The guilty are afraid..!!!!Napatwa na hasira sana nikiona tweets za Samia na viongozi wengine wa serikali, this is not fair. Wakenya ndio waliojinasibu kudukua account, sasa una block acces to twitter kwanini? Kingine sio kila anaetumia twitter yuko ki siasa, there is more than politics on twitter.
TCRA, wizara ya mawasiliano na yoyote anaehusika, acheni u dikteta wa kidigotali, tendeni haki.
Stop this nonsense digital fascim.
Vipi ndugu yangu! Ya Amani stadium umeyasikia?The guilty are afraid..!!!!
Ndo maana nikawa nashangaa mbona haiingiiNapatwa na hasira sana nikiona tweets za Samia na viongozi wengine wa serikali, this is not fair. Wakenya ndio waliojinasibu kudukua account, sasa una block acces to twitter kwanini? Kingine sio kila anaetumia twitter yuko ki siasa, there is more than politics on twitter.
TCRA, wizara ya mawasiliano na yoyote anaehusika, acheni u dikteta wa kidigotali, tendeni haki.
Stop this nonsense digital fascim.
MUNGU ni fundi Sana anajua roho zetuTushukuru hii mitandao imetengenezwa na wazungu. Imagine ingekuwa ni vumbuzi za Waafrika.
Ni kweli juzi nimeona TZFTuendelee kumlaumu marehemu na kumsifia MITANO TENA, dikteta vs mpenda amani na diplomasia, mkasema;
- ANAIPONYA nchi
- ANAFUNGUA nchi!
- Mama ni bora, amerudisha demokrasia
- Ameruhusu mikutano ya kisiasa
Uponyaji umefikia hatua gani?
Mikutano ya kisiasa inaendeleaje?
Diplomasia, imefikia wapi? Nasikia tumefanikiwa kuwakamata waarabu, mambo ni mwemwele.
Nasikia, nchi imetamalaki, pesa nje nje, number plate zinakimbia balaa, ishara ya uchumi kukua.
Wanasema, majumba yanamea balaa, wananchi wamekuwa matajiri.
Tupeni kaifa kwa sisi tulio Burundi
Toka juziii, kwahiyo wanaoearn kupitia x inakuaje SasaUmechelewa kujua,
Kwenye LC300 ya 2023 sio!Ni kweli juzi nimeona TZF
Kwani ana internet yake!!!Ndio maana hata internet ya Elon Musk wameiwekea figisu.
Ndio nimeyasikia na kuyashuhudia.. Ni sehemu ya mchezo na yameshapitaVipi ndugu yangu! Ya Amani stadium umeyasikia?
yale aliyoyafanya mwenzie tukamlaumu ndo na yeye anayafanya.NA YEYE TUTAMLAUMU KAMA TULIVYOMLAUMU MAREHEMU.Tuendelee kumlaumu marehemu na kumsifia MITANO TENA, dikteta vs mpenda amani na diplomasia, mkasema;
- ANAIPONYA nchi
- ANAFUNGUA nchi!
- Mama ni bora, amerudisha demokrasia
- Ameruhusu mikutano ya kisiasa
Uponyaji umefikia hatua gani?
Mikutano ya kisiasa inaendeleaje?
Diplomasia, imefikia wapi? Nasikia tumefanikiwa kuwakamata waarabu, mambo ni mwemwele.
Nasikia, nchi imetamalaki, pesa nje nje, number plate zinakimbia balaa, ishara ya uchumi kukua.
Wanasema, majumba yanamea balaa, wananchi wamekuwa matajiri.
Tupeni kaifa kwa sisi tulio Burundi
Ya kutoana ngeu! Angalia mwishoniNdio nimeyasikia na kuyashuhudia.. Ni sehemu ya mchezo na yameshapita