Kotei kutua Yanga kesho

Kotei kutua Yanga kesho

Turnkey

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2013
Posts
7,359
Reaction score
5,837
INAELEZWA kuwa Kiungo bora kwa msimu wa mwaka 2018/19 alipokuwa Simba, James Kotei yupo kwenye mazungumzo na Uongozi wa Yanga ili ajiunge na mabingwa hao wa kihistoria waliotwaa ubingwa mara 27.

Habari zinaeleza kuwa, Kotei ambaye alisepa Simba msimu wa 2018/19 baada ya kandarasi yake kumeguka na kujiunga na Kaizer Chiefs kwa sasa yupo kwenye hesabu za Yanga ili aongeze nguvu ndani ya kikosi hicho ambacho kimeanza kurejea kwenye kasi yake.

"Kotei yupo kwenye hesabu za kutua Yanga kwa sasa kutokana na uwezo wake mkubwa ambao anao, dirisha dogo wanajipanga kuongeza nguvu ukizingatia kuwa kocha mpya ameletwa," alieleza mtoa taarifa huyo.
NB:Habari mbaya sana kwa wale
 
Habari mbaya kwa nani na MCHEZAJI TULIMUACHA MWENYEWE hiyo ndo tofauti yetu na nyny wazee Wa MAKOMBO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba ikimhitaji inampata.. hilo unalijua vzr tu hata wewe
Kwa ufupi tuko vzr nyie mchukueni tu awasaidie
 
Fuatilia historia ya Simba. Tunaamini mchezaji anatafuta maisha kwahiyo akipata timu ya nje huwa tunampa ushirikiano na hata kumtafutia timu ya nje aende na mambo yakiwa vipi huko anarudi nyumbani. Hapa utawakuta kina masha, nteze, machupa, masatu, shekhan, okwi, pawasa, mwameja na wengine wengi
Upande wa yanga mchezaji akipata timu nje ni bifu zito na uongozi kuhakikisha haondoki hapa Kuna mo Hussein machinga, lunya nk na hii ndio sababu Simba inawachezaji wengi sana zaidi ya 80-90% waliofanya majaribio nje kuliko timu zote tz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari mbaya kwa nani na MCHEZAJI TULIMUACHA MWENYEWE hiyo ndo tofauti yetu na nyny wazee Wa MAKOMBO.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bila Kotei zile tano tano zingekuwa kumi kumi ..Kotei hamkumuacha alienda kutafuta green pasture..Akum wa Zesco kaenda kuchukua namba yake pengine kocha wa Kaizer hazikuiva
 
KUNAWATU WANAJIBU KAMA WANA VIFFAFAA VYA MDOMONI
 
Back
Top Bottom