Kosa lilikuwa la nani hapa?

Kabinti katakuwa kazuri kumzidi Binti Sayuni03

Hata yeye niliona akisema hivyo. Yeye ni mweusi halafu chenyewe cheupe. Mubaba alikamatia mwanaJF akapatwa wivu.
Mdada mweupe ila alikuwa anaonekana mapepe kwahiyo wala haikunishtua mie binti mwenye kasura kangu ka upole😁
 
Nataka none ujinga unaenda page ngapi
 
Malaya bwana story zao
Ndio maisha ya mabinti wa mjini, wamesharuka viunzi vingi na kuburuzwa na mibaba fikiria ampate kijana katoka chuo amuoe, amepata kiajira na kupata mkopo wa kununua IST. Hakuna rangi ataacha kuona.πŸ€£πŸ˜‚
 
Kosa la nani kivipi yaani?

Nilisikia kuna madame huko wanalipwa kwa kutoa tu kampani bila kufanywa lolote, dah!

Mafisi ndivyo yalivyo, kutamani mfupa wa mwenzake, hata kama yeye anakuwa na fupa mdomoni mwake kaling'ata.

Huyo aliyewahi kukutongoza mwanzo, anakupenda kwa dhati na kukuheshimu, ndiyo maana alitimua kikulacho chake mapema tena mbele yako kukudhihirishia anavyokuthamini na kukupenda.

Huyo ana tabia zangu, huwa sipendi kumkwaza mwanamke ninayempenda kwa dhati.

Huyo hata akija kukulala mkuu, utakuja kuona atakavyonogewa, maana kaonesha upendo wa dhati kabisa katika hatua za mwanzo.
 
Safari Yako ni ndefu zaidi ya mnara wa tigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…