Kosa lile lile?......................why

MJ1 imeandikwa.................nitawapatiliza wana ,laana za baba zao hata kizazi.................. niseme tu kuwa tujifunze ktubu mbele ya muumba wetu, tutubu kwa ajili yetu, kwa ajili ya baba zetu na tutubu tuondoe laana juu yetu na wanetu na watoto wa wanetu!
 
Ashukuriwe alieutafuta huu uzi, ngoja niutafakari kwanza!

Mpenzi wangu Kipipi, mbona unaonekana kushushwa pumzi mylov?? hebu funguka mpenzi maana mie nimechoka kabisa ni vile tu nahofia kulalama usijeumwa kama juzi!!
 
MJ1 imeandikwa.................nitawapatiliza wana ,laana za baba zao hata kizazi.................. niseme tu kuwa tujifunze ktubu mbele ya muumba wetu, tutubu kwa ajili yetu, kwa ajili ya baba zetu na tutubu tuondoe laana juu yetu na wanetu na watoto wa wanetu!
MJ we acha tu yaani kama tunahukumiwa kwa makosa yaso yetu mh....................mimi kusema ukweli ni vilel tu ninajifanya king'ang'anizi otherwise ninahisi kabisa kuwa mahusiano na mapenzi hayakuumbwa kwa ajili yangu. Mie ni msindikizaji tu.

Hebu nisiseme sana Kipipi asijepelekwa ICU bure!
 
Kwenye mapenzi na mahusiano makosa mengi huendelea kujirudia kila leo, wapo wanawake/wanaume ambao tumejikuta kila tunapotafuta wapenzi huangukia kwa wanaume/wanawake ambao huishia kututesa na kutuumiza kwa style ile ile.

Swali : Ni kwa nini inakuwa hivi?

Je ni kutokuwa makini? au kudanganyika na kitu mapenzi au ni nini hasa....................naombeni msaada wenu

MJ1 hilo swali mmmhh ninaliwazia hapa nakosa jibuni.......au ni dhana ya kufikiri kwamba hatakutenda kama aliyetangulia lakini mwisho wasiku inarudia.....kwanza imenikumbusha mbali ngoja nikapate wine sasa
 
dearest......usiseme hivyo wapo wengi wenye hali hiyo ni basi wanagugumia moyoni.......ukiona kwako kunaungua kwa mwenzako kunateketea
 
Kwenye mapenzi na mahusiano makosa mengi huendelea kujirudia kila leo, wapo wanawake/wanaume ambao tumejikuta kila tunapotafuta wapenzi huangukia kwa wanaume/wanawake ambao huishia kututesa na kutuumiza kwa style ile ile.

Swali : Ni kwa nini inakuwa hivi? Je ni kutokuwa makini? au kudanganyika na kitu mapenzi au ni nini hasa....................naombeni msaada wenu

MJ1 hilo swali mmmhh ninaliwazia hapa nakosa jibuni.......au ni dhana ya kufikiri kwamba hatakutenda kama aliyetangulia lakini mwisho wasiku inarudia.....kwanza imenikumbusha mbali ngoja nikapate wine sasa

Black Woman.......we acha tu, hizo wine mie nilizinywa hadi nikaingia kwenye gongo nikitafuta tu liwazo la moyo lakini sasa mh naona nifungue tu macho na kuikubali hali halisi nijipange kuishi bilayo.

Nakubali kuwa inawezekana mie nahisi niko pabaya kumbe kuna walio pabaya zaidi yangu! MUNGU tusaidie.
 
Black Woman.......we acha tu, hizo wine mie nilizinywa hadi nikaingia kwenye gongo nikitafuta tu liwazo la moyo lakini sasa mh naona nifungue tu macho na kuikubali hali halisi nijipange kuishi bilayo.

Nakubali kuwa inawezekana mie nahisi niko pabaya kumbe kuna walio pabaya zaidi yangu! MUNGU tusaidie.[/QUOTE

Kwa muda gani............ukiwa kwenye ulimwengu huu bado itafika siku unasema huyu sasa kumbe mmmmhh.....yaani we acha tu maisha mengine sijui yanahitaji fomula gani yaweze kunaga
 
Ah we acha tu, kuna wakati nilikaaga karibia 4 years na bado nikaambulia galasa ndio maana nawaza kuwa sikuwemo katika list mwenzio. Namshukuru MUNGU kwa few rafikis na ndugu alionipatia, including my Baby Boy......hebu ngoja kwanza nienjoy time nao kwanza. ............Niikaribishe vema hii menopause!!! lol

Sometimes natamani ningeyaanzaga mapema zaidi may be nsingekuwa naregret hahahahahahahaaaaaaaaaa eh MUNGU nissamehe isijekuwa nakufuru MJ1 mie.
 
Mpenzi wangu Kipipi, mbona unaonekana kushushwa pumzi mylov?? hebu funguka mpenzi maana mie nimechoka kabisa ni vile tu nahofia kulalama usijeumwa kama juzi!!

