Kosa lilikuwa la nani hapa?

Bahati mbaya ni kwamba nilimkaushia kabisa maana niliona ni mtu wa mademu sana
 
Ndio maisha ya mabinti wa mjini, wamesharuka viunzi vingi na kuburuzwa na mibaba fikiria ampate kijana katoka chuo amuoe, amepata kiajira na kupata mkopo wa kununua IST. Hakuna rangi ataacha kuona.🤣😂
Ningepata wa hivyo ningetulia nae sana
 
Pambana na mibaba, usiharibie future vijana wa wanawake wenzio.

Ulishawahi ona kuku wa kienyeji anaacha kuchakua kwenye tiles. Mweke kwenye vigae/tiles na chakula uone, lazima ataanza kuvuta miguu kama vile kuna mchanga.
 
Bahati mbaya ni kwamba nilimkaushia kabisa maana niliona ni mtu wa mademu sana
Siyo wa mademu bhana, huyo anahangaika kumpata mtu sahihi kama unavyohangaika wewe.

Angelikuwa ni mtu wa mademu, hapo angelijibaraguza kisha akakukaushia.

Lakini huyo kwa sisi wazoefu tunaona anakupenda wewe na yupo kwenye process za kutafuta mtu sahihi na bado hajampata.

Sasa usipomzingatia, shauri yako mkuu.
 
Huyo hata akija kukulala mkuu, utakuja kuona atakavyonogewa, maana kaonesha upendo wa dhati kabisa katika hatua za mwanzo.
Amlale mara ngapi ndio ujue amemlala
sasa ndugu yangu alivyofika pale akawa ameniambia mbona fulani nimemuona hapo nyuma yetu na yupo na mdada eeeh! Nikashtuka ikabidi nigeuke kuangalia kweli.
Nini kilikushitua kama sio kwamba jamaa alishakupitia. Na ulimsimulia jamaa yako mtongozo tuu😇
akanifata eti umekuja kufanyaje mbona hujaniambia kama unakuja na yule umekaa nae nan
Inakuwaje mtu usiekuwa na kawaida ya kumpa ratiba zako ahoji HUJAMWAMBIA? Na ahoji kuhusu mtu uliekaa nae. Nyoosha maelezo hapo
.. Ilishaliwa
nikamwambia meseji zangu huwa hujibu ndiyo maana sijakwambia na yule ni rafiki yetu tunafahamiana naye.
Hapo unajitetea hujamwambia kwa vile alishakuchunia na hajibu sms. Inaonesha wewe ndiye humtafuta, yeye hakutafuti. Kwa mwanaume anaekutongoza hawezi acha kukujibu sms. Isipokuwa akishakukugonga hana time na wewe, ndio hivyo. Pia unajitetea zaidi kuhusu yule mbaba mliekaa nae pale ili usumuudhi. Wakati yeye na demu wake wala, kaongea kidogo tu. Amekaa tu hapo.
Nilichoshukuru Mungu ni kwamba nimemjua mapema kabla sijampa kwahiyo hakuambulia kitu kabisa.
Usilete utani kwa mabaharia wa mjini. Yaani asikupitie kabisa kabisa. Acha masihara bhana
 
Punguza kuwa na wababa, tafuta wakutulia nae
 
Ila wewe maelezo yote ya nini sasa hta akiila si ya kwangu
 
Kajibaraguza kuwa bado hajagongwa mkuu. Hapa tunafanyia kazi maelezo yake siyo hisia zetu tunavyofikiria.
 
Alikuwa ni mume wa mtu ndiyo maana sikumzingatia mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…