klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
MJ1 , hii sredi yako inakubaliana na research yangu bila malipo niloifanya mwaka jana na nikahitimisha kwamba "Wengi wa binadamu wanapenda kabla kutathmini"
Copy zake zitaingia madukani after krismass, musikose.
MJ1 , hii sredi yako inakubaliana na research yangu bila malipo niloifanya mwaka jana na nikahitimisha kwamba "Wengi wa binadamu wanapenda kabla kutathmini"
Copy zake zitaingia madukani after krismass, musikose.
Dah! shem yaani kipindi hiki nimebanwa kwel kweli aisee na ma SRMs, na hili suala linataka muda wa kutosha kudadavua. Lakini, past yako yenye matatizo unatakiwa uitumie kama ni key ya kumtathmini mtu kabla haujaruhusu moyo wako kufall kwa mhusika mpya na mazingira, otherwise utaishia kuumizwa maisha na maisha. Kumbuka, wewe tayari kuna mambo umejifunza kiuhalisia wengine wanayasikia tu kwa kusoma sredi za JF. Uzoefu au experience yako ni silaha tosha kuitumia kumtokonyoa au kumtathmini mwenza mpya mtarajiwa .Shem ninaomba nikopi Master copy yake please sidhani kama nawezasubiri hadi after Krismass bana.
Mh hapo kwa kupenda kabla ya kutathmini wajameni mbona wachoyo hivi we na Mbu? hebu nipeni somo mwana wa mwanamke wa watu otherwise ntakuwa simtendei haki anipendaye mjue!
...mheshimiwa wakili, kwa tafsiri yangu huko ni kutamani....
kupenda ni deep zaidi, ila wengi hulitumia vibaya hili neno...
kupenda sio kitu kidogo bana, kupenda ni kujitolea roho yako ufe kishujaa!
mfano;...nilimtamani mwj1 awe wangu, baada ya kumjua nikampenda, baada ya kumfahamu...nampenda...
it's an ongoing process....wakati, kutamani ni kama zile hit and run!
...back to topik...! ---am i smarter kumpenda mwanajamiione?, yes....kwanini? kwakuwa najua nini ninachompendea
yeye ambacho ni zaidi ya kile nilichokuwa naamini ndiyo mapenzi niliyoyataka maishani..
daahhh, najiaminisha sana hapa jf kutumia copyrights za hili jina @mwanajamiione,...siku nikija daiwa hati miliki za kumtamani na kumpenda mke wa mtu sijui utanisaidiaje lawyer!
...mheshimiwa wakili, kwa tafsiri yangu huko ni kutamani....
!
Ah Shemeji wanasema Mganga hajigangi bwana.........nimepitia mengi but badala ya kuwa strong najiona kama nazidi kuogopa!Dah! shem yaani kipindi hiki nimebanwa kwel kweli aisee na ma SRMs, na hili suala linataka muda wa kutosha kudadavua. Lakini, past yako yenye matatizo unatakiwa uitumie kama ni key ya kumtathmini mtu kabla haujaruhusu moyo wako kufall kwa mhusika mpya na mazingira, otherwise utaishia kuumizwa maisha na maisha. Kumbuka, wewe tayari kuna mambo umejifunza kiuhalisia wengine wanayasikia tu kwa kusoma sredi za JF. Uzoefu au experience yako ni silaha tosha kuitumia kumtokonyoa au kumtathmini mwenza mpya mtarajiwa .
Halaf leo siko kwenye mood ya userious kabisa yaani basi hapa naona kama nimejizulumu.
Nakubaliana na wewe mkuu moskwito ila tu labda niongezee hizi sentensi tatu ili uone nakusudia kulembea wapi .
1) kihisia ni ngumu kutafautisha baina ya kupenda na kutamani. Binafsi kuna mdada mpaka leo sijui kama nampenda au namtamani (hehe usishtuke sio MJ1)
2) Unaweza ukaanza na kutamani lakini ukaishia kutamani kumpenda huyo ulieanza nae kwa kumtamani.
