Landala
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 997
- 478
wana jf nimefanya utafiti mdogo kwa wahitimu wa kozi zifuatazo, PSPA, Philosophy, History and archeology, History and Political science, Geography and Environmental, Public relation na sociology.
Kozi hizo ajira zake zimekuwa ngumu na wahitimu wake wengi wameamua kuwa walimu na kuamua kusomea Postgraduate ya education.
Ongezea na ww kozi zingine.
Kozi hizo ajira zake zimekuwa ngumu na wahitimu wake wengi wameamua kuwa walimu na kuamua kusomea Postgraduate ya education.
Ongezea na ww kozi zingine.