Aisee aikwambie mtu kosea kuchagua nguo, utabadilisha, kosea rafiki utawapotezea lakini usikosee mume. Ukikosea mwanaume wa kuolewa nae tu, umekosea kila kitu.
Kikweli wanaume wa siku hizi, hawana uchungu hata kidogo na familia zao.
Utakuta mume ana mke na watoto lakini Bado
Jacquiline hivi wewe Mwanamke una akili timamu kweli?? umeamua kunianika humu ili iweje sasa? umeshindwa hata kuniita tuyamalize? mbaya zaidi unatumia jina lako halisi!! Nilisha gundua kitambo humu JF ni memba japo ulikataa! umo humu kitambo!
siku ile amekuja babako kutoka Kenya, uliingia bafuni ukaacha simu yako wazi, nikaingia n so ikajua hii avatar yako usibishe huyu ni wewe tu! mbona ndugu zako wanakuja? wanafanya watakavyo? najua unataka kuniendesha na hii ni tabia ya mama yako mzazi !!
km siyo kweli kwa nini Mama yako ali muacha Baba yako ghafla wakt mkiwa wadogo? akazaa kwingine?? kuumbe ndo mambo ya kijinga km haya! sikufichi umefuata tabia ya Mama yako na mie usipokaa vizuri ntakuacha km ulivoachwa na hao wengine!
Kwanza ulinidanganya umepewa Talaka na Mumeo wa ndoa kumbe hamna kitu!, huyu mtoto wako wa pili unaendaga kwa Baba yake kwa kificho na nyumba naijua usibishe, unasingizia eti uko zamu Nite shift, kuumbe kamaba tu! na ndo tabia yako!
Nimesikia una katabia kabaya hao waliotangulia unawafanyiziaga kizizi kazi zao ziharibike, ili uonekane wewe ndo mwenye nyota njema usibishe tulisha gundua haya sasa kwa nini mamangu asje kwangu? unaogopa nini km siyo kugundulika uchwi wako?
Huko ulikotoka walikushutumu uchawi, na leo unamuogopa Mama sababu alisha jua una kaasili hako!... mbona wewe nikitaka huduma ya gari unasema niende kuchukua kwenu? na mie hela kachukue kwa Mama yangu unaanza kulia lia! ngoma si droo!
Unataka Mama angu aondoke uanze kunilisha midawa Nasema Mama haondoki na mie ndo nalipa kodi ukiona vipi anza wewe!! unako jua km unarudi kwa mumeo sawa! sina kinyongo,
najua sana unaendaga, kumpa jamaa asafishe rungu mpka wkt mwingine mnagombana, lkn poa tu! nione mjinga ila yote yana mwisho, hela yangu ndo inakufanya bado upo upo! umeona ni bora JF wakupe suruhisho?
ndo maana ulikimbiwa na waume zako, kumbe mchezo wenyewe ndo km huu!! sema ukweli Jack acha rongorongo! Baba yake huyu mtoto wako wa mwisho huyu, yuko wapi? huna hata mawasiliano nae? why?? mjitabia! nimechukia sana kwa kweli, na hii naaifadhi,
ukiliamsha tu nampa mpaka Mama yako aone! Umeweka wazi na mie naweka wazi !! si umeyataka? hujatulia wewe nakwambia ...