Kosa lilikuwa la nani hapa?

Umemuwazia ni mtu wa wanawake yule mbaba mwenye nia ya kukutongoza. Huenda wakat ww unaagiziwa kinywaj na mbaba uliekaa kirafiki, nayeye alikua amekaa na huyo mdada mweupe kirafiki pia. πŸ˜„Mpe opportunity tuu ateleze
 
Mh! Hapana kwakweli sitaki wababa mimi
 
Hadithi yako inatufundisha nini?
 
Hizi tabia ni za mabinti wa singida au Tanga!! Acha na wababa utabaki kutoneshwa tu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…