CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 3,048
- 7,608
- Thread starter
- #141
Nyie dizasta kajibu kuna mstari mmoja anasema mama yako angetaka abortion ningetoa pesa[emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyimbo inaitwaje?Nyie dizasta kajibu kuna mstari mmoja anasema mama yako angetaka abortion ningetoa pesa[emoji23][emoji23]
Tribulation,, humo ni fayaaaaNyimbo inaitwaje?
Hao ni watu wawili tofauti kabisa katika Tasnia moja hivyo kila mmoja ana uwanja wake wenye aina ya mashabiki wake, na ndio nyinyi mnaobishana mpaka kufa na jibu halitapatikana.
Dizasta Vina ni MC
Hawa huwa hawajali wala kuchagua beat nzuri wala kufanya michano sana, hawa ni watu wenye kutumia maneno zaidi, misemo na kufuata misingi ya Hip Hop na ndio huonekana real siku zote, na tungo zao ni zenye upeo mkubwa kwani huumiza kichwa sana kwenye uandishi.
Hapa utawakuta Dizasta, Nash Mc, Fid Q, Young Killer, One incredible n.k.
Rapcha ni Rapper
Hawa huchana sana na ku flow sana, wanachagua sana beat nzuri na wana ujuzi mkubwa wa kutiririka na kucheza na vina na pia miongoni mwao ni wazuri wa Freestyle, pia hudandia muziki wowote wakaufanya vema.
Hapa utawakuta Rapcha, Young Lunya, Country Boy, Ngwea, Young Dee nk.
Hivyo panapotokea beef miongoni mwa Mc na Rapper watu hugawanyika kama kwa 2pac na Big.