Tetesi: Kozi gani nichukue veta mwaka wa masomo 2019 kati ya kozi hizi

Harvey frank

Member
Joined
Jun 17, 2016
Posts
54
Reaction score
22
Habari zenu wakuu nakuja mbele zenu katika kupata mawazo yenu ni kozi gani/ipi itanifaa kusomea veta pale keko chang'ombe kwa mwaka wa masomo 2019.kati ya kozi hizi zifuatazo.

1:umeme wa magari
2:electrical installation
3:ukerezaji vyuma/ufundi mitambo
4😱f set machine printing(uchapaji vitabu,magazeti,kalenda vipeperushi n.k)
Nakaribisha mawazo yenu wakuu naomba kuwasilisha..ahsanteni
 
Fitter Turner usichukue,,,kwanza huwa haichaguliwi,wanachofanya baada ya fani nzuri nzuri kuchaguliwa,wanaobaki i wote wanatupwa fitter (ukerezaji vyuma) waende wakachomelee mageti huko....hilo nimelishuhudia VETA Chang'ombe Dar
 
Mkuu ahsante sana kwa kuning'ata sikio
 
Sasa kwann umeweka kama “tetesi”
Au unataka ushauri wa tetesi
 
Nenda shinyanga veta ukasomee udereva wa maskaveta yaani magreda
 
Habari zenu wakuu nakuja mbele zenu katika kupata mawazo yenu ni kozi gani/ipi itanifaa kusomea veta pale keko chang'ombe kwa mwaka wa masomo 2019.kati ya kozi hizi zifuatazo.

1:umeme wa magari
2:electrical installation
3:ukerezaji vyuma/ufundi mitambo
4😱f set machine printing(uchapaji vitabu,magazeti,kalenda vipeperushi n.k)
Nakaribisha mawazo yenu wakuu naomba kuwasilisha..ahsanteni
Poa.. hapo ndugu yangu namba moja na mbili ndio zinalipa, hizo nyingine achana nazo..... Kwa namba mbili uwe tayari kusoma kwa mda mrefu sio kozi fupi kivile. Kila la heri.
 
Back
Top Bottom