Kosa la Watanzania ni lipi hadi wanafungia Tweeter?

yale aliyoyafanya mwenzie tukamlaumu ndo na yeye anayafanya.NA YEYE TUTAMLAUMU KAMA TULIVYOMLAUMU MAREHEMU.
Shida ni kuwa, yalianzia kwa mkwere, mkakaa kimya. Yakaendelea kwa Magu, mkasema yeye ndo kaanza!

Hayupo, bado mnasema ni yeye! Kwanini tusidhani waliokuwepo kipindi chote hicho ndo wanaendeleza walipoishia? Si ni wale wale?
 
kikwete anaweza akawa ana afadhari kwa magufuli kwa ubaya.na huyu mama ana kwenda kuwapiku wote.japo alianza vizuri tukamuamini.na sasa ametuangusha
 
Ule mwendo wa kuifungua nchi baada ya JPM kwenda zake bado unaendelea. Sasa watu wa X wamefikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…