Kosa Wanalolifanya Polisi wa Msumbiji ni Kusubiria Kuzuia Maandamano Badala ya Kusaka Wanaopanga Maandamano, Wanaweza Kushindwa

Huwezi kabiliana na Waandamanaji Kwa kuwapa mda na nafasi ya kujipanga eti unasubiria kufanya confrontation nao ukidhani watarudi nyuma kisa nyie mna silaha.

Nchi nyingi za Kijamaa Huwa ni study wa kuzuia maandamano kabla hayajaanza au kuwa makubwa Kwa kufanya oparesheni endelevu hususani Kwa Viongozi.

Mfano mzuri ni Maandamano ya Chadema,Polisi wetu waliwadhibiti Viongozi mapema kabisa hivyo kukosa hamasa.

Ukiacha hiyo nakumbuka 2015 baada ya Uchaguzi,Polisi walidhibiti maeneo yote potential Kwa waandamanaji nhususani maeneo ya watu maskini,wali deploy askari wa kutosha na Wakiwa na vifaa vyote wiki Moja kabla ya uchaguzi Ili kuwanyima waandamanaji nafasi ya kuji organize.

Sasa huko Mozambique sijui Kenya eti wanamsubiria kupambana nao ,watu wakiongezeka tuu watazidiwa na kuwa kama Bangladesh.

Maandamano ambayo ni ngumu kidogo kuyadhibiti ni Yale ambayo hutokea ghafla kama vile Tahrir Square ,au Arab Springs maana yalizuka ghafla ila haya ya Kisiasa Huwa yanapangwa.

Lakini Kwa Nchi kama China hata hayo ya ghafla hayawesi.kufaulu maana kule hakuna Cha sijui hofu ya Mungu sijui nini wanawasaga bila huruma.
View attachment 3163743

My Take
Nyakati za Uchaguzi ni hatari sana Kwa usalama amnai inaweza vurugika wakati wowote so tuishi Kwa tahadhari,lakini pia njia nzuri ya amani ni mamlaka zitende Haki.

Ushauri Kwa Chama Tawala jitahidini ku recruit Viongozi wale ambao watu wanawataka ,na msimamie maslahi ya watu hamtakazimika kutumia Nguvu kubwa kushinda au hata kulazimisha ushindi na kuleta tahatuki kwenye jamii.

Kikinuka hakuna aliye salama
Tanzania hakujawahi kuwa na maandamano Wala mipango yoyote ya maana inayohusu maandamano that why inakua rahisi sana kudhibitika. Watanzania ni waoga sanaaaa!!!

Lkn kwa mambo ya hovyo hovyo yanayoendelea ipo siku watu uoga utawaisha,wataamua kujitoa mhanga na hapo ndio vyombo vya Dora vitakapojua havijui.
 
Huwezi kabiliana na Waandamanaji Kwa kuwapa mda na nafasi ya kujipanga eti unasubiria kufanya confrontation nao ukidhani watarudi nyuma kisa nyie mna silaha.

Nchi nyingi za Kijamaa Huwa ni study wa kuzuia maandamano kabla hayajaanza au kuwa makubwa Kwa kufanya oparesheni endelevu hususani Kwa Viongozi.

Mfano mzuri ni Maandamano ya Chadema,Polisi wetu waliwadhibiti Viongozi mapema kabisa hivyo kukosa hamasa.

Ukiacha hiyo nakumbuka 2015 baada ya Uchaguzi,Polisi walidhibiti maeneo yote potential Kwa waandamanaji nhususani maeneo ya watu maskini,wali deploy askari wa kutosha na Wakiwa na vifaa vyote wiki Moja kabla ya uchaguzi Ili kuwanyima waandamanaji nafasi ya kuji organize.

Sasa huko Mozambique sijui Kenya eti wanamsubiria kupambana nao ,watu wakiongezeka tuu watazidiwa na kuwa kama Bangladesh.

