Kosea vyote, usikosee mume

Duh...nilidhani humu ni sehemu ya watu wenye mtazamo chanya. Ila Kama wanavyosema, kwenye msafara wa mamba na kenge wamo.
Ila sikiliza Ni kwambie kitu, maamuzi ya kuingia kwenye ndoa Ni ya watu wote wawili na sio ya mwanaume peke yake, na ndio maana uanweza kwenda kutoa posa na ikakataliwa na mwanamke mwenye kwasababu zake alizokuwa nazo.

Ila ukiendelea na huo mfumo wako dume hadi kwenye familia utaenda kuiharibu. Na hata Kama wewe Ni mwanaume hakuna mwanamke anaye taka mtu ambaye hawaelewani siku zote, na anyejiona hakosei eti kisa Ni mwanaume.
 
Umeongea vyema Sana
 


Mume ni mume hata awe kichaa ni mumeo tu, suala ni kuvumiliana.🤣🤣
 
Ni mara 10 ukosee mume atajirekebisha

ukikosea kuoa mwanamke wa hovyo UTAPATA TABU sana; wanawake wagumu kubadilika.
 
Jacky nimekucheck kwenye 'sosho media mojawapo maarufu' ila haioneshi kama umeolewa wewe?

Hayo mambo ya ndoa umeyajulia wapi mdada?
 
Ni mara 10 ukosee mume atajirekebisha

ukikosea kuoa mwanamke wa hovyo UTAPATA TABU sana; wanawake wagumu kubadilika.
Sio kweli. Na hamna hafadhali hapo, kubadilika kwa mtu kunategemeana na yeye mwenyewe. Na Tena Mimi naona kuwa wanaume Ni ngumu kubadilika kwakuwa hamtaki kuonekana mmekosea kwasababu ya mfumo dume mlionao, wengi wenu.
 
Jacquiline hivi wewe Mwanamke una akili timamu kweli?? umeamua kunianika humu ili iweje sasa? umeshindwa hata kuniita tuyamalize? mbaya zaidi unatumia jina lako halisi!! Nilisha gundua kitambo humu JF ni memba japo ulikataa! umo humu kitambo!
Ohooooooo. Ya kweli haya?
 
Kwa misingi ya uumbaji tangu Adam ndiye aliyepewa options za kuchagua kiumbe atakachopendezwa nacho kuishi naye,Ndipo alipomchagua mwanamke.Akili ya mwanamke ni tofauti na mwanaume.Ni kweli kwamba makubaliano ya kuingia katika ndoa ni ya wawili lakini kumbuka hapo kuna mmoja anabembelezwa na kutongozwa kwanza ili akubali wakati mwingine alishakuwa tayari.

Mwanamke hata ukikataa kuingia katika ndoa ni rahisi sana kushawishiwa na kuingia katika ndoa.Kwa kifupi zaidi ya 90% ya maamuzi ya ndoa yapo kwa mwanaume,Sasa katika hali kama hiyo unaanzaje kusema mwanamke ndiye muoaji? Wewe hauchagui ila una uhuru wa kukubali au kukataa kile kinachokuja mbele yako (kazi ambayo bado pia uwezo wenu wa akili kupambanua ni mdogo)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…