Kosea vyote lakini sio kuoa au kuolewa. Najuta

Wanasema kosea vyote lakini sio kuoa au kuolewa

Nipo kwenye ndoa nae mwaka wa sita huu lakini sasa ni mtihani mtupu

Mke wangu ana kiburi cha asili,gubu na wivu wa kijinga sana na kwenye ndoa tuna watoto watatu

Hakuna kitu anachokosa huyu mwanamke kila kitu namtimizia

Hakuna anachokosa natimiza wajibu wangu kama mume, sijikwezi lakini ukweli mke wangu ni miongoni mwa wanawake walio kwenye ndoa wanaopata kila hitaji bila kusita au kucheleweshewa

Lakini hataki kubadilika ana mambo ya kipumbavu kabisa hapa naandika nikiwa na hasira sana nitamuacha tu nioe mke mwengine kama mke wa pili mpuuzi huyu
Shida mnapiga makofi sana wake zenu
 
Mpeleke likizo ya bila malipo miezi 6 tena mrudishe kwao. Unajua zama za Nyerere kuwekwa kizuizini. Hakikisha hatoki kwao kbs akitoka subject to talaka. Halafu punguza kumpenda sana kama umeajiliwa omba uhamisho muache hapo kwenu ukifika huko unavuta chombo ya rangi ya mtume unatuliza ndani. Ukicheka nae atakubanika na pasi ya moto mgongoni.

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
 
Kama wadau walivyopendeza, nami nawaunga mkono
Wanasema kosea vyote lakini sio kuoa au kuolewa

Nipo kwenye ndoa nae mwaka wa sita huu lakini sasa ni mtihani mtupu

Mke wangu ana kiburi cha asili,gubu na wivu wa kijinga sana na kwenye ndoa tuna watoto watatu

Hakuna kitu anachokosa huyu mwanamke kila kitu namtimizia

Hakuna anachokosa natimiza wajibu wangu kama mume, sijikwezi lakini ukweli mke wangu ni miongoni mwa wanawake walio kwenye ndoa wanaopata kila hitaji bila kusita au kucheleweshewa

Lakini hataki kubadilika ana mambo ya kipumbavu kabisa hapa naandika nikiwa na hasira sana nitamuacha tu nioe mke mwengine kama mke wa pili mpuuzi huyu
Mtandike promotion, ila ujiandae maana ataenda kula kozi za ulozi
 
Mr Liverpool anazidi kujizolea points tuu🙂

Kila nikitaka KUOA nafsi inasita ...

Hua mkishauriwa msioe mnadhani watu hawawapendi.

Ona sasa yanayowakuta.

Senior Bachelors tunapita na kucheka hiiiiiiiiiiiiii

Yaani home and away kabisa

Hivi huu UCHAWI UMEUELEWA?
Yaani NDOA imemletea MAJANGA halafu ANATAKA KUOA TENA...!!!

Kuna RAIA WABISHI.

Tunawaambia MSIOEEE ila HAWAELEWII.

Kilichobaki unawaangalia na kucheka "Hiii BAGOSHAAAA"

#YNWA
 
Pole sana Mkuu kila la heri katika kufanya maamuzi muafaka. Hadi umekuja kuandika humu basi bila ya shaka maji yamekufika kwa shingo.

Wanasema kosea vyote lakini sio kuoa au kuolewa

Nipo kwenye ndoa nae mwaka wa sita huu lakini sasa ni mtihani mtupu

Mke wangu ana kiburi cha asili,gubu na wivu wa kijinga sana na kwenye ndoa tuna watoto watatu

Hakuna kitu anachokosa huyu mwanamke kila kitu namtimizia

Hakuna anachokosa natimiza wajibu wangu kama mume, sijikwezi lakini ukweli mke wangu ni miongoni mwa wanawake walio kwenye ndoa wanaopata kila hitaji bila kusita au kucheleweshewa

Lakini hataki kubadilika ana mambo ya kipumbavu kabisa hapa naandika nikiwa na hasira sana nitamuacha tu nioe mke mwengine kama mke wa pili mpuuzi huyu
 
Wanasema kosea vyote lakini sio kuoa au kuolewa

Nipo kwenye ndoa nae mwaka wa sita huu lakini sasa ni mtihani mtupu

Mke wangu ana kiburi cha asili,gubu na wivu wa kijinga sana na kwenye ndoa tuna watoto watatu

Hakuna kitu anachokosa huyu mwanamke kila kitu namtimizia

Hakuna anachokosa natimiza wajibu wangu kama mume, sijikwezi lakini ukweli mke wangu ni miongoni mwa wanawake walio kwenye ndoa wanaopata kila hitaji bila kusita au kucheleweshewa

Lakini hataki kubadilika ana mambo ya kipumbavu kabisa hapa naandika nikiwa na hasira sana nitamuacha tu nioe mke mwengine kama mke wa pili mpuuzi huyu
UNAMKOJOZA? Pengine hilo ndo analokosa. Weka namba Yake hapa tuone anasaidiwaje
 
Wanasema kosea vyote lakini sio kuoa au kuolewa

Nipo kwenye ndoa nae mwaka wa sita huu lakini sasa ni mtihani mtupu

Mke wangu ana kiburi cha asili,gubu na wivu wa kijinga sana na kwenye ndoa tuna watoto watatu

Hakuna kitu anachokosa huyu mwanamke kila kitu namtimizia

Hakuna anachokosa natimiza wajibu wangu kama mume, sijikwezi lakini ukweli mke wangu ni miongoni mwa wanawake walio kwenye ndoa wanaopata kila hitaji bila kusita au kucheleweshewa

Lakini hataki kubadilika ana mambo ya kipumbavu kabisa hapa naandika nikiwa na hasira sana nitamuacha tu nioe mke mwengine kama mke wa pili mpuuzi huyu
Hahaaaaa mkuu wote tu wake zetu wako hivyohivyo yaani hawa huwa ni mapacha, hata ukioa mungine ndio atakuwa zaidi mark my words. Tuliambiwa tuishi nao kwa akili mkuu
 
Si kweli ,kama anazingua ni kuachana naye na kutafuta chombo kipya,yanini ujipe stress? kama mna watoto wapeleke kwa bibi yao/shangazi ,watafutie Mercury(Hg) awahudumie!
Huu ushauri haufai, yaani watoto azae yeye halafu awapeleke kwa bibi yao kweli?, Bibi alishatimiza wajibu wake wa kumlea yeye,sasa hivi ni zamu yake kulea wanae aliowazaa kutoka ktk kiuno chake.Tuache kuwatwisha mizigo Wazee.
 
Wanasema kosea vyote lakini sio kuoa au kuolewa

Nipo kwenye ndoa nae mwaka wa sita huu lakini sasa ni mtihani mtupu

Mke wangu ana kiburi cha asili,gubu na wivu wa kijinga sana na kwenye ndoa tuna watoto watatu

Hakuna kitu anachokosa huyu mwanamke kila kitu namtimizia

Hakuna anachokosa natimiza wajibu wangu kama mume, sijikwezi lakini ukweli mke wangu ni miongoni mwa wanawake walio kwenye ndoa wanaopata kila hitaji bila kusita au kucheleweshewa

Lakini hataki kubadilika ana mambo ya kipumbavu kabisa hapa naandika nikiwa na hasira sana nitamuacha tu nioe mke mwengine kama mke wa pili mpuuzi huyu
Bavicha na ndoa wapi na wapi mbowe,slaa, mnyika mnakuwa wanahakati hadi kwenyendoa

USSR
 
Back
Top Bottom