Sina Million 30
JF-Expert Member
- Jan 17, 2025
- 243
- 156
Sijawahi kuona Yule jamaa anaongeaMbona kama la Mr. Bean
Mtumba Mji wa Serikali Au! Maana nimejipiga Ban nimebanikaUpo mkoa gan nikutajie soko maarufu la mitumba uende ukasagule hizo koti
Kama ni hivyo nnatakiwa kuganda na ICE bora kwetu umeme Hanna🔜🔚 huo utani hata mie niliwahi jaribuBei yake ni milioni 30 tu ila wewe
Sina Million 30 huna uwezo huo.
Kama ambavyo wanaume wote Wakiwa na Hii tabia nitauza sana na kupata pesa mingi..Waulize miso-misondo.
Vijana wa miso missondo wanayo kibao kama hayo kawachekKoti Ya namna hii naweza ipata wadi!? na Gharama yake..
View attachment 3205585
View attachment 3205586
Inaweza nisaidia kwenda kusoma Harvard University Nikizaliwa🚼
Hata kwa afu 3 pale Karume unapata kama upo DarKoti Ya namna hii naweza ipata wadi!? na Gharama yake..
View attachment 3205585
View attachment 3205586
Inaweza nisaidia kwenda kusoma Harvard University Nikizaliwa🚼
TZS. 19,000/- MSASANI GSM MALL, DUKA LITTLE MOREKoti Ya namna hii naweza ipata wadi!? na Gharama yake..
View attachment 3205585
View attachment 3205586
Inaweza nisaidia kwenda kusoma Harvard University Nikizaliwa🚼
Bora saizi hadhi yake imepanda hadi Shopping Mall + GSM⏰⏰⏰⏰⏰⏰TZS. 19,000/- MSASANI GSM MALL, DUKA LITTLE MORE
Mtoto wa King Mswati alikuwa analihitaji hapo kwenye 3 penyewe ila kumpeleka kwa Karume sio🔜🔙Hata kwa afu 3 pale Karume unapata kama upo Dar
Nilitaka nikomenti kitu cha maana, ulichomalizia chini kimefanya niahirishe.Koti Ya namna hii naweza ipata wadi!? na Gharama yake..
View attachment 3205585
View attachment 3205586
Inaweza nisaidia kwenda kusoma Harvard University Nikizaliwa🚼
Hata mie hii comment yako naona kama sio kazi bora wengine tutakuwa wasindikizaji🔜Nilitaka nikomenti kitu cha maana, ulichomalizia chini kimefanya niahirishe.
Wanadamu wana Mbinu wabunifu kwenye yote tuliyoyafanya tumeondoka na Haya Maneno.Mbona kama la Mr. Bean