kujenga hoja mzee wa kimasikhara?
Uyu anavyo vyote acha kumlinganisha na vitu vya kipumbavu asee hawa wako madaraja mawili tofauti kabisa muulize uyo vina nani kamuinsipire jibu utakalo pata rudi apa tujadili mzeeMkifikia muda wa kujadili album ya huyu kijana, mtanishtua. Disasta ni mkali wa content, ila ukiongelea lyrics magician, basi unamuongelea UNO!View attachment 2478545
Zinaitwa punchlines mkuu, sio "punch verse".Ulitaka niseme vinaa mzeee maana hata punch vers hana mzee baba[emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani ni kama ile ninakujaa ninatisha ..nawashikaa yeah hamuwezi kunitishaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa huu sio ujingaa mzeee hamna punch hapo ilaa kuna Punch zinapigwaa na raptchaa mpaka unasema hizi verse huyu mbwa aliwaza nini anyway master ni FID Q hawa mayoung acha wapambane tu.
Rikiboy amevamia jukwaaZinaitwa punchlines mkuu, sio "punch verse".
Mpaka kufikia hapo naona hii sio sekta yako kabisa.
Vipi lile li mshangazi, mmerudia show?
Naunga mkonoSinza mashoga wengi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]oyaa mshangazi wangu umekukosea nini kakaZinaitwa punchlines mkuu, sio "punch verse".
Mpaka kufikia hapo naona hii sio sekta yako kabisa.
Vipi lile li mshangazi, mmerudia show?
Labda atoe wimbo mwingineMb zangu zimeisha kijinga. RIP Magwair
Mwenyewe ulijichanganya kama Rapcha. Karekebishe makosa utuletee habari wanao![emoji1787][emoji1787][emoji1787]oyaa mshangazi wangu umekukosea nini kaka