Maandamano ambayo ni ngumu kidogo kuyadhibiti ni Yale ambayo hutokea ghafla kama vile Tahrir Square ,au Arab Springs maana yalizuka ghafla ila haya ya Kisiasa Huwa yanapangwa.

Lakini Kwa Nchi kama China hata hayo ya ghafla hayawesi.kufaulu maana kule hakuna Cha sijui hofu ya Mungu sijui nini wanawasaga bila huruma.
View attachment 3163743

My Take
Nyakati za Uchaguzi ni hatari sana Kwa usalama amnai inaweza vurugika wakati wowote so tuishi Kwa tahadhari,lakini pia njia nzuri ya amani ni mamlaka zitende Haki.

Ushauri Kwa Chama Tawala jitahidini ku recruit Viongozi wale ambao watu wanawataka ,na msimamie maslahi ya watu hamtakazimika kutumia Nguvu kubwa kushinda au hata kulazimisha ushindi na kuleta tahatuki kwenye jamii.
Kikinuka hakuna aliye salama

Tanzania ni kwa sababu kuna viongozi wa upinzani wapuuzi ndio maana maandamano hayafanyiki sio kwamba eti polisi wanazibiti kuliko nchi nyingine.

Maandamano yalipangwa na viongozi wenye nia ya dhati ya kuleta mabadiliko yanafanyika bila kujali risasi au mabomu.
Nguvu ya umma ni ngumu sana kuidhibiti. Lakini kwa sasa hakuna maana yoyote kuandamana kwa ajili ya wanasiasa wapumbavu wanaopigania maslahi yao tu ya kushinda sanduku la kura na kupata uongozi .

Lakini pia Wafu wenye nia njema na Taifa hili na wasio jali Udini na ukabila na uchawa wanaonya sana kuhusu kuuza ardhi kwa wageni na wenyeji kufukuzwa kwenye ardhi yao. Ni wapumbavu na Machawa na uchafu wao ambao hawaoni kuwa ardhi ni ajira kubwa sana inayowafanya watanzania kuishi kwa amani hata pasipokuwa na serikali na vyombo vya usalama . Mkulima anaangalia mvua basi hana muda wa kupoteza kwenye maandamano na kuacha mazao yake shambani wakati ana uhakika wa kula .

Sasa huyu anayeuza ardhi yote ndiye wakala wa vurugu na vita na maandamano ya wajukuu zetu. Huyu arudishwe kwao mapema kabisa 2025 pale Chimwaga Dodoma kabla hajamaliza ardhi yetu.

Watanzania hata wafanyakazi na bodaboda wote wanategemea kujiongezea kipato kupitia ardhi ya kilimo kwani mishahara ni midogo . Na hata bodaboda akipata hela zinawekeza kwenye ardhi ya kilimo ili kujiinua kiuchumi .Sasa mama haoni umuhimu wa urithi huukubwa wa a ardhi kwa vizazi vya watanzania hasa Watangayika amabo wengi hawana ndugu Omani wa kuwatumia bidhaa za used za kuuza ,anaamua kuwafukuza maelfu ya watanganyika na kuwaacha wakiwa hawana ardhi na ajira . Hapo anatengeneza bomu la nyukilia la baadae kwa vijana wengi watakaokuwa hawana ardhi wala ajira za maana zaidi ya kuajiriwa kwenye mashamba ya wageni kulima badala ya kulima kwenye mashamba yao. Hawa watakosa mpaka ardhi ya kujenga zaidi ya kupangwa au kuishi kambini .
Hakika lengo hilo baya la watawala litakapotimia basi maandamano yatakua hayana mtu wa kuyazuia kirahisi . Wakati huo waliouza nchi watakua wamestaafu au wahamia Dubai au Mars au watakua wana makazi mapya huko ahera .

