Kozi ambazo ajira zake ni ngumu kupata

Kozi ambazo ajira zake ni ngumu kupata

Yaani katika coz ambazo ziko marketable ni hiyo ya "ENVIRONMENTAL DISASTERS AND MANAGEMENT" only inatolewa na UDOM. Np regreat kwa wanaojishughulisha, kama alivyosema mkuu labda awe kilaza.
 
Yaani katika coz ambazo ziko marketable ni hiyo ya "ENVIRONMENTAL DISASTERS AND MANAGEMENT" only inatolewa na UDOM. Np regreat kwa wanaojishughulisha,kama alivyosema mkuu labda awe kilaza

vp kuhusu Bsc in physics hpo UDOM
 
Haina ajira kabisa hii kila chuo kinatoa uhasibu e..g MUCCoBS, udsm,mzumbe,UDOM,TIA,IAA,TUMAINI,SAUT,ST.JOHN,IFM,

Kwanini iko vyuon?? na kwanini watu wanaisoma????... na kwanini kuna wahasibu , kama haina ajira basi hamna haja kuwepo kwa wahasibu duniani..Sometimes huwa ni bora kukaa kimya kwa kitu usichokijua.
 
Kusoma kwa malengo ya kuajiriwa ni sumu mbaya sana ambayo watanzania tumewekewa katika akili zetu.

Hatusomi kwa ajili kuongeza upeo wa kupambana na maisha, bali kuajiriwa. Elimu yetu imeandaliwa kutufanya waajiriwa na sio waajiri!!!!! Au kuwa Wajasiriamali.

Nchi hii ina madini na maliasili nyingi, lakini elimu yetu haitufundishi kuzijua mali zetu. Kwa miaka mingi serikali ingefundisha vijana wake jinsi ya kufanya utafiti katika mafuta na gesi, madini ( japo Dodoma kuna chuo cha madini, sijajua uwezo wa chuo hiki umewasaidiaje watanzania?!)

Sasa hivi tungekuwa na wahandisi wengi wa mafuta na gesi, n.k. (Tunakumbuka shuka kumekucha!!!!!)
Mfumo wetu wa elimu hausaidii vijana kufikiri tofauti zaidi ya kuajiriwa, ndio maana miaka ya katikati vijana wengi walikimbia masomo ya sayansi, na athari tunaiona sasa!

Sera mbovu za elimu na mambo mengine ya muhimu kwa Taifa hili ndio shida!

WE MUST CHANGE!!!!!!!!!!!

You should not learn to get employed only but learn to have vision for your future and employ yourself.

You should not choose to study the courses that you see have no future,otherwise it may be the wastage of time.
 
Back
Top Bottom