Kosea vyote, usikosee mume

Nae mume hubadilishwa vizuri...ukikosea sepa
 
Nae mume hubadilishwa vizuri...ukikosea sepa
Lkn weye Momye! nakukubali sana, tena sana na km yupo atakae kosea kwako tutamuweka kwenye jumba la makumbusho! njoo basi in box nkwambie kitu flani hivi! usimwambie ntu lkn!
 
Mpe mama yako raha zote anazostaili kabla ya kufanya maamuzi ya kuoa, mama atabaki kua mama na mke atabaki kua mke, baada ya kuoa familia yako kwanza ndio ndugu zako, familia yako nikimaaniasha mke au mme na watoto.
Ata ikitokea mke na mama wote wanaumwa kwa wakati mmoja na uko na limited fund utaitumia kumtibu mkeo kwanza huku ukiendelea kuomba neema juu ya matibabu ya mama.
 
Lkn weye Momye! nakukubali sana, tena sana na km yupo atakae kosea kwako tutamuweka kwenye jumba la makumbusho! njoo basi in box nkwambie kitu flani hivi! usimwambie ntu lkn!
Sawa babaπŸ˜‚
 
sio kwa me hawa tulionao
 
Ni kweli,ila mwanaume mkorofi ni mkorofi TU, unaweza ukawa na kazi hata yenye mshahara mkubwa kuliko yeye lkn akakudharau pia,ila ukiwa na kipato chako makali yatapungua
 
kazi yenu ni kumuomba Mungu tu kwa kuwa hamchagui ila mnachaguliwa kwa hiyo maumivu yenu ya kawaida sababu mnakuwa mmekosea kuchaguliwa issue ipo kwetu ukikosea kuchagua hapo ndio ngoma isambe!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜”
Please akuomba ''To yeye! ukuje tu, mara moja halafu unaendelea na zako! najua una mambo yako mengi !...lkn unadhani nani atajua kuwa tumeonana huko bana? kuna kitu kizuri nataka tuongee......
 
Please akuomba ''To yeye! ukuje tu, mara moja halafu unaendelea na zako! najua una mambo yako mengi !...lkn unadhani nani atajua kuwa tumeonana huko bana? kuna kitu kizuri nataka tuongee......
Sawa,soon
 
sawa thank you!
Halafu una akili sana!! weye! mdada weye! hapo tu nabaki kucheka tu! najua umenijibu kwa akili ya hali ya juu sana! yaani ndo nazidi kukupenda na kukuamini! daaa! unakuja kweli? hayaa?.... nimekaa hapa nasubiriiiiiii...
 
Kama hakukukuta bikra ni haki yako unayofanyiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…