Kosa lilikuwa la nani hapa?

Una bikra?
 
NDIO MAANA YULE JAMAA ALIPOLEWA AKATOKA NJE KWENDA KUJISAIDIA YUPO UCHI UMEME ULIKUWA UMEKATIKA ILE ANAMALIZA KUJISAIDIA UMEME UKARUDI GHAFLA ,,,,,,,, KESHO YAKE ASUBUHI WATU WAKASEMA WAMEMUONA MCHAWI TEH TEH
 
Sijui kwanini nimekuona unat*****eka kirahisi sana.
Sijui yani ulichoandika nimekuona ni mtu huna msimamo na maisha yako, wewe ni people pleaser, nimeona tu ni wale mabinti wanajikuta tu wameshavuliwa chupi, na kesho wanaenda tena na bado hawajui tu walienda kufanya nini!
Kwanini ni rahisi sana kuwa manipulated?
Hunywi pombe mara kwa mara , unakubalije mtu akuambie tu kunywa whisky?
Na unakubali?
Mtu anakutongoza, akiwa na mtu mwingine mahali kimekushtua nn?
Mpk unamwambia uliona hajibu text zako ndo mana ukatoka na mtu mwingine!

AISEEEH!

Kuna namna tu nimekuona ambayo, ni ya kimalaya wa kimya kimya sana
And am not saying sorry!
 
Asante kwa taarifa
 
NDIO MAANA YULE JAMAA ALIPOLEWA AKATOKA NJE KWENDA KUJISAIDIA YUPO UCHI UMEME ULIKUWA UMEKATIKA ILE ANAMALIZA KUJISAIDIA UMEME UKARUDI GHAFLA ,,,,,,,, KESHO YAKE ASUBUHI WATU WAKASEMA WAMEMUONA MCHAWI TEH TEH
Inahusiana nini
 
Hayo maneno niliyo bold hapo jamaa nikweli alikuwa hamjui kabisa Tena nahisi hakuwepo hapo ila niwenge lako tu๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