Kosa langu nini ni Vannesa?

Kosa langu nini ni Vannesa?

KOSA LANGU NINI NI VANNESSA [emoji174] [emoji3590] [emoji3590]

SEHEMU YA 9

Wiki mbili za mama yake kuwa Tanga tulizitumia vizuri sana maana alihamia kwangu mazima . Kasoro pekee ya Vannesa ni kwenye mapishi zaidi ya kupika wali tena kibishi vingine vilimzingua . Mimi nilimzidi hapo kwenye mapishi sio utani nipo vizuri , napika wali , pilau , ndizi, ugali, tambi , mtori , kiburu ngararimo , mtango na vinginevyo. Maisha ya zile wiki mbili yalinizamisha sana kwenye mapenzi kuliko kawaida tulizurura ma club mengi bar na kila sehemu tulipoona pamechangamka na kwa kiasi kikubwa zaidi hela yake ndio ilihusika .

Baada ya wiki mbili zile alirudi kwao mama yake alikuwa arudi siku inayofuata. Alivyoondoka tu nilianza kuhisi upweke wa hali ya juu nilikaa kinyonge isivyo kawaida nikawa angalau tuna chart mpaka usiku ila ilikuwa ngumu sana kuzoea ile hali ya kulala mwenyewe na kuwa mwenyewe getto.
Umbali ulizidi zaidi baada ya kumaliza semister ya kwanza likizo ile muda mwingi alikuwa kariakoo na walirudi wote na mimi nilienda kukaa kwa uncle msakuzi tukawa tumepumzika hivi maana tulikuwa moto sana penzi letu lilikuwa stori ya mtaa pale . Pisi niliyomiliki ilikuwa sio ya kitoto anayeimiliki lazima awe na kaumaarufu flani .

Sasa siku mbili kabla ya kwenda kuianza semister ya pili si nikawa nimerudi kwenye getto langu . Akagoma kwenda kazini na mama yake akaja getto aisee hiyo siku tulizini kama hatutakaa tuzini tena tulifanya mapenzi kwa kasi sana alikuwa anaizungushia mauno utadhani siku hiyo alikula cha arusha mimi mwenyewe siku hiyo siku poa nilirusha mabomu kuhakikisha navunja safu ya ulinzi. Nilishambulia kama sitakaa nipate tena nafasi hiyo . Mpaka tunamaliza kila mmoja alikuwa hoi tukawa tunaangaliana tunacheka kwa tulichokifanya . Siku hiyo tulishinda wote akarudi home kesho akaja tena kama kawaida


Kosa langu lipo wapi?


Final inakuja . Utaniambia nilikosea wapi basi. Saa 4 kamili
Imeshakua maji bila majani. Wewe umesema mama angesafiri siku 3 kwenda Singida. Badae zikageuka wiki mbili akiwa Tanga. Sema tu inaonekana kwa uzinzi hujambo kabisa
 
Imeshakua maji bila majani. Wewe umesema mama angesafiri siku 3 kwenda Singida. Badae zikageuka wiki mbili akiwa Tanga. Sema tu inaonekana kwa uzinzi hujambo kabisa
Nashukuru kwa kusoma kwa umakini mkubwa sana . Bila shaka imekuvutia ndio maana. Hayo makosa ni kawaida ni kisa cha muda mrefu hivyo kuna sehemu lazima utashindwa kuzikumbuka vizuri au utachanganya matukio , Tanga nikwa wajomba zake, singida kwa baba yake mzazi
 
Nyumbani kwao ulikuwa unapafahamu, kwanini hukwenda kwao kumuulizia kutaka kujua nini kilimsibu ama alikwenda wapi?
 
KOSA LANGU NINI NI VANNESSA?

Sehemu ya 7[emoji174][emoji174][emoji174][emoji174][emoji172]

Tusonge nayo .......

