Kosa walilofanya Flora na Emanuel Mbasha

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Ndoa haina exprience jomonii! so ni vigumu mno kuwahukumu hawa kila mtu apambane tu na mahusiano yake.Cha msingi Flora anaenjoy na ben10 wake acha ale raha.
 
kwani naye beatrice mhone aliaachcana na mumewe au ilikuwaje?
 
Ndoa haina exprience jomonii! so ni vigumu mno kuwahukumu hawa kila mtu apambane tu na mahusiano yake.Cha msingi Flora anaenjoy na ben10 wake acha ale raha.
Success is predictable and failure is also predictable. Ukikubali kushuka na kumwelewa mwenza wako ni lazima ndoa yako itafanikiwa tu hata kama ana madhaifu gani: lakini ukifunga ndoa kinyume na taratibu ambazo Mungu kaziweka kisa kulipiza kisasi au kuogopa upweke nakuhakikishia ndoa hiyo haikai kabisa.

Nje atakuwa anajifanya anaendelea vizuri lakini ukweli toka ndani ya moyo wake ni kwamba hana furaha kabisa. Na ndiyo wadada wengi huwa wanateseka sana na hili, wako radhi waonekane wana ndoa tu hata kama ni mbaya na ina maumivu.

Maumivu na changamoto kwenye ndoa Flora siyo wa kwanza kupata hapa duniani. Isitoshe Flora yeye ni mtumishi wa Mungu tulitegemea mtazamo wake wa kimaisha utakuwa tofauti kabiaa na wale wadada wamjini wanaoshinda Saluni au kwenye mtandao 24/7.

Kuna kipindi ndoa inaweza ikakupa changamoto balaa, lakini tunavumiliana sana na tunajitahidi kuyamaliza mambo kiutu uzima na kuangalia maslahi yenu mapana.

NB: Hakuna raha yoyote kuishi nje ya mapenzi ya Mungu. Hakunaaa, ni kujidanganya tu.
 
Yule mtoto ni wa nani?
 

You are extremely smart brother!
Good for you to have known these stuff at your age. Huwa nawaangalia sana hawa vijana wa sasa, nawaambia kwamba hakuna ndoa kama zile za Romeo and Julieth. Ukiingia utakutana na changamoto ngumu sana ambazo hukuwahi tegemea.

Ukiwa kichwa panzi ni lazima utakimbia tu na kuvunja ndoa yako bure. Ukiwa mwelewa na mvumilivu utakuja kula mema ya nchi. Kuna kipindi mnaweza hata kulala kitanda kimoja hata hutaki kumsikia akiongea, yaani ukisikia hata harufu yake unatamani kumrushia nje ya dirisha. Lakini ndiyo hivyo mnayatatu kiutu uzima tu, na mnajikuta mmerudi kwenye hali ya kawaida
 
Umeandika ukweli mtupu!
 


Kisandu leo umekuja kama kivingine sana....Big Up
 
mbona mbasha namuona na prado lake huku mbezi beach? it seems anaishi humu maana nilikutana nae gengeni ananunua madikodiko ya kupika.sasa ana ukata gani wakati ana prado
Prado ndio account?
 
Asante mkuu,i intended to learn jinsi ya kuishi katika ndoa.. I once did live with my woman for about 8 months. Mwanzo mambo yalikuwa raha tupu na tulienda sawa sana ila kuna kipindi ilifika i had to be very rigid. Niliexperience very bad treatment toka kwake ile hali ya caring ilimuisha kabisa akawa ananikera sana. Siku give up because nilitaka kujifunza what it feels kuwa katika ndoa. Aisee mtihani haukuwa rahisi japo niliyashinda yale magumu at last alirudi akawa mpole tukazidi elewana zaidi.

Inahitaji moyo wa chuma kuishi na mwanamke kwa kweli. Wenye roho nyepesi ndoa zitawatia uwazimu jamani. Kuishi na kero za mke ni hatari sana. I could imagine wale waliooa kabisa jinsi ambavyo wanakereka na hizo tabu za KE.
 
Umetuliza akili mzee,hongera.
 
Kisandu umepona baba..! Leo unaeleweka kabisa au mwezi bado haujaandama??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…