Mbaya zaidi wapinzani wanamuunga mkono muuza nchi kwa sababu hawana sera tofauti na inayowavutia
watu kupinga ardhi yao kuuzwa. Aliitisha maandamano Mwabukusi kupinga badandari kuuzwa cha ajabu vyama vya siasa vilikaa mbali kwa hofu ya kumjengea umaarufu.
 
Kuuza Nchi kukoje?
 
Katiba imeruhusu maandamano ya amani sio vurugu ,hayo hamtakaa mpewe nafasi
Kwani hao waandamanaji wametangaza kufanya maandamano ya vurugu?

Unajuaje haya ni maandamano ya amani na haya ni ya vurugu?

Au kwako wewe maandamano ya uvccm ya kumpongeza mwenyekiti ndiyo tafsiri ya amani?

Yale ya kudai haki iliyoporwa mfano mamlaka kuvuruga taratibu za uchaguzi, hali mbaya ya uchumi, kupanda kwa gharama ya maisha, kupinga vitendo vya mauaji na utekaji kwako wewe ni maandamano ya vurugu?
 
Ndio kwani kupinga matokeo halali manake ni nini?
 
Sio Kila aliyechaguliwa kwenye sanduku la kura anaweza kuwa mshindi.

Ukienda hivyo unaweza kuja kuuza Nchi Kwa kuwa kichwa mmja anaejua akuongea akachaguliwa na wajinga wengi,hakuna kitu kama hicho.
Una hoja kubwa sana naomba ukae chini uinadike vyema na uiwasilishe Kwa sababu inaakisi mtazamo wa kifalsafa wa Plato juu ya demokrasia na umuhimu wa philosopher king na watu ambao wanafaa kuwa viongozi! Lakini utaratibu wa democrasia ghushi Ccm ni kuongeza kundi la wajinga wasiokua na ushawishi, uelewa wa siasa na uongozi Bora kuwa wanasiasa na hao Ndio wanatumia nguvu kuiba na kuuwa Kwa sababu ya madaraka ambayo wanaamini ni njia ya kupata fedha na kujitajirisha kwa kusimamia mifumo ya uchumi na fedha.
 
Ndio kwani kupinga matokeo halali manake ni nini?
Pata elimu kidogo kutoka kwangu, ingawa natumia ada yangu iwe faida kwako wewe unayeona damu za watu ni maji,
Matokeo ya chaguzi zetu hayana sifa ya kuitwa matokeo halali Kwa sababu
Matokeo ya uchaguzi yanakosa uhalali pale ambapo sheria zinatungwa na anayegombea peke yake. Hii inatengeneza mgongano wa maslahi ambapo mgombea huyo hutunga sheria zinazomsaidia kushinda badala ya kuhakikisha uwanja wa mashindano ni wa haki kwa wagombea wote. Kwa mfano, sheria zinaweza kuweka vikwazo visivyo vya lazima kwa wapinzani au kupunguza muda wa kampeni, hali inayohujumu demokrasia.

Pia, uhalali wa uchaguzi hupotea pale sheria zinapotoa upendeleo kwa mgombea fulani. Hii inahusisha kubadilisha sheria au kanuni za uchaguzi kwa lengo la kumpendelea mtu au chama kilicho madarakani. Kwa kufanya hivyo, sheria hizi zinapora haki ya wananchi kuchagua viongozi wao kwa uhuru na haki. Badala yake, uchaguzi unakuwa wa hila ambapo mshindi ameamuliwa kabla ya kura kupigwa.

Vyombo vya dola kama polisi vinapochukua upande, hasa kwa kukandamiza wapinzani, uchaguzi hauwezi kuwa huru na wa haki. Badala ya kulinda amani na kuhakikisha usalama kwa wagombea wote, vyombo hivi hujihusisha na ukandamizaji wa mikutano au maandamano ya vyama vya upinzani. Hali hii si tu inazuia upinzani kujieleza, bali pia inatengeneza mazingira ya woga kwa wapiga kura.

