Kosea vyote lakini sio kuoa au kuolewa. Najuta

mkuu umetoa povu
 
Wewe mtoto visa sana 😀 😀
[emoji23][emoji23]an idle mind husema sijui ni devil's house if I'm correct Sasa unamlisha mkeo ma vyakula una mfuga ndani ana shida hayuko busy Matokeo anawaza ngono akichepuka anakutana na wanaume waliokula vumbi la Kongo huku wewe hukojoa dakika 1 unategemea asiwe jeuri, hafu na ubusy wako anaamua kwenda kwa manabii kuombewa kule anadaganywa unategemea ndoa isife?
 
yooo yoooo. I'm going to keep this advice for the rest of my life.
💪💪
 
Piga chini atakuja kukuuwa huyo au kukupeleka jela kwa kuuwa
TRUE 100% ....HATA MIMI YALINIKUTA NA NIKAJUA KWAMBA NIMESHAKOSEA....KILICHOKUA KINATAKA KUTOKEA NI MMOJA KUFA NA MWINGINE KUFUNGWA MAISHA AU KUNYONGWA...BAADA YA KUFIKIRIA JUU YA WATOTO WANGU WATATU , BASI NIKAKUBALI YAISHE..SASA NI MIAKA MITANO WOTE TUPO HAI LAKINI KILA MMOJA ANA MAISHA YAKE ILA WATOTO TUNALEA KWA PAMOJA NA KWA NGUVU ZOTE
 
Sisi tulio oa na kupitia changamoto kama hizo au mfano wa hizo huwa hatuwazi kuwaacha wake maadamu si mshirikina wala si mzinifu. Sisi tunaishi na kanuni hizi :

1."Ukiona mkeo anakuudhi kwa tabia fulani au mambo fulani,basi yaangalie au angalia zile tabia ambazo zinakuridhisha au kufurahisha toka kwake,kisha mvumilie"

2. "Kabla ya kumtuhumu kwa tabia mbaya mkeo,basi angalia na wewe yeye anakuvumilia mabaya mangapi uliyo nayo,kisha vumilia".

Naenda kuongeza mke wa tatu hivi karibuni.
 
Ila hapa kuna shida...ina maana hakuna love Ila no kuogopa talaka na maisha baada ya talaka ama

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Mapenzi yama tafsiri pana ndugu, shida ya mwanamke alikuwa na wivu uliopitiza pia alikuwa anataka kumtawala jamaa so alipambana kwa gharama zozote ili jamaa awe down , baada ya kufanikisha zoezi letu hilo mwanamke ametulia
 
Mpeleke kwenye vikao cya chama

Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
 
Mm nilipiga chini faster.
Aliaga anakwenda kwao. Alipotaka kurudi akajikuta anapigwa stop asisome karibu. Kaja akachukua makorokoro yake ameondoka.
Akili zake ndogo mpuuzi yule
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyooo ni chaguo lakooo[emoji442][emoji443][emoji444][emoji445]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…