Sikujua mengi lakini yeye alinifundisha kama chumvini nilizama baada ya kunionesha video wakati huo kuwa unaingia tu bila VPN sio kama sasa. Nilijitahidi nimfurahishe nikafanya mbwembwe zote mpaka mrembo akavunja dafu la kwanza na ndivyo alivyotaka alitaka avunje dafu kabla sijampiga mashine. Muda huo nina uchu kinoma nimpige pipe nipate raha ya kumwaga lakini ndio hivyo nilikuwa nafundishwa namna ya kumfurahisha yeye . Baada ya dafu la kwanza akanifundisha kuchezea kiharage na matumizi ya mkono na vidole kwa ujumla ili kumfurahisha mwanamke huku nikimweka staili ambayo nitakuwa nanyonya chuchu pia nilifanya hivyo akawa analalamika utamu na akaniruhusu kutumia mashine baada ya malalamiko mengi. Sasa baada ya kuruhusiwa tu aisee si kwa uchu wangu nikazamisha kwa pupa mpini break mbupu. Alijitoa fasta na kunipiga kofi dogo . Alimind sana na kunilalamikia unaingizaje hivyo ghafla mpaka mwisho daah ilibidi ni mbembeleze baada ya kuonesha kaufundi kakubembeleza akadeka deka baadae akacheka akasema sasa umekuwa mwanaume kweli kweli unajua kubembeleza sana .

Tukarudi nikaanza kiss kwa sana nikarudia mchezo wa kutumia mkono na kunyonya chuchu kama last born nikasubiri mpaka alipokuwa hoi kabisa . Nikaanza kutumia kichwa kuchezea papuchii ndio akazidi kupagawa baada ya kichwa kulowa ndio nikaanza kuingiza taratibu nikihofia kumkasurisha tena hata kupampu nilifanya taratibu mpaka mwenyewe akalalamika kwa tabu kuwa sio taratibu hivyo nikamwelewa ndio nikaanza sasa kupeleka shoo nilipeleka kama dakika tano tu akavunja dafu la pili na kwa mbwembwe alizoonesha na mimi nikaishia hapo hapo nikamwaga wazungu kwa raha ya ajabu. Bao la tatu ndio lilidumu karibu nususaa nimo tu na hapo naye akavunja dafu tena .

Baada ya hapo tulioga tukatoka akaninunulia nguo kali sana tukarudi . Alivyokuja kumbe kwenye mkoba wake alikuja na nguo na viatu akavaa na mimi nikavaa . Akaniweka fresh kunipaka mafuta na kuchana nywele zangu. Naye akajiweka fresh nikamfunga zipu ya gauni lake alipendeza sana nikamsifia naye akanisifia . Akisema leo naenda kuringa na wewe handsome wangu ole wako unisaliti . Nikabisha akaniambia hujijui tu nimekufundisha mapenzi ila bado nahofia utanisaliti. Nikabisha nikamwambia serious wewe ndio umenifundisha mapenzi au mimi ndio nimekufundisha acha hizo. Akacheka sana akasema umeanza kujiamini na kuwa mwongo kama wengine mapema hivi. Hapo tukacheka tu na kutoka zetu kuelekea kwao.

Kosa langu nini?

Sehemu ya 8....
Hako kadada kalikuwa sungura tope tu,kamalaya ,kapenda ngono.Kalikuona zoba kakajua katakudhibiti ulipoanza kukaramka kakaona jau kakala kona..Sasa hivi lishakuwa li single maza kama mamaye.By the way madem waaotogoza hawaki na mwanaume mmoja maana wao ni pendapenda.Ukimvutia anakuvutia waya ,akiona mwingine akamvutia ,anamvutia waya.Hata mimi nilikutana na mkasa wa Jacky mtoto wa profesa,ilikuwa balaa.
 
Nashukuru kwa kusoma kwa umakini mkubwa sana . Bila shaka imekuvutia ndio maana. Hayo makosa ni kawaida ni kisa cha muda mrefu hivyo kuna sehemu lazima utashindwa kuzikumbuka vizuri au utachanganya matukio , Tanga nikwa wajomba zake, singida kwa baba yake mzazi
Ni kweli imenivutia,jana sijalala nimeisoma mwanzo mwisho. Next tu jitahidi kuondoa hizo kauli za kihuni huni, upo vizuri kwa stori. Jitahidi ushushe nyingine. Hii naikopi nikikaa sawa lazima ntairudia. Yawezekana Vanessa(nina imani si binti yangu),alionjesha kwingine kikanuka akakosa namna ya kukueleza
 
KOSA LANGU NINI NI VANNESSA [emoji174] [emoji3590]

SEHEMU YA 10 FINAL...
.
MWISHO USIACHE KUNIAMBIA LABDA KUNA SEHEMU NILIKOSEA ALAFU MIMI SIJASHTUKA [emoji3531]