Dosari katika uandikishaji wa wapiga kura ni sababu nyingine ya kukosa uhalali wa uchaguzi. Wananchi wa maeneo ya upinzani wanaponyimwa nafasi ya kuandikishwa au watu wasiostahili kuandikishwa wanaposhiriki, uchaguzi huo unakuwa si halali. Uandikishaji usio wa haki huathiri moja kwa moja idadi ya wapiga kura wanaoshiriki, hivyo matokeo hayawakilishi maamuzi ya umma.

Rushwa ya waziwazi ni tatizo kubwa linalochafua uchaguzi. Wagombea wanapowahonga wapiga kura kwa fedha au zawadi, wanahujumu maadili ya uchaguzi na kupotosha uamuzi wa wapiga kura. Uchaguzi unakuwa si wa haki, kwani matokeo yanatokana na uwezo wa kifedha wa mgombea badala ya sera au maono yake.

Viongozi waliopo madarakani wanapohodhi rasilimali za serikali kwa manufaa ya kampeni zao au kudhibiti vyombo vya habari, wanaharibu misingi ya usawa wa uchaguzi. Upendeleo huu huathiri uwezo wa wapiga kura kupata taarifa sahihi na kufanya maamuzi ya msingi. Hali hii huondoa uwazi na kueneza propaganda zinazowanufaisha walio madarakani.

Hatimaye, utekaji na mauaji ya wapinzani wa kisiasa ni vitendo vya kikatili vinavyotishia maisha na kueneza hofu miongoni mwa wapiga kura na wagombea. Mazingira haya yanavuruga kabisa misingi ya demokrasia kwa kuondoa uhuru wa kujieleza na kushiriki. Uchaguzi wa aina hii hauwezi kuwa na uhalali, kwani unategemea mabavu badala ya ridhaa ya wananchi.

Kwa ujumla, hali hizi zote zinapokuwepo zinachafua uchaguzi na kuondoa uhalali wa matokeo. Uchaguzi hauwezi kuchukuliwa kama wa kidemokrasia au halali ikiwa hauheshimu misingi ya haki, usawa, uwazi, na uhuru. Hali hii hupelekea kupotea kwa imani ya umma, kuzuka kwa migogoro ya kisiasa, na kudhoofika kwa utawala bora.
pascal Mayala
 
Huwezi kabiliana na Waandamanaji Kwa kuwapa mda na nafasi ya kujipanga eti unasubiria kufanya confrontation nao ukidhani watarudi nyuma kisa nyie mna silaha.

Nchi nyingi za Kijamaa Huwa ni study wa kuzuia maandamano kabla hayajaanza au kuwa makubwa Kwa kufanya oparesheni endelevu hususani Kwa Viongozi.

Mfano mzuri ni Maandamano ya Chadema,Polisi wetu waliwadhibiti Viongozi mapema kabisa hivyo kukosa hamasa.

Ukiacha hiyo nakumbuka 2015 baada ya Uchaguzi,Polisi walidhibiti maeneo yote potential Kwa waandamanaji nhususani maeneo ya watu maskini,wali deploy askari wa kutosha na Wakiwa na vifaa vyote wiki Moja kabla ya uchaguzi Ili kuwanyima waandamanaji nafasi ya kuji organize.

Sasa huko Mozambique sijui Kenya eti wanamsubiria kupambana nao ,watu wakiongezeka tuu watazidiwa na kuwa kama Bangladesh.

Maandamano ambayo ni ngumu kidogo kuyadhibiti ni Yale ambayo hutokea ghafla kama vile Tahrir Square ,au Arab Springs maana yalizuka ghafla ila haya ya Kisiasa Huwa yanapangwa.

Lakini Kwa Nchi kama China hata hayo ya ghafla hayawesi.kufaulu maana kule hakuna Cha sijui hofu ya Mungu sijui nini wanawasaga bila huruma.
View attachment 3163743

My Take
Nyakati za Uchaguzi ni hatari sana Kwa usalama amnai inaweza vurugika wakati wowote so tuishi Kwa tahadhari,lakini pia njia nzuri ya amani ni mamlaka zitende Haki.

