Kosa la Watanzania ni lipi hadi wanafungia Tweeter?

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,743
Reaction score
6,240
Napatwa na hasira sana nikiona tweets za Samia na viongozi wengine wa serikali, this is not fair. Wakenya ndio waliojinasibu kudukua account, sasa una block acces to twitter kwanini? Kingine sio kila anaetumia twitter yuko ki siasa, there is more than politics on twitter.

TCRA, wizara ya mawasiliano na yoyote anaehusika, acheni u dikteta wa kidigotali, tendeni haki.

Stop this nonsense digital fascim.
 
The guilty are afraid..!!!!
 
Tuendelee kumlaumu marehemu na kumsifia MITANO TENA, dikteta vs mpenda amani na diplomasia, mkasema;
  • ANAIPONYA nchi
  • ANAFUNGUA nchi!
  • Mama ni bora, amerudisha demokrasia
  • Ameruhusu mikutano ya kisiasa

Uponyaji umefikia hatua gani?
Mikutano ya kisiasa inaendeleaje?
Diplomasia, imefikia wapi? Nasikia tumefanikiwa kuwakamata waarabu, mambo ni mwemwele.

Nasikia, nchi imetamalaki, pesa nje nje, number plate zinakimbia balaa, ishara ya uchumi kukua.

Wanasema, majumba yanamea balaa, wananchi wamekuwa matajiri.

Tupeni kaifa kwa sisi tulio Burundi
 
Ndo maana nikawa nashangaa mbona haiingii
 
Ni kweli juzi nimeona TZF
 
yale aliyoyafanya mwenzie tukamlaumu ndo na yeye anayafanya.NA YEYE TUTAMLAUMU KAMA TULIVYOMLAUMU MAREHEMU.
 
Back
Top Bottom