Tuendelee

Mahusiano yetu yaliendelea mara kadhaa tukiishi wote mpaka alivyomaliza diploma ila kabla hajamaliza . alianza kubadilika na kuwa mtu wa huzuni . Sio yule Vannesa niliyemzoea baadae nilijagundua ni mjamzito nilishtuka sana . Maana sikutarajia kwa ujanja alionao angezembea abebe mimba . Akawa mtu wa kulia sana . Nilimbembeleza nikimwaminisha hakuna kitakachobadilika lakini hakuna jibu nililopewaga na mpaka leo sijui na siamini kama ni mimba kuwa inamliza

mwezi mzima nilipewa mara mbili na Nilipewa kinyonge sana nakuondoka . Nilijiuliza sana sana tatizo nini ila nilikuwa nauchosha ubongo bure sikupata majibu. Mimi mwenyewe nilipoteza furaha kabisa. Nikawa kama nimeganda hivi sio kwa sababu ya mimba hapana kwa sababu ya kupoteza kabisa utani tabasamu mazoea na uchangamfu aliokuwa ananiletea Vanne... hapa tu tayari nilianza kuonja maumivu ya kumpoteza kipenzi changu.

Sasa baada ya kama mwezi siku moja akiwa ashamaliza diploma ( nilisahau kuwaambia mrembo alikuwa anaitafuta diploma )alikuja ghafla getto . Alikuja analia mfululizo alivyofika tu akanirukia na kulala kifuani kwangu nikafunga mlango kwa mguu nikasogea nae mpaka kwenye sofa na kujaribu kumbembeleza huku nikimwomba aniambie kinacho msibu akawa ananiangalia usoni tu na kuongeza kulia .

Nilijikuta nikilia pia [emoji24][emoji24] tena machozi yakitoka kwa kasi ajabu nikihisi labda mimi ndio sababu ya yeye kuwa kwenye hali ile akawa ananifuta machozi nikamuuliza kosa langu nini ni Vannesa hakunijibu. Nilimkumbatia nikizidi kumuuliza lakini wapi mpaka leo sijawahi kujua kwanini alibadilika vile . Nikajaribu kumtajia ni mimba akatikisa kichwa kuashiria hapana na kuongeza kulia kwa kweli nilijikuta nalia pia kama nimefiwa .
Baada ya muda aliinuka ghafla . Akiwa amenyamaza akataka kutoka kufika mlangoni . Akaanza kuniambia nakupenda sana . Wewe ni mwanaume wapekee niliyekupenda kwenye maisha yangu. Akanikumbatia . Akaniambia najua unanipenda sana pia ila hakuna namna .

Moyo wangu ulihisi jambo baya machozi yalianza kutoka mpaka leo hii sijawahi tokwa na machozi hivyo. Akajitoa kwenye kukumbatiana akanipiga kibao cha wastani tu akiwa ashafuta machozi yake na nikawaida yake akitaka umakini. nilikuwa nishamzoea akarudia kingine kikali cha kuuma kabisa akaniambia unaweza kuishi bila mimi jitahidi kujipenda na kujilinda usiwe malaya sawa . Hapo tayari machozi yalianza kumlenga nataka kumkumbatia ili nimuulize tena shida nini akarudi nyuma na kuanza kukimbia nilimfuata mpaka nje ya geti nikilia sana . Akanigeukia tu uso wake ukiwa umefunikwa na machozi huwezi kuamini kama ni yeye . mimi nilikuwa nimemzoea usoni mda mwingi ni kutabasamu tu ila leo sura yake ili funikwa kwa machozi na huzuni tele alibadilika rangi na kuwa mwekundu . Hata mwili wake ulikuwa umepungua sana ndani ya mwezi ambao kuwa simwelewi.

Basi ndio sura iliyobaki kwenye akili yangu mwishoni akilia machozi yakishuka kinoma akanipungia mkono wa kwaheri na kusepa. sikuweza kumfuata zaidi kwani nilitoka peku sikufunga mlango na ile hali ya kulia ilibidi nilirudi tu ndani nisionekane na kadamnasi. Nilibaki Nikiumia na kuwaza mengi sana nikaanza kuwaza labda amepima ukimwi nini kakutwa nao na kaona nitamlaumu yeye au. Nilijiuliza sana nikaamua kwenda kupima . Majibu yakawa hakuna. Na angekuwa nao ningepata tu kama kuwa hatumii dawa na match za kibabe zisizo na fair play lazima ingekuwa balaa . Siku hiyo nilikosa usingizi kabisa kuwa sielewi nini kinaendelea

