Kosa lile lile?......................why

Duh huu uzi wa huyu dada umekaa ki-technical ile mbaya.....watalaamu shusheni nondoz raia tuponee!
 

Dah! hapa imebidi nicheke kwa laudi spika aisee. Shem nisamehe bana! najua ulinipa post 2 tu Dah! huyu Mbu nina was was nae ameanza kuchukua kozi ya ulawyer kinyemela. lool. Dah!

Back to topik
 
Reactions: Mbu

Hahahahahahaha We Klorokwini haya siesta imekwisha haya turudi threadini shemeji yangu.


Mbu unalo unalolitafuta we mwanaume! au ndo ushajiaminisha kuwa itoke isitoke talaka we waoa?! lol
 

...hahahahaaaa!...we are back on track,.....huyu ndio klorokwini ninayemjua hapa...
haya natuendelee kubadilishana maujuzi mwanajmiione asizidi kuogopa mapenzi, khaa...!

mwanajamiione na kipipi hebu tupeni upande wa pili wa shilingi, kwanini mnayaogopa mapenzi?
 
Duh huu uzi wa huyu dada umekaa ki-technical ile mbaya.....watalaamu shusheni nondoz raia tuponee!
Jamani Lebron hebu funguka bana, hata kama ndo unaprotect your investment si kihivyo bana ah!! hebu mwaga mauzoefu au mawazo!
 

Ah Mbu ngoja mie nijijibie pengine nitapata msaada................... kusema ukweli through the two steady relationships ambazo nimezipitia ninajiona kabisa kuwa sikuumbiwa haya. Nilikuwa mara zote najilaumu kuwa tatizo liko kwangu na nilijikubalisha sana kuwa I was the one mwenye makosa (ingawa deep down niliamini kuwa nilichofanya ni uamuzi sahihi) but kulelewa kwa nilivyolelewa bado nilijihisi mkosa..... sasa ninakuwa more confused ninapoona the same men ambao nilijihisi nimewakosea, sifai kuwa wao ndio wanarudi kwa kishindo. Sasa najiuliza mengi kwa kweli, a zile what ifs kibao!
 
Reactions: Mbu
heheh Mkuu moskwito kwa kusoma between the sentences bana! Likes za kipipi bana zimenifanya mpaka nimesahau paswedi yangu ya fesbuku.

Dah! acha turudi kwenye mada, MJ1 kanipa post 2 tu za kuchakachua

Hahahahaaaa! Santee........kwa kunifanya nitabasamu, endelea kubaki hapahapa jf ila likes zinakwenda likizo kwanza hela ya cafe imeisha.......lol.....!!!
 
Humu nawapongeza kwa mjadala mzuri!
 

To some extent ni kama umenijibia namie! Hehehe....mi sijawahi pitia vitu vya kuniumiza kwakweli. Labda niseme tu najilaumu kwa huu woga wangu niliopewa naturally, huwa najihisi tu kuumia nionapo/nisikiapo watu wanalalamika au kulia(kwa maumivu) kutokana na kutendwa au mambo kuwaendea kombo kwenye relationships/ndoa zao! Ni hayo tu jamani mweeeh!
 
Reactions: Mbu

....dahhhh, lawyer yupo wapi hapa afanye cross examination maana naona mwj1 umejiuma uma sana humu na hizo past tense!
mwj1 nikuulize; iwapo uli-jikubalisha kosa/makosa yali-kuwa yako..., bado unaamini hivyo mpaka leo?
kwa heshima na taadhima kama alivyonifundisha wakili wangu, bwana klorokwini....jibu ni
ndio au hapana. (only the "truth and nothing but the truth will set you free!")
 
Dah hii kesi nloinunua hapa mh! naomba nile ugali wangu kwanza ntafunguka hah
 
jamani mi niko kijiweni,meza imejaa mihenken,mikuku,mivaluu,mibrandy ya bei mbaya,migin,yaani we acha tu,anyone intersted karibu tukae tudadavue uzi wa MJ1 maana bila stimu haupandi!
 

hahahahaaa Mbu mi siogopi mapenzi bana ila soulmate wako ndo ananifanya nijifeel tofauti(kahuzuni flani vile)! Lol......siku yakinifika nami nitajilipua mweeh!!
 
Reactions: Mbu
MwanajamiiOne naogopa kukwambia kuwa sina jibu.

Matatizo mengi duniani hayana majibu ya 1+1=2 ndio maana hata ma prof wanachemka kwenye mapenzi (na wanapingana kwenye other academic issues)

Ila niliposema ukiwa very careful hutakuwa na mpenzi nilikuwa na maana kuwa inabidi wakati mwingine usiwaze na ku analyze sana; if you find someone attractive wewe jilipue tu kikubwa jiangalie wewe si yeye; kwa mfano:
a) je akinipa ujauzito akatimua am I ready and able to take care of the kid?
b) je kama ananidanganya am i prepared to move on without him? au nina moyo mwepesi bora nikae peke yangu kuliko kuwa hurt.

Hilo swali la pili ni baya kwani ndio la wale too analyitical.
Swali la kwanza liko poa.

In short wale wanao enjoy love life ni wale wasiofikiria saana future; tomorrow will take care of itself.

Nyumba kubwa hiki ulichokiweka hapa ninatamani ungekielezea zaidi kwani ninahisi jibu la swali langu liko humu! Please Dada Mkubwa, show me the way.
 

Haya Mbu nami nakujibu kama Lawyer wako alivyofundisha. Jibu ni HAPANA kwa sasa najiona nimeondokana na hiyo guilty consciousness.
 
hahahahaaa Mbu mi siogopi mapenzi bana ila soulmate wako ndo ananifanya nijifeel tofauti(kahuzuni flani vile)! Lol......siku yakinifika nami nitajilipua mweeh!!

Hapana kipipi Soulmate wa Mbu yuko gado, yaani hapa ametua moyo kabisaa so usipate presha!

MwanajamiiOne aliiuliza hili wakati akitathmini maisha yake ya kimapenzi huko nyuma. Kwa nini alikuwa ana-make the same mistake!
 
Kweli ww nshomilee!

jamani mi niko kijiweni,meza imejaa mihenken,mikuku,mivaluu,mibrandy ya bei mbaya,migin,yaani we acha tu,anyone intersted karibu tukae tudadavue uzi wa MJ1 maana bila stimu haupandi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…