Kosea vyote lakini sio kuoa au kuolewa. Najuta

Unaonekana una hasira sana mkuu,pole sana!! Hakuna kitu kigumu kama kuishi na mtu mwenye gubu na kisirani
Sio mchezo kiukweli kipindi hata sijamuoa ungeambiwa ana hizi tabia usingeamini
 
Yupo kwao sahivi navyoongea hapa nimemuambia akae huko kwao hadi siku atakapobadilika na asirudi tena kwangu hadi siku atakapojifunza watoto napambana nao mwenyewe wala sio shida

Safi sana
 
Daah broo asante sana nimekusoma mwamba
 
Daah pole sana mkuu mimi nimemvumilia kanitesa sana kuna vitu nikiandika huku hamtoamini
 
Huwa anaonesha gubu na kiburi ukimfanyia nini?ama ni kila siku zote na muda wote yuko hivyo?

Miaka sita ni mingi kumvumilia mtu wa namna hiyo....
Kila kitu yeye ni gubu tu na kiburi ana kiburi kibaya sijapata ona
 
Yupo kwao tayar na nimewaambia ndugu zake kwamba sitaki kumuona
 
Pole sana Mkuu kila la heri katika kufanya maamuzi muafaka. Hadi umekuja kuandika humu basi bila ya shaka maji yamekufika kwa shingo.
Mkuu BAK huu ni mtihani mzito sana napitia sasa hivi naowawazia ni wanangu tu kwamba wataishi malezi gani bila wazazi wawili
 
Wazo zuri sana kaka...[emoji1317][emoji1317]
 
Huyu wangu too much kwa kweli
 
Huwa nampiga show hadi anaomba "poo" yeye mwenyewe katika hii idara nipo vizuri sana madam
 
Hata mimi mzee na mama wana vitanda tofauti toka nakua
 
Sawa sawa mkuu
 
Great advice.....[emoji1317][emoji1317]
 
Oa mke2 mwengin ila huyo ucmuache kongozi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]eti unanizimikia kuhegendewa ni hitaji la mwili ka msosi so to some extent ni muhimu
Nakupenda bure yaani unakuwa muwazi.
Hata mie napenda Sana mtu anayejiachia na anafanya Kama hitaji la mwili wake ulivyo na hitaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…