Kosa walilofanya Flora na Emanuel Mbasha

View attachment 617475

KOSA KUBWA ALILOFANYA EMMANUEL MBASHA KWA FLORA.

1. Gwajima hakuwa na mahusiano na mkewe.
2. Alimsapoti na kumuamini kupita kiasi na kumuachia maamuzi ya familia.
3. Marafiki zake aliwapa nafasi kubwa sana kwa mkewe.

KOSA KUBWA ALILOFANYA FLORA KWA EMANUEL MBASHA.

1. Alidanganya hata kwenye ukweli.
2. Alikimbilia kuolewa kabla ya suluhu na kufunga ndoa ingine kanisani.
3. Aliwahi sana kudai talaraka.
4. Aliharibu kumbambika kesi mmewe kisa wana mgogoro.
5. Marafiki aliwapa nafasi kubwa ya kumshauri kuliko kusikiliza nafsi yake.
6. Amemuwekea vikwazo mmewe ili ndoa yake mpya isivunjike.

CHANGAMOTO.

1. Emmanuel Mbasha sasa anaishi maisha magumu sana kwa ukata wa pesa.
2. Flora ndoa yake mpya haitadumu kabisa.
Hayakuhusu
 
Kisandu kutoka siasa mpaka mnajimu(mtabiri).[emoji102]
 
Hakuna uamuzi mbaya na usio wa busara kama kuamua kuvunja ndoa kwa mambo ya kuhisi na haswa anayeamua hivyo akawa mwanamke. Gharama ya kusuluhisha ilikuwa ndogo kuliko gharama ya kuishi mkiwa mmevunja ndoa. Mbasha asitegemee kuwa kitoa albam itanunuliwa kama zamani ni vema akapate uzoefu kwa Beatrice Mhone. Alikuwa na heshima alipokuwa na Imma kuliko huko alikokwenda kukadanganya katoto ka watu na kukaita mume. Yetu macho na time will tell
Hapa jina Mbasha umelitumia kuwakilisha nafsi ya Flora?
 
View attachment 617475

KOSA KUBWA ALILOFANYA EMMANUEL MBASHA KWA FLORA.

1. Gwajima hakuwa na mahusiano na mkewe.
2. Alimsapoti na kumuamini kupita kiasi na kumuachia maamuzi ya familia.
3. Marafiki zake aliwapa nafasi kubwa sana kwa mkewe.

KOSA KUBWA ALILOFANYA FLORA KWA EMANUEL MBASHA.

1. Alidanganya hata kwenye ukweli.
2. Alikimbilia kuolewa kabla ya suluhu na kufunga ndoa ingine kanisani.
3. Aliwahi sana kudai talaraka.
4. Aliharibu kumbambika kesi mmewe kisa wana mgogoro.
5. Marafiki aliwapa nafasi kubwa ya kumshauri kuliko kusikiliza nafsi yake.
6. Amemuwekea vikwazo mmewe ili ndoa yake mpya isivunjike.

CHANGAMOTO.

1. Emmanuel Mbasha sasa anaishi maisha magumu sana kwa ukata wa pesa.
2. Flora ndoa yake mpya haitadumu kabisa.
Kwahiyo mbasha alikua mario au alikua super mario baloteli yani anatunzwa tu na mwanamke,ndio full mario baloteli
 
Mbaya zaidi Biblia wanaijua vizuri hata kama wanajisahaulisha.
 
Msihukukumu watu. Ndoa zinaficha mengi!
 
mbona mbasha namuona na prado lake huku mbezi beach? it seems anaishi humu maana nilikutana nae gengeni ananunua madikodiko ya kupika.sasa ana ukata gani wakati ana prado
Mimi nimewahi kumuona Tabata Kimanga akiwa na Harrier hapo pia alikuwa ametoka kununua matunda na madikodiko hapo maeneo ya stendi
 
Namuomba Mungu hizo ndoa mpya zivunjike mapemaa asubuhi ili warudiane kila mmoja amsamehe mwenzake waishi kama walivyotudanganya kule mwanzo kuwa hadi kifo kiwatenganishe wala sio talaka. Wajue kuwa wote huko walipo WANAZINI. Na mzinzi sehemu yake ni kwenye lile ziwa la moto ambalo hakuumbiwa mwanadamu yeyote bali ni Shetwani na malaika zake waovu. Mbasha na Flora, msikubali kujiunga na Shetwani kwenda kule kwenye lile ziwa la moto. Si tiyari mmeshajifurahisha na huo uzinzi?? Mmeona utamu gani huko kumpita Yesu mliyemtukuza?? Mrudieni Bwana
 
View attachment 617475

KOSA KUBWA ALILOFANYA EMMANUEL MBASHA KWA FLORA.

1. Gwajima hakuwa na mahusiano na mkewe.
2. Alimsapoti na kumuamini kupita kiasi na kumuachia maamuzi ya familia.
3. Marafiki zake aliwapa nafasi kubwa sana kwa mkewe.

KOSA KUBWA ALILOFANYA FLORA KWA EMANUEL MBASHA.

1. Alidanganya hata kwenye ukweli.
2. Alikimbilia kuolewa kabla ya suluhu na kufunga ndoa ingine kanisani.
3. Aliwahi sana kudai talaraka.
4. Aliharibu kumbambika kesi mmewe kisa wana mgogoro.
5. Marafiki aliwapa nafasi kubwa ya kumshauri kuliko kusikiliza nafsi yake.
6. Amemuwekea vikwazo mmewe ili ndoa yake mpya isivunjike.

CHANGAMOTO.

1. Emmanuel Mbasha sasa anaishi maisha magumu sana kwa ukata wa pesa.
2. Flora ndoa yake mpya haitadumu kabisa.
Huyu mwanamke ni shetani kabisa.tena makazi yake yatakua jahanamu kali.ambambikia kesi mumewe bila sababu.dah mungu atamnyoosha tu
 
Tangu lini saa mbovu ikasoma majira....[emoji15] [emoji15]
 
Back
Top Bottom