xir jyerphy
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 994
- 184
Environmental disasters and management!
Yaani katika coz ambazo ziko marketable ni hiyo ya "ENVIRONMENTAL DISASTERS AND MANAGEMENT" only inatolewa na UDOM. Np regreat kwa wanaojishughulisha,kama alivyosema mkuu labda awe kilaza
sijaskia coz ya aina hiyo mkuu
Vp uhasibu?
vp kuhusu Bsc in physics hpo UDOM
1>sina utani nina UKILO
2>Shule za kata zina uhaba wa walimu na sio AJIRA
Haina ajira kabisa hii kila chuo kinatoa uhasibu e..g MUCCoBS, udsm,mzumbe,UDOM,TIA,IAA,TUMAINI,SAUT,ST.JOHN,IFM,
ya ukweli hio,then master piga geophysics uone utakavyopiga kazi za maana
Haina ajira kabisa hii kila chuo kinatoa uhasibu e..g MUCCoBS, udsm,mzumbe,UDOM,TIA,IAA,TUMAINI,SAUT,ST.JOHN,IFM,
Sometimes huwa ni bora kukaa kimya kwa kitu usichokijua.
Kwa smartphone zetu za generation ya Obama like ipo mkuu. We unatumia smartphone gani?
Unakuta dume zima na ndevu zake eti linapoteza nguvu zake eti kusoma procurement au envirönment studies!
ebu mwambie wewe ujuaye vitu....mxiuuuu
You should not learn to get employed only but learn to have vision for your future and employ yourself.
You should not choose to study the courses that you see have no future,otherwise it may be the wastage of time.