The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 1,497
- 2,681
6 “Msiwape mbwa vitu vilivyo vitakatifu; wala msitupie nguruwe lulu zenu. Kama mkifanya hivyo, watazikanyagakanyaga na kisha watawageukia na kuwararua vipande vipande. (Matayo 7:6).
Ni Sehemu ya Mistari aliyoambiwa Afrika.
Kauli yangu siku zote inawahusu mabinti ( wakike ),wana (wakiume) ambao ni Waafrika, sababu ndiyo waliostahili barua hizi mbili kati ya moja ( Quran na Biblia ).
Mungu hakukosea kumsukuma Rumi kusambaza maandiko Afrika, sababu ndiko zilitakiwa siri za Maandiko zifunguliwe huko.
Samahani wapinga Kristo nikitumia maneno makali leo kuchambua andiko ili Matayo 7:6.
Kwa wasomi wa Biblia na Quran.
Qurani ina vitabu vinavyoitwa Mwanzo vinavyosimulia masimulizi ya akina Adamu, Ibrahim Isihaka, Ismail, mpaka mtume mohamedi (hadithi za Mtume).
Biblia ina vitabu vinavyoanza na akina Adamu, Abrahamu, Isaka, Eshmaeli, mpaka Yesu Kristo, (Enjili).
Funguo ni hii.
Vitabu vya Mwanzo ( Agano la Kale ) ni Habari za zama za giza, zile ambazo Roma alijua kachoma ili kutowesha ukweli kuhusu ukuu wa mwafrika na historia ya Afrika.
Agano jipya (hadithi za Mtume).
Ni habari za zama hizi za mpinga kristo, ambazo zinaongozwa na Roma ya Katoliki.
Kalenda, saa, miezi, miaka na maandiko wao ndiyo watunzi wa matukio, ambavyo vyote viko kinyume na utaratibu wa asili.
Anayekataa huu ukweli aoanishe kalenda ya kiislamu na kalenda ya Kirumi ( hii inayofuatwa na Dunia ) ali maarufu kama Gregorian Calendar, kisha atafute hizi kalenda zinautofauti gani wa chanzo cha kupima majira.
Ukisoma habari za Yesu siku chache kabla hajauawa, aliwagawa wanafunzi na kuwatuma maeneo tofauti na moja ya kauli yake alisema wakae huko mpaka wakati utakapofika ndipo wangetoa ujumbe aliowapatia.
Ujumbe huo ilikuwa ni Enjili, yaani mafundisho ya yesu yenye ujumbe maalum kwa ukombozi wa nyumba ya Daud ( wayahudi/Israel asili, Waafrika/) ambao walikuwa wametawanyika kote duniani.
Kabla hata hajauawa, aliitabilia (Yerusalemu ) Afrika. na Kusema ipo siku Maadui zako watakukanyaga na kukusambaratisha kabisa na hakuna jiwe moja litakalosalia juu ya jiwe jingine.
Baadhi ya wanafunzi walimuuliza itakuaje?.
Akajibu mtakapoona jeshi limeweka kambi kuizunguka Yerusalem(Afrika) ndipo mlio ndani na mtoke na kuenda mbali na Afrika.
Yesu alikuwa na lengo la kuepusha Enjili isiangukie kwa maadui sababu alijua watakachofanya wakipata hayo maandiko.
Kwa visa hivyo vyote, Yesu hakutaka kabisa ujumbe wa waafrika (nyumba ya Daud ) wajifunze wasio waafrika aliwafananisha na mbwa na nguruwe.
Na kati ya visa vyake, kuna mwanamke ambaye hakuwa muyahudi (Mwafrika) alitaka msaada wa kuponywa bintiye na Yesu alikataa kwa kauli ya chakula cha watoto usiwape mbwa.
Rejea pia kauli ya Sikuja kwa mataifa bali kwa nyumba ya Daud (Afrika).
Kosa walilofanya wanafunzi ni kuanza kuisambaza Enjili tofauti na maelekezo, lengo wapate fedha, heshima, umaarufu na kukubalika.
Matokeo yake maandiko yaliangukia mikononi mwa Roma na kuyafanya ni mali yake, akachangua aliotaka wasambaze sababu ya maslahi yake na kunyofoa Enjili na kuiweka pembeni sababu ndiyo ina siri za mafundisho harisi ya Kristo. ( Mafundisho ya ukombozi wa kinafsi/ kiakili) ambayo yangewafikia waafrika (Wayahudi asili) asingewafanya anavyofanya.
Baada ya Roma kuivamia Yerusalem na kisha kuichoma moto ili kupoteza kumbukumbu zote alizohisi ndizo Enjili na torati. Hapo unabii wa Kristo Yerusalemu kuanza kukanyagwa ulianza na ndipo historia ya ukuu wa mwafrika na habari za Afrika ulifunikwa na Roma na kuanza upya na habari alizotaka ziwe habari kamili.
Sababu alitokomeza ukweli kuhusu Mwafrika na Afrika, aliziita ni zama za giza sababu hazikuwa zimeandikwa.
Madhara ya kosa la wanafunzi ambao walifananishwa na petro na Yuda.
Lilitimia hili.
“Msiwape mbwa vitu vilivyo vitakatifu; wala msitupie nguruwe lulu zenu. Kama mkifanya hivyo, watazikanyagakanyaga na kisha watawageukia na kuwararua vipande vipande. (Matayo 7:6).
Kilichofuata hapo ni historia ambayo Roma alianza kusimulia kuhusu Kristo na harakati zote ambazo ni za kubuni tu, sababu maandiko mawili muhimu yalipigwa pini maalumu wasiweze kuzijua siri hizi ambazo nilianza na funguo ya Quran na Biblia na leo narudi na hili la kwamba agano jipya ni masimulizi yanayotokea kuanzia Zama za roma na mwisho wake miaka kadha ijayo.
Na Agano la kale ni masimulizi ya zama za giza.
Mwaka 325 b.k, Roma chini ya Constantine walivunja maandiko na kuyagawa katika pande zaidi ya tatu.
Wazungu wakapewa torati bandia, wakaita (Kumbukumbu la torati) na Injili bandia toka kwa mawakala wao Paulo na Luka.
Waarabu wakapewa kitabu cha majibu wakaita Quran.
Wayahudi bandia wakapewa Torati bandia, na kazi ya kuanza kuwagawa Wayahudi (Waafrika na Afrika ikaanza).
Anayebisha, nitafutie Torati na Injili katika Biblia, na uniambie tofauti kati ya Torati ya Qurani na Kumbukumbu la Torati katika Biblia inaletwa na nini.
Injili utasema ni ile ya Luka, Matayo, Marko na Yohana.