Sasa asubuhi na mapema kesho yake . Nilikuta meseji imetumwa saa nane usiku. Alituma Vanne. Inasema " Nitakuwa mbali ,mbali sana naomba usijitese kabisa endelea na maisha jiamini hakuna mwanamke wa kukukataa wewe naomba naomba sana uendelee na maisha. Jana nilitaka ulie ili nikiondoka usilie tena naomba iwe hivyo usilie wala kuwa na huzuni "
Daah sijui aliwaza nini meseji ndio kwanza ilinipa kilio acha nikiri tu nililia sana
Hiyo ndio meseji ilikuwa ya mwisho kabisa laini aliitelekeza mpaka ikafungiwa na account zake za social media alifuta zote mpaka email.

Na meseji yangu ya mwisho kwake ilikuwa kosa langu nini ni Vannesa?. Kwanini unataka kuniacha mwenyewe. Kosa langu nini?.

Mpaka leo hii sijibiwi?.
Akaniacha mpweke zaidi ya mpweke mkiwa zaidi ya mkiwa nilichanganyikiwa balaa .

Chuo nilienda kinyonge sana kila nikipitaga hiyo njia kumbukumbu zinanijia nilivyokuwa natembea nipo nae. Nikawa na mwona kwa mawenge niliyokuwa nayo nilipoenda jengo tulilokutana sana mgahawa tuliokuwa tunakula ulikuwa ni mtihani sana .

Kila siku najiuliza kosa langu nini ?
Nimiaka miezi siku kibao zimepita hata kunitafuta mara moja tu hanitafuti . Hata nijue tu kosa langu haniambii.
Naumia sana .

Kwanini basi ulinifundisha kupenda ?
Kwanini ulinionjesha penzi nikiwa kwenye kilele cha furaha ukanitelekeza ?

Kiukweli nilichelewa sana kununua nguo kwani wakati wote tulikuwa pamoja karibu miaka miwili sikununua nguo bila yeye na yeye ndio alikuwa ananichagulia kila nilipotakaga kununua nguo nilishindwa kabisa kujiamini kama hiyo nguo itanipendeza . Mwaka na miezi nane ilipita bila mimi kunua nguo mpya zaidi ya kudandia za wadogo zangu wawili ambao tunalingana kabisa kimo na unene ukituona utadhani mapacha nilitaka kujirudisha alikonitoa kuvaa ovyo . Au kiheshima sana kujaribu kumsahau lakini wapi ikawa kama kukimbia kivuli changu mwenyewe.

Kiukweli baada yake nilishalazimisha mahusiano kadhaa lakini wa kumfikia hata robo Vannesa wangu hakuna .

Miaka inaenda naogopa kuoa mwanamke ambaye moyo wangu haumpendi licha ya kuwa anatabia njema na sura nzuri. Na kadata sana kwangu. Na kumwacha a move on namwonea huruma na sioni mbadala wake yupo vizuri tu

Hebu nishaurini kwa hili la kuoa huyu mrembo ambaye anaingia kwenye maisha yangu ila moyo wangu katoweka nao mrembo Vannesa . Nimwoe hivyo hivyo au niendelee kumsubiri Vannesa


Swali la pili . Ile mimba naamini ni yangu je atakuwa alienda kutoa au mtoto yupo? Na kama yupo kwanini hamleti ?

Swali la mwisho kwa ulivyosoma
KOSA LANGU NINI?

[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Ila Vanne hakua mkatili kama Mercy wa DeMostAdmired
 
Hako kadada kalikuwa sungura tope tu,kamalaya ,kapenda ngono.Kalikuona zoba kakajua katakudhibiti ulipoanza kukaramka kakaona jau kakala kona..Sasa hivi lishakuwa li single maza kama mamaye.By the way madem waaotogoza hawaki na mwanaume mmoja maana wao ni pendapenda.Ukimvutia anakuvutia waya ,akiona mwingine akamvutia ,anamvutia waya.Hata mimi nilikutana na mkasa wa Jacky mtoto wa profesa,ilikuwa balaa.
Siamini kutokana na situation aliyokuwa nayo mwishoni alikuwa vibaya sana. Huenda naye anaumia kama mimi
 
Kwahyo hata majiran hawakujua alihamia wapi?? Miaka mingapi imepita??
 
Back
Top Bottom