Kosa la Rapcha kwenye his latest song ilikuwa ni kumtaja Dizasta Vina aka The Black Maradona

Kosa la Rapcha kwenye his latest song ilikuwa ni kumtaja Dizasta Vina aka The Black Maradona

Za kitoto? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sishangai sababu uko light headed,,, kaisikilize confession of a mad philosopher ndo uje ubishane na mm,, hizo mumble raps zenu hata my dog anafanya
Lightheaded kwa sababu simkubali Dizasta, kwa hiyo huyo Dizasta ndiyo kipimo chako?
Lyrics zake na hizo so called mumble raps they're one and the same.
 
Lightheaded kwa sababu simkubali Dizasta, kwa hiyo huyo Dizasta ndiyo kipimo chako?
Lyrics zake na hizo so called mumble raps they're one and the same.
Unataka kusema lyrics za mwanajua, shahidi, kanisa, money, confession of a mad man, mad son, mad teacher na mad philosopher ni sawa na lyrics kama za ngoma ya lisa [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]

Oya mkurugenzi kuna ushabiki then kuna ushabiki maandazi ndo unaoufanya huu

Nipe ngoma hata 1 ya hao modern rapers wenu ,, inayofanana ufikirishi kama kanisa,, nipe hata 1,, kama ni flows a lot of mcees wanazo, kunata na beat kila mtu anafanya,, but linapokuja swala la content that's where you draw ythe line
 
Mdundo ni mkali sana,uwasilshaji ni kiwango cha juu
 
Lightheaded kwa sababu simkubali Dizasta, kwa hiyo huyo Dizasta ndiyo kipimo chako?
Lyrics zake na hizo so called mumble raps they're one and the same.
wewe mrembo wa sinza mbona kama umepanic sana, tulia usuuzwe kinyeo icho
 
DIZASTA ni mtu m-bad sana.....rapcha hakuna anacho jua zaidi ya kuchi kuchi nai nai
 
dogo alikuwa anajaribu kumuingiza dizasta kwenye mipasho yake ya taarabu, kakutana na uandishi matata
 
Rapcha kamjibu dizasta bwana na motra naye kachochea kuni kawapitia wote ... Naona hapa kuna uwezekano wakaibuka wengine kwenye hii battle maake naona pia kama motra kawapitia kina mex, mawenge, mbishi
 
Back
Top Bottom