Harvey frank
Member
- Jun 17, 2016
- 54
- 22
Mkuu ebu nifafanulie kidogo kwa nini umeme wa magari na sio kozi nyingine tajwa hapo awali? Samahani lkn mchango wako umethaminiwaNenda umeme wa magari
Mjomba umeme upi? Wa magari au?Umeme mjomba
Kwann electrical installation mkuu?May be electrical installation
Elecrtric InstallationMjomba umeme upi? Wa magari au?
Mkuu ahsante sana kwa kuning'ata sikioFitter Turner usichukue,,,kwanza huwa haichaguliwi,wanachofanya baada ya fani nzuri nzuri kuchaguliwa,wanaobaki i wote wanatupwa fitter (ukerezaji vyuma) waende wakachomelee mageti huko....hilo nimelishuhudia VETA Chang'ombe Dar
Mjomba ipo njema iyo kitu?Elecrtric Installation
Haikuwa makusudi mkuu bado ning'ari mgeni jinsi ya kuwasilisha hoja jukwaaniSasa kwann umeweka kama “tetesi”
Au unataka ushauri wa tetesi
Sawa umeelewekaHaikuwa makusudi mkuu bado ning'ari mgeni jinsi ya kuwasilisha hoja jukwaani
Hauamini auMjomba ipo njema iyo kitu?
Toa mchango wako sasa mkuuSawa umeeleweka
Ning’ari = ningali
Hapana ila ukiifafanua kidogo itapendeza mkuuHauamini au
Shukrani mkuu kwa mchango wakoNenda shinyanga veta ukasomee udereva wa maskaveta yaani magreda
Poa.. hapo ndugu yangu namba moja na mbili ndio zinalipa, hizo nyingine achana nazo..... Kwa namba mbili uwe tayari kusoma kwa mda mrefu sio kozi fupi kivile. Kila la heri.Habari zenu wakuu nakuja mbele zenu katika kupata mawazo yenu ni kozi gani/ipi itanifaa kusomea veta pale keko chang'ombe kwa mwaka wa masomo 2019.kati ya kozi hizi zifuatazo.
1:umeme wa magari
2:electrical installation
3:ukerezaji vyuma/ufundi mitambo
4😱f set machine printing(uchapaji vitabu,magazeti,kalenda vipeperushi n.k)
Nakaribisha mawazo yenu wakuu naomba kuwasilisha..ahsanteni