Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Ukiingia kwa mtu hakikisha unayoyaona yanabaki siri yako, watu wanapiga hatua ya maendeleo kimya kimya si ajabu kashajenga au anajenga kwahiyo haoni haja ya kununua vitu wakata soon atakua kwake.No ila unatakiwa ujibane upate na wewe kitanda kizuri mfano mim niliaza kualal chini nikajibana niwezavyo nikaenda kukopangodoro dukani uku kila mwisho wa mwezi napeleka kiasi polepole nikamaliza na geto langu lina lidhisha kiasi chake