...mheshimiwa wakili, kwa tafsiri yangu huko ni kutamani....
kupenda ni deep zaidi, ila wengi hulitumia vibaya hili neno...
kupenda sio kitu kidogo bana, kupenda ni kujitolea roho yako ufe kishujaa!
mfano;...nilimtamani mwj1 awe wangu, baada ya kumjua nikampenda, baada ya kumfahamu...nampenda...
it's an ongoing process....wakati, kutamani ni kama zile hit and run!
...back to topik...! ---am i smarter kumpenda mwanajamiione?, yes....kwanini? kwakuwa najua nini ninachompendea
yeye ambacho ni zaidi ya kile nilichokuwa naamini ndiyo mapenzi niliyoyataka maishani..
daahhh, najiaminisha sana hapa jf kutumia copyrights za hili jina @mwanajamiione,...siku nikija daiwa hati miliki za kumtamani na kumpenda mke wa mtu sijui utanisaidiaje lawyer!