Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Ashukuriwe alieutafuta huu uzi, ngoja niutafakari kwanza!
MJ we acha tu yaani kama tunahukumiwa kwa makosa yaso yetu mh....................mimi kusema ukweli ni vilel tu ninajifanya king'ang'anizi otherwise ninahisi kabisa kuwa mahusiano na mapenzi hayakuumbwa kwa ajili yangu. Mie ni msindikizaji tu.MJ1 imeandikwa.................nitawapatiliza wana ,laana za baba zao hata kizazi.................. niseme tu kuwa tujifunze ktubu mbele ya muumba wetu, tutubu kwa ajili yetu, kwa ajili ya baba zetu na tutubu tuondoe laana juu yetu na wanetu na watoto wa wanetu!
MJ we acha tu yaani kama tunahukumiwa kwa makosa yaso yetu mh....................mimi kusema ukweli ni vilel tu ninajifanya king'ang'anizi otherwise ninahisi kabisa kuwa mahusiano na mapenzi hayakuumbwa kwa ajili yangu. Mie ni msindikizaji tu.
Hebu nisiseme sana Kipipi asijepelekwa ICU bure!
Swali : Ni kwa nini inakuwa hivi? Je ni kutokuwa makini? au kudanganyika na kitu mapenzi au ni nini hasa....................naombeni msaada wenuKwenye mapenzi na mahusiano makosa mengi huendelea kujirudia kila leo, wapo wanawake/wanaume ambao tumejikuta kila tunapotafuta wapenzi huangukia kwa wanaume/wanawake ambao huishia kututesa na kutuumiza kwa style ile ile.
MJ1 hilo swali mmmhh ninaliwazia hapa nakosa jibuni.......au ni dhana ya kufikiri kwamba hatakutenda kama aliyetangulia lakini mwisho wasiku inarudia.....kwanza imenikumbusha mbali ngoja nikapate wine sasa
Hapa nahisi ushajipatia Black Lablel yako kama si red kaka yangu mkubwa! Heshma yako mkuuaiseee.............
Black Woman.......we acha tu, hizo wine mie nilizinywa hadi nikaingia kwenye gongo nikitafuta tu liwazo la moyo lakini sasa mh naona nifungue tu macho na kuikubali hali halisi nijipange kuishi bilayo.
Nakubali kuwa inawezekana mie nahisi niko pabaya kumbe kuna walio pabaya zaidi yangu! MUNGU tusaidie.[/QUOTE
Kwa muda gani............ukiwa kwenye ulimwengu huu bado itafika siku unasema huyu sasa kumbe mmmmhh.....yaani we acha tu maisha mengine sijui yanahitaji fomula gani yaweze kunaga
Kwa muda gani............ukiwa kwenye ulimwengu huu bado itafika siku unasema huyu sasa kumbe mmmmhh.....yaani we acha tu maisha mengine sijui yanahitaji fomula gani yaweze kunaga
Mpenzi wangu Kipipi, mbona unaonekana kushushwa pumzi mylov?? hebu funguka mpenzi maana mie nimechoka kabisa ni vile tu nahofia kulalama usijeumwa kama juzi!!
Hapa nahisi ushajipatia Black Lablel yako kama si red kaka yangu mkubwa! Heshma yako mkuu
Smart people learn through other people's mistakes.
Ila kwenye swala la mapenzi sijuhi kama hii misemo ya learning ni relevant nadhani ni more relevant kwenye issues nyingine.
Ukiwa very careful, a no mistake man/lady unaweza usipende kabisa maishani.
Ndio maana kuna watu ambao wanataka ku apply hizi theory tunawaona wanaishi maisha yao yote bila commitment.
MJ we acha tu yaani kama tunahukumiwa kwa makosa yaso yetu mh....................mimi kusema ukweli ni vilel tu ninajifanya king'ang'anizi otherwise ninahisi kabisa kuwa mahusiano na mapenzi hayakuumbwa kwa ajili yangu. Mie ni msindikizaji tu.
Hebu nisiseme sana Kipipi asijepelekwa ICU bure!
Lol kipipi we uliniumiza sana siku ulipoumwa loh............... mimi niko sensitive sana bana yaani hadi saa ingine najiumiza mie. Afadhali kama unaweza lia kimya kimya big sisy eh..... mie mapenzi kwangu mh acheni tuWe can do no great things, only small things with love- MOTHER THERESA.
Hahahahahaaaaa.............hapo red dearest, naomba usinibanie tafadhari, leo nitalia kimyakimya.........lol..........!!! ( ila kusema kweli ile siku ulinimaliza mpenzi lol....)
Wadau habarini?.........
Kuna usemi wa kingereza usemao The more mistakes one makes in life, the smarter one gets in life ------ I ask if it s applicablle in mapenzi na mahusiano..............
Source: The Hill of Wealth
Kwenye mapenzi na mahusiano makosa mengi huendelea kujirudia kila leo, wapo wanawake/wanaume ambao tumejikuta kila tunapotafuta wapenzi huangukia kwa wanaume/wanawake ambao huishia kututesa na kutuumiza kwa style ile ile.
Mbaya zaidi ni pale ambapo tumeona wanandoa ambao wametoka familia zenye tatizo (wazazi kupigana, kuachana nk) nao wamejikuta kuwa na ndoa za aina hiyo hiyo.
Ingawa wewengi tunaamini kwamba mahusiano yanapoenda vibaya yanaweza kusaidia kufungua macho ya muhusika ili siku akimpata mpenzi mpya aweze kujifunza na kutorudia kosa lilelile. Au kama ni mtoto atokaye katika familia yenye majeraha basi atatoka na mafunzo flani ambayo yatamfanya naye ayaepuke katika familia yake mpya.
Swali : Ni kwa nini inakuwa hivi?
Je ni kutokuwa makini? au kudanganyika na kitu mapenzi au ni nini hasa....................naombeni msaada wenu
...mwj1...asante kuurudisha unyuzi huu ambao ni wa muda sasa lakini ujumbe wake mzito...
mimi ni miongoni mwa wale niliojikubalisha kuishi kwa matumaini.
maisha ni malengo,....najua ipo siku yatatimia. sijajikubalisha kuwa msindikizaji kuangalia wenzangu
wakifurahia maisha na wapenzi wao,...am the change i want to be.
Sweetie, aksante but nisiwe mlafi wa sifa hata sijui ni nani kaupandisha tena nimeshangaa kuukuta juu but all in all nashukuru.
Can you be my tutor? hapo kwenye kuwa in-charge of that change in you ? please