Kosa Wanalolifanya Polisi wa Msumbiji ni Kusubiria Kuzuia Maandamano Badala ya Kusaka Wanaopanga Maandamano, Wanaweza Kushindwa

The Sunk Cost Fallacy 2

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2022
Posts
9,436
Reaction score
10,944
Huwezi kabiliana na Waandamanaji Kwa kuwapa mda na nafasi ya kujipanga eti unasubiria kufanya confrontation nao ukidhani watarudi nyuma kisa nyie mna silaha.

Nchi nyingi za Kijamaa Huwa ni study wa kuzuia maandamano kabla hayajaanza au kuwa makubwa Kwa kufanya oparesheni endelevu hususani Kwa Viongozi.

Mfano mzuri ni Maandamano ya Chadema,Polisi wetu waliwadhibiti Viongozi mapema kabisa hivyo kukosa hamasa.

Ukiacha hiyo nakumbuka 2015 baada ya Uchaguzi,Polisi walidhibiti maeneo yote potential Kwa waandamanaji nhususani maeneo ya watu maskini,wali deploy askari wa kutosha na Wakiwa na vifaa vyote wiki Moja kabla ya uchaguzi Ili kuwanyima waandamanaji nafasi ya kuji organize.

Sasa huko Mozambique sijui Kenya eti wanamsubiria kupambana nao ,watu wakiongezeka tuu watazidiwa na kuwa kama Bangladesh.

Maandamano ambayo ni ngumu kidogo kuyadhibiti ni Yale ambayo hutokea ghafla kama vile Tahrir Square ,au Arab Springs maana yalizuka ghafla ila haya ya Kisiasa Huwa yanapangwa.

Lakini Kwa Nchi kama China hata hayo ya ghafla hayawesi.kufaulu maana kule hakuna Cha sijui hofu ya Mungu sijui nini wanawasaga bila huruma.
Screenshot_20241128-054215.jpg

My Take
Nyakati za Uchaguzi ni hatari sana Kwa usalama amnai inaweza vurugika wakati wowote so tuishi Kwa tahadhari,lakini pia njia nzuri ya amani ni mamlaka zitende Haki.

Ushauri Kwa Chama Tawala jitahidini ku recruit Viongozi wale ambao watu wanawataka ,na msimamie maslahi ya watu hamtakazimika kutumia Nguvu kubwa kushinda au hata kulazimisha ushindi na kuleta tahatuki kwenye jamii.

Kikinuka hakuna aliye salama
 
View attachment 3163743

Kwahiyo wewe unataka Polisi wazuie maandamano ya wananchi huku unajua fika kuwa CCM wanafanya rafu na dhuluma nchi hii!?
 
Umeandika upuuzi
Kama wanataka amani kwanini wachache haki itawale?
Aliyeshinda kashinda aliye shindwa ameshindwa na sio kinyume chake. Tofauti na hivyo vurugu zitaendelea
Sio Kila aliyechaguliwa kwenye sanduku la kura anaweza kuwa mshindi.

Ukienda hivyo unaweza kuja kuuza Nchi Kwa kuwa kichwa mmja anaejua akuongea akachaguliwa na wajinga wengi,hakuna kitu kama hicho.
 
Wow mantiki hiyo wapigakura hawana maamuzi ila kuna mjinga mmoja ndiye anaamua nani awe nani asiwe. Huna akili wewe.

Maamuzi ya watu yaheshimiwe bila kujali nani amechaguliwa
 
Huwezi kabiliana na Waandamanaji Kwa kuwapa mda na nafasi ya kujipanga eti unasubiria kufanya confrontation nao ukidhani watarudi nyuma kisa nyie mna silaha.

Nchi nyingi za Kijamaa Huwa ni study wa kuzuia maandamano kabla hayajaanza au kuwa makubwa Kwa kufanya oparesheni endelevu hususani Kwa Viongozi.

Mfano mzuri ni Maandamano ya Chadema,Polisi wetu waliwadhibiti Viongozi mapema kabisa hivyo kukosa hamasa.

Ukiacha hiyo nakumbuka 2015 baada ya Uchaguzi,Polisi walidhibiti maeneo yote potential Kwa waandamanaji nhususani maeneo ya watu maskini,wali deploy askari wa kutosha na Wakiwa na vifaa vyote wiki Moja kabla ya uchaguzi Ili kuwanyima waandamanaji nafasi ya kuji organize.

Sasa huko Mozambique sijui Kenya eti wanamsubiria kupambana nao ,watu wakiongezeka tuu watazidiwa na kuwa kama Bangladesh.

Maandamano ambayo ni ngumu kidogo kuyadhibiti ni Yale ambayo hutokea ghafla kama vile Tahrir Square ,au Arab Springs maana yalizuka ghafla ila haya ya Kisiasa Huwa yanapangwa.

Lakini Kwa Nchi kama China hata hayo ya ghafla hayawesi.kufaulu maana kule hakuna Cha sijui hofu ya Mungu sijui nini wanawasaga bila huruma.
View attachment 3163743

My Take
Nyakati za Uchaguzi ni hatari sana Kwa usalama amnai inaweza vurugika wakati wowote so tuishi Kwa tahadhari,lakini pia njia nzuri ya amani ni mamlaka zitende Haki.

Ushauri Kwa Chama Tawala jitahidini ku recruit Viongozi wale ambao watu wanawataka ,na msimamie maslahi ya watu hamtakazimika kutumia Nguvu kubwa kushinda au hata kulazimisha ushindi na kuleta tahatuki kwenye jamii.

Kikinuka hakuna aliye salama
Una.gong¥¥wa
 
Askari wa Msumbiji wanafuata Sheria na katiba yao. Hawaburuzwi na wanasiasa na isitoshe wanajua haki za raia. Hawapo tayari kulamba miguu ya wanasiasa Kwa sababu wanajua kwamba kiongozi yeyote wa kisiasa atakayetawala ataweza kutenda wanavyotaka wao
 
Back
Top Bottom