Ushauri Kwa Chama Tawala jitahidini ku recruit Viongozi wale ambao watu wanawataka ,na msimamie maslahi ya watu hamtakazimika kutumia Nguvu kubwa kushinda au hata kulazimisha ushindi na kuleta tahatuki kwenye jamii.

Kikinuka hakuna aliye salama
Ka chawa hakoo 😂😂
 
Msumbiji si walikuja kujifunza Tanzania kuiba kura,sasa nashangaa kama hawakujifunza pia kuzuia maandamano kwa nguvu,na vyombo vya dola kufanya usafi siku ya maandamano
Wali jisahaulisha wenyewe na kututenga mmakonde mwenzetu nyusi alijikuta mkali wa masuala ya sponsorship watu wapo samim yeye anauza ramani ya vita anufaike na bebi wake Kp.

Watu wakaonya ukatumwa ujumbe kutoka Sa akakataa akaenda Prof. Mpho Molomo head of SAMIM kumwambia vijana wa magu wanakuonya akajikuta yeye menthol wake ni DGSE NA IGISS sasa anavuna Alicho kipanda

Sasa watu waka draft out new strategy wakamwita Ossufo Momade wakampa deal akasign now frelimo Wana pay the price.

This is st Peter's mafekeshee
Copy & out
 
Daaah! Salute
 
Huwezi kabiliana na Waandamanaji Kwa kuwapa mda na nafasi ya kujipanga eti unasubiria kufanya confrontation nao ukidhani watarudi nyuma kisa nyie mna silaha.

Nchi nyingi za Kijamaa Huwa ni study wa kuzuia maandamano kabla hayajaanza au kuwa makubwa Kwa kufanya oparesheni endelevu hususani Kwa Viongozi.

Mfano mzuri ni Maandamano ya Chadema,Polisi wetu waliwadhibiti Viongozi mapema kabisa hivyo kukosa hamasa.

Ukiacha hiyo nakumbuka 2015 baada ya Uchaguzi,Polisi walidhibiti maeneo yote potential Kwa waandamanaji nhususani maeneo ya watu maskini,wali deploy askari wa kutosha na Wakiwa na vifaa vyote wiki Moja kabla ya uchaguzi Ili kuwanyima waandamanaji nafasi ya kuji organize.

Sasa huko Mozambique sijui Kenya eti wanamsubiria kupambana nao ,watu wakiongezeka tuu watazidiwa na kuwa kama Bangladesh.

Maandamano ambayo ni ngumu kidogo kuyadhibiti ni Yale ambayo hutokea ghafla kama vile Tahrir Square ,au Arab Springs maana yalizuka ghafla ila haya ya Kisiasa Huwa yanapangwa.

Lakini Kwa Nchi kama China hata hayo ya ghafla hayawesi.kufaulu maana kule hakuna Cha sijui hofu ya Mungu sijui nini wanawasaga bila huruma.
View attachment 3163743

My Take
Nyakati za Uchaguzi ni hatari sana Kwa usalama amnai inaweza vurugika wakati wowote so tuishi Kwa tahadhari,lakini pia njia nzuri ya amani ni mamlaka zitende Haki.

Ushauri Kwa Chama Tawala jitahidini ku recruit Viongozi wale ambao watu wanawataka ,na msimamie maslahi ya watu hamtakazimika kutumia Nguvu kubwa kushinda au hata kulazimisha ushindi na kuleta tahatuki kwenye jamii.

Kikinuka hakuna aliye salama
Uchaguzi kuwa wa huru na haki ndio suluhisho la kudumu la kuzuia maandamano nyakati za uchaguzi.
 
Maandamano kwa Tanzania yatafanikiwa siku wapinzani watakapoachana na maridhiano fake ya serikali ya NUSU MKATE
 
Back
Top Bottom