The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Huwezi kabiliana na Waandamanaji Kwa kuwapa mda na nafasi ya kujipanga eti unasubiria kufanya confrontation nao ukidhani watarudi nyuma kisa nyie mna silaha.
Nchi nyingi za Kijamaa Huwa ni study wa kuzuia maandamano kabla hayajaanza au kuwa makubwa Kwa kufanya oparesheni endelevu hususani Kwa Viongozi.
Mfano mzuri ni Maandamano ya Chadema,Polisi wetu waliwadhibiti Viongozi mapema kabisa hivyo kukosa hamasa.
Ukiacha hiyo nakumbuka 2015 baada ya Uchaguzi,Polisi walidhibiti maeneo yote potential Kwa waandamanaji nhususani maeneo ya watu maskini,wali deploy askari wa kutosha na Wakiwa na vifaa vyote wiki Moja kabla ya uchaguzi Ili kuwanyima waandamanaji nafasi ya kuji organize.
Sasa huko Mozambique sijui Kenya eti wanamsubiria kupambana nao ,watu wakiongezeka tuu watazidiwa na kuwa kama Bangladesh.
Maandamano ambayo ni ngumu kidogo kuyadhibiti ni Yale ambayo hutokea ghafla kama vile Tahrir Square ,au Arab Springs maana yalizuka ghafla ila haya ya Kisiasa Huwa yanapangwa.
Lakini Kwa Nchi kama China hata hayo ya ghafla hayawesi.kufaulu maana kule hakuna Cha sijui hofu ya Mungu sijui nini wanawasaga bila huruma.
My Take
Nyakati za Uchaguzi ni hatari sana Kwa usalama amnai inaweza vurugika wakati wowote so tuishi Kwa tahadhari,lakini pia njia nzuri ya amani ni mamlaka zitende Haki.
Ushauri Kwa Chama Tawala jitahidini ku recruit Viongozi wale ambao watu wanawataka ,na msimamie maslahi ya watu hamtakazimika kutumia Nguvu kubwa kushinda au hata kulazimisha ushindi na kuleta tahatuki kwenye jamii.
Kikinuka hakuna aliye salama