Kozi gani umesoma ambayo huwezi kumshauri mtu mwingine aisome?

Kozi gani umesoma ambayo huwezi kumshauri mtu mwingine aisome?

Tuttyfruity

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2017
Posts
2,414
Reaction score
6,371
Hello wana JF .

Unakuta umesoma kozi ambazo either ulijikuta tu comby imebalance au kwa kua zilikua na priority ya mkopo lakini hazikua chaguo lako.

Baada ya kuhitimu ukaingia kitaa ukakuta things on the ground are not as you thought. Kozi uliosoma haina market.

Please share your experience about life after college.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe hujafika chuo bac acha ushabwada kudandia fani za watu, kozi zote zinazotolewa na tcu zina fursa kubwa ya ajira hapa nchini na duniani kwa ujumla naomba kuwasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28]
Screenshot_20200128-151445.jpeg
 
Ni kweli, TCU sio wajinga wapitishe kozi af isiwe na maslahi kwa wataoisoma!?. Mi naona kozi zote zina tija na itategemea na wewe mwenyewe ulieisoma io kozi utavo pursue changamoto na ku win.

Back
Top Bottom