T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,118
- 30,551
MmmmmmNilichoshukuru Mungu ni kwamba nimemjua mapema kabla sijampa kwahiyo hakuambulia kitu kabisa.
Wewe mbungeππSawa ni mingi,karibu Dodoma!
HuaminiππMmmmmm
Vizuri,usile kileo,Usije kulalia mtoto wetu mchumba wangu!Si ndiyo maana nikakataa mkuu
Ulitaka kumpa bhana sema tu umegundua mapema kuwa ni mtu wa mademuπAkhuuu sikutaka kumpa jamaniπππ
Wewe mbungeππ
πππakhuu nilikuwa simuelewi nisingempa kabisaUlitaka kumpa bhana sema tu umegundua mapema kuwa ni mtu wa mademuπ
Ndiyo anakuwaje huyo?Raia mkakamavu!
Hautaki abaya la laki 2 na safari za ndege Dubai ππππkwanini upewe wewe
Sasa hivi niko bize na kanisani mkuuππNa mimi nikihitaji kampani nakupataje? Mimi pia ni mbaba.
Haugobi ubunge Wala Wabunge,hata kugombea anaweza!Ndiyo anakuwaje huyo?
ππmh! Naogopa vya watuHautaki abaya la laki 2 na safari za ndege Dubai π
Unaziangalia mbingu!Sasa hivi niko bize na kanisani mkuuππ
Huyu mtu kupenda penda kununuliwa chakula kutakuja kumponza tu, wala siku si nyingiakii' Binti Sayuni, kwahiyo maskiini ulitaka kumpea hadi mubaba..?ππ€
Usiogope upo na tajiri wa kigamboni hapaππmh! Naogopa vya watu
Sitaki nataka weweππππakhuu nilikuwa simuelewi nisingempa kabisa
Kwahiyo unataka kugombea?H
Haugobi ubunge Wala Wabunge,hata kugombea anaweza!