3) Kipindi ambacho hujijui kama unatamani au unapenda ndio kipindi kizuri cha kutathmini.
Shem wala usijali, haya mapost ya Mbu na mapicha yake mimi nayasevu tu kwenye database langu, siku nikikwambia leo ukuje ofisini ujue kuna utajiri, uskawie kuja.Dah........hapa hata sijui nisemeje! Hivi si inaruhusiwa kujivua gamba? hahahahha niwe MwanajamiiOne wa kikwelii?
Aksante Mbu nashukuru kwa somo hili hapa nimejifunza kitu kikubwa sana ambacho nina uhakika nininitumia vema kitakuwa silaha yangu huko niendako. Ubarikiwe sana kwa bandiko hili.
Lol Hapo kwenye kudaiwa nahisi nitakusaidia kabisa kumbembeleza Klorokwini awe mwanasheria wako (wetu) na ATUTETE hadi tushinde sio mwanasheria wa kutuwakilisha tu
Shemeji Klorokwin hebu njoo tutete!
Ah Shemeji wanasema Mganga hajigangi bwana.........nimepitia mengi but badala ya kuwa strong najiona kama nazidi kuogopa!
Hahahah kwa upendeleo maalumu kwako nakuruhusu kutuma post mbili tu za uchakachuzi loh ulainishe moody shem
Dah! shem yaani kipindi hiki nimebanwa kwel kweli aisee na ma SRMs, na hili suala linataka muda wa kutosha kudadavua. Lakini, past yako yenye matatizo unatakiwa uitumie kama ni key ya kumtathmini mtu kabla haujaruhusu moyo wako kufall kwa mhusika mpya na mazingira, otherwise utaishia kuumizwa maisha na maisha. Kumbuka, wewe tayari kuna mambo umejifunza kiuhalisia wengine wanayasikia tu kwa kusoma sredi za JF. Uzoefu au experience yako ni silaha tosha kuitumia kumtokonyoa au kumtathmini mwenza mpya mtarajiwa .
Halaf leo siko kwenye mood ya userious kabisa yaani basi hapa naona kama nimejizulumu.
Lol kipipi we uliniumiza sana siku ulipoumwa loh............... mimi niko sensitive sana bana yaani hadi saa ingine najiumiza mie. Afadhali kama unaweza lia kimya kimya big sisy eh..... mie mapenzi kwangu mh acheni tu
contradictory, lol.......demand is higher than supply nini?...nakusoma tu unavyobandika hizi post kinyonge...
fungua thread hapa tukusaidie kukuondolea 'unyonge' bana...
mwj1 na unyuzi wake huu wa "The more mistakes one makes in life, the smarter one gets in life" ..ni sawa na pupwe lenye mzizimo kwa kondoo mwenye manyoya haba!
contradictory, lol.......demand is higher than supply nini?...nakusoma tu unavyobandika hizi post kinyonge...
fungua thread hapa tukusaidie kukuondolea 'unyonge' bana...
mwj1 na unyuzi wake huu wa "The more mistakes one makes in life, the smarter one gets in life" ..ni sawa na pupwe lenye mzizimo kwa kondoo mwenye manyoya haba!
Ndo urudi mama mchungaji utuletee upande wa pili wa shilingi hapa maana mara nyingi huwa tunausahau.Nakusanya point hapa! nikirudi, gazeti
hiyo ni misemo ya kuibiana tu shem bana kwa vile uganga hauna kithibitisho!Ah Shemeji wanasema Mganga hajigangi bwana.........nimepitia mengi but badala ya kuwa strong najiona kama nazidi kuogopa!
Hahhahahahah Mbu unamrushi dongo mwanasheria wewe!!! shauri yako atashindwa kutufojia talaka!!
Hapo kwenye Blue hapo mh!! ngoja kwanza ntakuja