Kusema kweli hii nyuzi iko very deep kiasi kwamba pamoja na kuitafakari kote lakini bado nimeshindwa niongee nini!!! Wanaosemaga mapenzi hayana formula wananifanya niendelee kuitafakari zaidi. Anyways, hapo bold my dear..........we elezea tu sweetheart mi leo siugui tena na woga wangu wote nitajaribu kuuweka kando, so dont worry about kipipi!!!
 
Hapa nahisi ushajipatia Black Lablel yako kama si red kaka yangu mkubwa! Heshma yako mkuu

nimeokoka mwezi sasa aisee

nataka kugombea udiwani kwetu, kwahiyo lazma nionyeshe tabia nzuri...na nimeshanunua pikapu kwa ajili ya lifti, nimeagiza na mshine ya juisi ya miwa kwa ajili ya vikao vya jioni na makada wa NCCR
 
Smart people learn through other people's mistakes.
Ila kwenye swala la mapenzi sijuhi kama hii misemo ya learning ni relevant nadhani ni more relevant kwenye issues nyingine.
Ukiwa very careful, a no mistake man/lady unaweza usipende kabisa maishani.
Ndio maana kuna watu ambao wanataka ku apply hizi theory tunawaona wanaishi maisha yao yote bila commitment.

Nyumba kubwa hiki ulichokiweka hapa ninatamani ungekielezea zaidi kwani ninahisi jibu la swali langu liko humu! Please Dada Mkubwa, show me the way.
 
MJ we acha tu yaani kama tunahukumiwa kwa makosa yaso yetu mh....................mimi kusema ukweli ni vilel tu ninajifanya king'ang'anizi otherwise ninahisi kabisa kuwa mahusiano na mapenzi hayakuumbwa kwa ajili yangu. Mie ni msindikizaji tu.

Hebu nisiseme sana Kipipi asijepelekwa ICU bure!

We can do no great things, only small things with love- MOTHER THERESA.
Hahahahahaaaaa.............hapo red dearest, naomba usinibanie tafadhari, leo nitalia kimyakimya.........lol..........!!! ( ila kusema kweli ile siku ulinimaliza mpenzi lol....)
 
Lol kipipi we uliniumiza sana siku ulipoumwa loh............... mimi niko sensitive sana bana yaani hadi saa ingine najiumiza mie. Afadhali kama unaweza lia kimya kimya big sisy eh..... mie mapenzi kwangu mh acheni tu
 
Wadau habarini?.........

Kuna usemi wa kingereza usemao “The more mistakes one makes in life, the smarter one gets in life” ------ I ask if it s applicablle in mapenzi na mahusiano..............

Source: The Hill of Wealth

Kwenye mapenzi na mahusiano makosa mengi huendelea kujirudia kila leo, wapo wanawake/wanaume ambao tumejikuta kila tunapotafuta wapenzi huangukia kwa wanaume/wanawake ambao huishia kututesa na kutuumiza kwa style ile ile.

Mbaya zaidi ni pale ambapo tumeona wanandoa ambao wametoka familia zenye tatizo (wazazi kupigana, kuachana nk) nao wamejikuta kuwa na ndoa za aina hiyo hiyo.

Ingawa we
wengi tunaamini kwamba mahusiano yanapoenda vibaya yanaweza kusaidia kufungua macho ya muhusika ili siku akimpata mpenzi mpya aweze kujifunza na kutorudia kosa lilelile. Au kama ni mtoto atokaye katika familia yenye majeraha basi atatoka na mafunzo flani ambayo yatamfanya naye ayaepuke katika familia yake mpya.

Swali : Ni kwa nini inakuwa hivi?

Je ni kutokuwa makini? au kudanganyika na kitu mapenzi au ni nini hasa....................naombeni msaada wenu

...mwj1...asante kuurudisha unyuzi huu ambao ni wa muda sasa lakini ujumbe wake mzito...
mimi ni miongoni mwa wale niliojikubalisha kuishi kwa matumaini.

maisha ni malengo,....najua ipo siku yatatimia. sijajikubalisha kuwa msindikizaji kuangalia wenzangu
wakifurahia maisha na wapenzi wao,...am the change i want to be.
 
Sweetie, aksante but nisiwe mlafi wa sifa hata sijui ni nani kaupandisha tena nimeshangaa kuukuta juu but all in all nashukuru.

Can you be my tutor? hapo kwenye kuwa in-charge of that change in you ? please
 
...usijali mrembo mwj1 nitakufafanulia...

katika past relationships zangu kuna makosa makubwa na madogo niliyochangia vile vile...
siwezi tupa lawama zote kwa ex- wangu...

mapungufu yangu, nayazibia viraka na oko kusaidia yasijitokeze tena. mfano; badala ya kung'ang'ana na
interpretations zangu za aina fulani ya tabia,...najikubalisha sote tunatofautiana muono na maamuzi ya mambo mbalimbali. Kuna mambo niliyoyasamehe huko nyuma, na kuna mambo ambayo sikuyasamehe...nikiyatafakari leo hii napata maamuzi tofauti..

hayo yote ni somo la maisha, no regrets!
 
Back
Top Bottom