Huyo Flora kwa anavyoonekana kabisa ni (Narcissist) type ya wale wanawake controlling katika uhusiano. Wanapenda kuvimba na wepesi kushikiwa akili. Yani mfano, akiwa na kipato kukuzidi ni full madharau mjengoni. Mbaya zaidi mkizoeana anakuwa so comfortable kiasi kuona mume kama mwanamke mwenziwe pale kidume anapojaribu kuwa friendly. Wanawake wa aina ya Flora wanatakiwa wakutane na wale ME makauzu kama dagaa wale hawataki mazoea. No kuchekeana yani full time mwanamke anatetemeka kwa kidume akiwa around, hapo ndo heshima ingekuwepo.
Mbasha ni nice guy, wale wanaume wapole sana wanaojua kudekeza mwanamke na kujishusha kwa mwanamke ili kumhakikishia furaha,, ndio maana combination yao haijafaa. Flora ameishia kumdharau mwenzake tu ni dhahiri maana kama inafikia hadi mwanamke anaenda tombesha nje ukajua na bado anakukazia ni zaidi ya dharau hizo. Ingawa naskia kuwa mbasha pia alikuwa mtu wa kuskilizia yani hana mishe za kueleweka town but upendo wa kweli ungetosha kuziba hilo pengo na si usaliti!
Conclusion: Briefly hawa watu hawakuwa na chemistry ila walioana kwa kigezo cha Lust.
Walihisi wamependana ila ndoa yao ya kitoto ilighubikwa na Lust na fantasy zaidi na hakukuwa na upendo wa dhati baina yao. Mbasha alikuwa mtoto hajui majukumu yake kwa ufasaha pili domo zege alieona fursa ya free papuchi ya kupiga kila aklala na kuamka na mama aliona Handsome boy, presentable atakuwa anasifiwa na anaringishia kila akikutana na mashoga zake ila hakuwa anaelewa ndoa ni comittment, you live with the characters after the lust ends. Huu ndio mtihani mama aliushindwa na ndio kiini cha yote yaliyotokea na pengine umri wake mdogo pia ulimtia jeuri.
Anyways thats life tujifunze kukubali kuishi na mapungufu ya wenzi wetu. Hivyo ndivyo pekee ndoa inaweza kudumu ila kwa kutegemea kukimbia pale nyege zenu zitapoisha after ndoa mtabaki mnacheza kwaito na kuachana kila siku. Ndoa ni agano takatifu sio ktu rahisi kile kwa wale mnaotamani halafu hamjui maana yake. After marriage ni kufunga mkanda ni lazima kaburi ndio liwatenganishe no matter the hardships as long as mwenzio hakufanyii shambulio la kukudhuru ni kuvumiliana tu.